Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Hebu tuweke hoja mezani,Serikali imekubaliana na ushoga kupigia mikataba ya kimataifa na imesisitiza kupitia waziri wa mambo ya ndani na nje kuwa itawalinda mashoga.Je viongozi waliosaini na kulinda,na kuwatetea mashoga Tanzania ni MASHOGA!?
Ukipata hili jibu uniite
 
SERIKALI HAINA UWEZO WA KUZUIA VIFO VYA ASILI.

FALSAFA RAHISI KABISA KUELEWEKA.
Cc demi

Mimi nikifa inaihusu vipi serikali, mbona wengi tu watazaliwa na kulitumikia taifa. Halafu pia familia yangu kuathirika kutokana na kifo changu bado haihusu serikali.
 
Mimi sihitaji kuutamani ni suala la kumwambia mr anizibue endapo nitaridhia. Serikali ikija kuniingilia ni kunionea
Sababu ya Pili mahususi kwa huyo shoga aliyeanzisha Uzi, anaclaim madawa ya kulevya ni sawa yapigwe vita kwa kuwa yanaharibu nguvu kazi ya taifa; Nikampa hiyo punch.

Naamini kule jukwaa la wakubwa unautamania sana huu mchezo.
 
Kufananisha ushoga na wizi unakosea... kwenye ushoga kuna ridhaa huru ya watu wawili(free consent)... Wewe ukitoka ukaenda kumuibia mtu free consent ipo wapi hapo?
Mkuu point ingekuwa ni ridhaa ya mtu basi hata kutumia madawa ya kulevya ingeruhusiwa maadamu anatumia kwa ridhaa yake,sasa wewe unataka waruhusiwe ushoga kisa wamekubaliana wenyewe basi na matumizi ya madawa ingekuwa hivyo hivyo.
 
Unajichanganya mwenyewe, angalia sababu unazotumia kuhalalisha ushoga na kupiga matumizi ya dawa za kulevya.
WEWE NDIO UMELETA HABARI MCHANGANYO ZISISOKUWA NA MASHIKO.

WAZAZI WANGEKUWA MASHOGA NISINGEZALIWA. THAT'S VERY OBVIOUS.

UMEANDIKA KWA HISIA KANA KWAMBA NILIOMBA SANA KUZALIWA NA KWAMBA KUZALIWA NI ZAWADI KUBWA SANA YA HISANI.

SIKUOMBA KUZALIWA NA SIKUJUI CHOCHOTE KABLA YA KUZALIWA. PERIOD.
 
Haitakuja kutokea wanaume wote wakawa mashoga.
Mashoga walikuwepo tangu enzi za kale, sasa hivi mnadhani umeshamiri kutokana na hii mitandao, upatikanaji wa habari umekuwa rahisi.
Hii point nadhani ndio ina mashiko nadhani ndipo serikali huenda inapopatia nguvu.
 
Mimi sihitaji kuutamani ni suala la kumwambia mr anizibue endapo nitaridhia. Serikali ikija kuniingilia ni kunionea
Utakuwa unaupenda sana huo mchezo, nionjeshe
 
Hili suala linasikitisha ila kinachonisikisha zaidi ni watetezi wake. Hivi mtu mwenye utimamu unaonaje ni sawa mwanaume kuingiziwa dudu/mboro kwenye m.kund. u na mwanaume mwenzake?
Mkuu haya majamaa yanayojidai eti yanatetea yasikuumize kichwa ndo MASHOGA YENYEWE HAYO,mashenzi sana!!.
 
Ni kweli haiwezekani,Mfano baba yako na baba zako wadogo na wakubwa ni mashoga.Kwahiyo family yenu wote mnaliwa viboga
Why not, wewe kuwa shoga hakumzuii mwingine asiwe shoga. Inaweza kutokea wanaume wote wakawa mabasha/mashoga na au isiwezekane.
 
My friend inaonyesha hii issue inakuumiza sana hebu upuuzie tu. Walah hamna anayeumia shida ni mashoga kufanya show off au ka amber alivosambaza mtandaoni lazima watu wamshukie ka mwewe. Watu kufanya vyumbani mbona hamna tatizo. Hata machangu serikali huwakamata, hata tendo la ndoa kajulikana Ila hufanywa faraghani. Pole my friend
 
Why not, wewe kuwa shoga hakumzuii mwingine asiwe shoga. Inaweza kutokea wanaume wote wakawa mabasha/mashoga na au isiwezekane.
NI UAMUZI WAO.

SIO WAJIBU WA SERIKALI KULAZIMISHA WATU KUZAA
 
WEWE NDIO UMELETA HABARI MCHANGANYO ZISISOKUWA NA MASHIKO.

WAZAZI WANGEKUWA MASHOGA NISINGEZALIWA. THAT'S VERY OBVIOUS.

UMEANDIKA KWA HISIA KANA KWAMBA NILIOMBA SANA KUZALIWA NA KWAMBA KUZALIWA NI ZAWADI KUBWA SANA YA HISANI.

SIKUOMBA KUZALIWA NA SIKUJUI CHOCHOTE KABLA YA KUZALIWA. PERIOD.
Ila ulivyozaliwa ndio ukajua rectum inatumika na hata kuingiziwa dushe.?
 
Back
Top Bottom