Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Nataka nipate majibu ya kitaalamu kuhusu uchungu mioyoni mwa watu juu ya ushoga.

Mjadala huu usihusishwe kwa vyovyote na mambo ya uswahili swahili na dini zilizokuja na meli. Nchi hii ni SECULAR hivyo kila mtu ana imani yake. Zile hadithi za kale za sodoma na Gomora waweza kuzitupa jalalani!

Nahitaji nijue falsafa juu ya hasira zinazosababishwa na kusikia fulani ni shoga!?? Utasikia, fulani ni shoga huyu, analeta ukame nchini.. . (Hahhahahaa)

Ok.. let's go

Hivi watu wawili wakiamua kuffirrana kwa hiari yao, kwanini liwe ni jambo la ajabu sana!?

Hawajamuibia mtu, hawajamtesa mtu, hawajakwapua mali ya umma.....???? Wanatumia miili yao tu kwa hiari yao!

Kuna shida gani mtu akitumia mwili wake jinsi apendavyo??
 
Nimewaambia kwa utaratibu wetu wa makabila ya Tanzania.. Hiyo sio. Lazima ni. Kwa wazungu na wewe umekataa tusijadili thinking za waliokuja kwa meli na ndege...

Soma kuhusu unyago unafanywa vipi.. Maana huo haukuja kwa meli.. Soma taratibu za makabila ya Tanzania mtoto akibalehe anafundishwa nini?

Utakachokisoma hakikuja kwa meli na ndio culture yetu.. Na ikitokea mtu akifanya kinyume.. Hutengwa na jamii husika.. Au kupigwa exile kabisa

Ukitaka kuleta mawazo ya wazungu turuhusu na sisi tuingie kwenye dini za meli na ndege
 
UNYAGO NA JANDO ZIMEBAKI HADITHI TU KWENYE MAJUMBA YA MAKUMBUSHO.

KWAHIYO SIWEZI KUZUNGUMZIA VITU AMBAVYO HAVIPO.

NA HATA KAMA VINGEKUWEPO, BADO ISINGEMAANISHA KUWA USHOGA HAUPO.

USHOGA UPO, NA MASHOGA WAPO MIONGONI MWA JAMII. MASHOGA HAWAKULETWA NA WAZUNGU.

KWAHIYO SIELEWI HATA UNAZUNGUMZA NINI???

KWAMBA MASHOGA HAWAPO, AU MASHOGA WAMESHUSHWA KUTOKA MBINGUNI?

AU MASHOGA WAMELETWA KUTOKA AMERICA? Hahahaaa
 
nipoiona post yako mwanzoni nilijua umekuja na bonge la ufafanuzi tena wenye maslahi kwa nchi yako, kumbe kesi ya muambukiza marelia amepelekewa mbu!
 
UNYAGO NA JANDO ZIMEBAKI HADITHI TU KWENYE MAJUMBA YA MAKUMBUSHO.

KWAHIYO SIWEZI KUZUNGUMZIA VITU AMBAVYO HAVIPO.

NA HATA KAMA VINGEKUWEPO, BADO ISINGEMAANISHA KUWA USHOGA HAUPO.

USHOGA UPO, NA MASHOGA WAPO MIONGONI MWA JAMII. MASHOGA HAWAKULETWA NA WAZUNGU.

KWAHIYO SIELEWI HATA UNAZUNGUMZA NINI???

KWAMBA MASHOGA HAWAPO, AU MASHOGA WAMESHUSHWA KUTOKA MBINGUNI?
Umesema ethiest unaleta maswala ya mbingu.. Unajua kutofautisha kuwepo na si utaratibu wetu..! Ushoga haukuwepo sababu mila zetu zinamfunza mwanaume kuwa mwanaume na mwanamke kuwa mwanamke.

Jando na unyago vinafanywa mpaka leo hii.. Kama weye umeamua kufuata mila Za wazungu ndio utaishia kuona na hadithi tu..
 
KWAHIYO , HAWA MASHOGA WALIOPO SASA HIVI WAMETOKA WAPI?
Umesema ethiest unaleta maswala ya mbingu.. Unajua kutofautisha kuwepo na si utaratibu wetu..! Ushoga haukuwepo sababu mila zetu zinamfunza mwanaume kuwa mwanaume na mwanamke kuwa mwanamke.

Jando na unyago vinafanywa mpaka leo hii.. Kama weye umeamua kufuata mila Za wazungu ndio utaishia kuona na hadithi tu..
 
nipoiona post yako mwanzoni nilijua umekuja na bonge la ufafanuzi tena wenye maslahi kwa nchi yako, kumbe kesi ya muambukiza marelia amepelekewa mbu!
WEKA HAPA HILO BONGE LA UFAFANUZI NILIONE.

NDIO NIKO KWA AJILI HIYO. KUPEWA BONGE LA UFAFANUZI KUTOKA KWAKO.
 
