Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Kama mwili wako una hiari nao basi kajinyonge halafu upone kisha ukutane na Dola
UKIJINYONGA UNAPOTEZA NGUVU KAZI YA TAIFA NA KULETA ATHARI KWA WATEGEMEZI WAKO.

HIYO NDIYO FALSAFA YA KUZUIA WATU WASIJITOE UHAI KWA MAKUSUDI.
 
MIMI NAABUDU MITI.

HUYO MUNGU NI KWA AJILI YENU WAFUASI WA NABII TITO.
Bahati Mbaya hata mti unaouabudu, nao unamwabudu huyu MUNGU JEHOVA, halafu unakufa na kupotea, kweli unaabudu usichokijua kwa sababu ya kukosa maarifa.
 
Nani alimpitia akasikia harufu? Kwanini hakumkamata badala yake akataka watu wamtumie msg?
Baada ya kuona harufu ni nyingi ndio akaanzisha zoezi.

Muda mfupi uliopita kapita mtu mmoja hapa nahisi ni mtoa mada.
 
Mimi nimekosa mbinu ya kufanya nini? Ni ujinga upi nimetetea? Sina tatizo na paragraph yako ya mwisho..nimeongelea generally.
Unajifanya kipofu inamaana hata ulichokiandika hukijui,kwa taarifa yako nimesoma comment yako ya kwanza mpaka ya mwisho.

Badilika dada yangu si ujanja kutetea hivi vitu kwani nikunyume na asili yako,timiza wajibu wako kama mzazi kwa watoto wako na kama mlezi kwa watoto wa majirani zako,pigana kizazi hiki kisipotee ,kwani sio kwa kila anachofanya mtu mweupe basi ukione cha maan vingine ni upuuzi,Hili swala ukiacha laana hata kwa upande wa kiafya lina madhara.
 
Huyu demi yeye anaona utamu tu, mengine anadai hayamuhusu.
 
Wewe unaona ni hekaya ila kuna wenzio wanafanyia kazi ili kuokoa nafsi zao
HOJA ZA DINI HAZIWEZI KUFUA DAFU KWENYE HUU MJADALA.

TAFUTA HOJA ZINGINE ZENYE UZITO TOFAUTI NA HIZI UCHWARA UCHWARA ZA GOMORA.
 
Hasira zimekupanda kisa sijakusapoti kwenye bandiko lako? Endelea na mikakati yako ya kulawitiwa, naomba ufanye uchunguzi kati ya wazazi wako wawili utagundua kuna moja au wote wanatumia PURU zao kwa ajili ya kufanya mapenzi.

Maana akili iliyo kwenye kichwa cha mtoto na kwa mzazi pia iko hivyo.
puru ni.......???
 
Back
Top Bottom