Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

KIFO CHAKO CHA KUJITAKIA KINAIHUSU SERIKALI MAANA UNAPOTEZA NGUVU KAZI YA TAIFA KWA MAKUSUDI, KITU AMBACHO NI HATARI KWENYE UCHUMI WA NCHI NA HATARI PIA KWA WATEGEMEZI WAKO.

NDIO FALSAFA HIYO KUHUSU MADAWA YA KULEVYA KAMA ULIKUWA HAUFAHAMU.
Kifo changu cha kujisababishia mwenyewe hakiihusu serikali
 
Kama ushoga utaruhusiwa maana yake kila mwanaume anakuwa na option ya kuwa shoga.

Sasa tuelezeni ni kwanini mnahisi wanaume wote hawawezi kuwa mashoga at once
Kuwa shoga mara nyingi sio option. Sababu zipo.
1. Kuingiliwa kinyume na maumbile tangu akiwa mtoto.
2. Malezi mabaya
3. Ulemavu- wengine wamezaliwa legelege tangu zamani.

Tujikite kwenye source ya tatizo na tutakachofanikiwa ni kupunguza na si kutokomeza.
 
Kwa nini mashoga wasijikusanye kwenye kakisiwa kao wabanjuane bila bughudha huku wakimrahisishia Mungu kazi ya kuwapiga kiberiti
 
Maxence ndio haya mashambulizi uliyoyatolea taarifa? Maana mtandao uko loaded na gays/lesbians. Ni vinyesi tu vinasikika
 
Haitakuja kutokea wanaume wote wakawa mashoga.
Mashoga walikuwepo tangu enzi za kale, sasa hivi mnadhani umeshamiri kutokana na hii mitandao, upatikanaji wa habari umekuwa rahisi.
Walio mashoga wataendelea kuwa mashoga na wasio mashoga wataendelea hivohivo,tuache tu magugu na ngano vikue pamoja,ya nini kuhangaika na kitu ambacho hakisababishi hasara?
 
Kama ushoga utaruhusiwa maana yake kila mwanaume anakuwa na option ya kuwa shoga.

Sasa tuelezeni ni kwanini mnahisi wanaume wote hawawezi kuwa mashoga at once
Mbona baba yako mzazi,mdogo na mkubwa pamoja wajombs zako wanavaa sketi na wanaliwa viboga vyao, kwani ushoga umehalalishwa kwenye ukoo wenu??
 
KIFO CHAKO CHA KUJITAKIA KINAIHUSU SERIKALI MAANA UNAPOTEZA NGUVU KAZI YA TAIFA KWA MAKUSUDI, KITU AMBACHO NI HATARI KWENYE UCHUMI WA NCHI NA HATARI PIA KWA WATEGEMEZI WAKO.

NDIO FALSAFA HIYO KUHUSU MADAWA YA KULEVYA KAMA ULIKUWA HAUFAHAMU.
Sasa huoni sababu hiyo hiyo kama ambavyo wewe umejihusisha na ushoga itapunguza nguvu kazi ya taifa. Maana mahusiano ya jinsia moja hayaleti mtoto.
 
Hakuna haja ya kuhangaika ni basi tu wivu unawasumbua some people
Walio mashoga wataendelea kuwa mashoga na wasio mashoga wataendelea hivohivo,tuache tu magugu na ngano vikue pamoja,ya nini kuhangaika na kitu ambacho hakisababishi hasara?
 
My friend inaonyesha hii issue inakuumiza sana hebu upuuzie tu. Walah hamna anayeumia shida ni mashoga kufanya show off au ka amber alivosambaza mtandaoni lazima watu wamshukie ka mwewe. Watu kufanya vyumbani mbona hamna tatizo. Hata machangu serikali huwakamata, hata tendo la ndoa kajulikana Ila hufanywa faraghani. Pole my friend
Point ni kuwa haya mambo yawe faraghani kama lilivyo tendo la ndoa
 
Niache we mtu...nahisi we ndo unapenda.
Mara ina joto sana, Mara laini sana.

Huko mbele kuliumbwa kama hivyo sijui mmpefanyaje maana baridi kwelikweli halafu kama sugu hivi+bwawa.
 
Back
Top Bottom