Mimi sijaiga sababu sipo kama wewe ambaye umeacha mila na desturi za Kiafrika...
 
Mimi sijaiga sababu sipo kama wewe ambaye umeacha mila na desturi za Kiafrika...
NIPE HICHO KITABU CHENYE ORODHA YA MILA NA DESTURI ZA KIAFRIKA.

AU KINAPATIKANA KWENYE GAZETI LA SERIKALI?
 
UKIJINYONGA UNAPOTEZA NGUVU KAZI YA TAIFA NA KULETA ATHARI KWA WATEGEMEZI WAKO.

HIYO NDIYO FALSAFA YA KUZUIA WATU WASIJITOE UHAI KWA MAKUSUDI.
How do you prove anajitoa uhai kwa makusudi? Na kama akihukumiwa kunyongwa kwa kosa lisilo lake je?
 
MKUU, HAUNA UWEZO WA KUWAZUIA WATU WASIFIRANE.

HATA TUKIAJIRI POLISI KITENGO CHA MARRINDA NI KAZI BURE.

WATU WAKIWA MASHOGA WANAKUWA MASHOGA TU HAKUNA NAMNA YA KUWAZUIA.
Point ni kuzuia usaambaji wa huo mchezo na kuleta athari kama ilivyo kwa madawa ya kulevya,pamoja na kuwepo na vitengo maalumu vya kupambana na madawa ya kulevya ila bado hayo madawa ni tatizo duniani ila kama utumiaji wa hayo ungekuwa unaruhusiwa kabisa hali ingekuwa mbaya zaidi.

Watu wataendelea kufumuana marinda ndio hatukatai kama ilivyo kwa madawa ya kulevya watu bado wanatumia tu hadi leo.
 
Watu hawajielewi,wameacha watu wanabaka vitoto vidogo ila wamekomaa na wanaofirana kwa hiari na raha zao bila kutubugudhi sie tusiofirana!
Hata hizo nchi za Ulaya na Marekani na mashirika ya kimataifa ukigusa mashoga tu wanakuja na vitisho vya vikwazo
Hivi kwa nini hawaziwekei vikwazo nchi kama Saudia ambazo adhabu ya ushoga ni kunyongwa?
 
Nataka nipate majibu ya kitaalamu kuhusu uchungu mioyoni mwa watu juu ya ushoga.

Mjadala huu usihusishwe kwa vyovyote na mambo ya uswahili swahili na dini zilizokuja na meli. Nchi hii ni SECULAR hivyo kila mtu ana imani yake. Zile hadithi za kale za sodoma na Gomora waweza kuzitupa jalalani!

Nahitaji nijue falsafa juu ya hasira zinazosababishwa na kusikia fulani ni shoga!?? Utasikia, fulani ni shoga huyu, analeta ukame nchini.. . (Hahhahahaa)

Ok.. let's go!

Hivi watu wawili wakiamua kuffirrana kwa hiari yao, kwanini liwe ni jambo la ajabu sana!?

Hawajamuibia mtu, hawajamtesa mtu, hawajakwapua mali ya umma.....???? Wanatumia miili yao tu kwa hiari yao!

Kuna shida gani mtu akitumia mwili wake jinsi apendavyo??
Wewe kama unataka kufirwa ***** tu hakuna atakayekufuata nyumbani kwako kuhoji kwa nini unafanya hivyo
Tatizo ni pale unapotaka utambulike kuwa wewe shoga na kuanza kudai haki ya kuwa sawa mwanamke aliyeolewa
 
Ila mkuu ungejaribisha kufirika...kisha ukaja kutuambia kwa mifano hai jinsi ilivyojiskia kwa mwanaume mwenzio kikukojolea ndani kwa anus,then uhutete sasa huo mwili wako kwa kuona mbona wewe umefirika na hakina cha ajabu..na ni mwili wako..??..mtunuku mtu hayo marinda akishayatatua... njoo jamvini hapa itupe ishuhuda... na kuimarisha hoja yako...
 
NDIO.

MIMI SIAMINI UWEPO WA MUNGU!

KWANI NI LAZIMA KUAMINI UWEPO WA MUNGU?
Kama huamini uwepo wa Mungu chini ya hii dunia unaweza fanya lolote lile bila hofu yoyote kwani ,kuwa na hofu ndio msingi wa kuwa na maadili na tabia njema,hivyo kama mkuu huna dini ,huamini kama Mungu yupo INA maana huna mwongozo wowote zaidi ya kuiahi utakavyo kwani haya mengi kwetu sisi wenye hofu ya Mungu kwa waislam na wakristo tuna vitabu vitakatifu tunavyo viamini na mwongozo wa maisha yetu wa kuishi kwa matakwa ya maandiko hayo ,hivyo wewe ndugu yetu nje ya hofu ya Mungu unaweza hata kumwoa Dada yako hata kuzaa naye .
 
Back
Top Bottom