Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Hebu tuweke hoja mezani,Serikali imekubaliana na ushoga kupigia mikataba ya kimataifa na imesisitiza kupitia waziri wa mambo ya ndani na nje kuwa itawalinda mashoga.Je viongozi waliosaini na kulinda,na kuwatetea mashoga Tanzania ni MASHOGA!?
 
Kwanini ukatae madawa then uukubali ushoga. Yote yanapelekea kufa/kupungua nguvu kazi ya taifa.
MADAWA YA KULEVYA LICHA YA KWAMBA YANAPOTEZA NGUVU KAZI, PIA YANASABABISHA VIFO NA HIVYO KUATHIRI FAMILIA NA NDUGU WA MAREHEMU WANAOMTEGEMEA.

ZAIDI YA YOTE YANAHARIBU UCHUMI WA NCHI KWA KUSABABISHA FEDHA CHAFU NA UZALISHAJI DUNI WA BIDHAA HALISI.

FALSAFA RAHISI KABISA KUELEWA.
 
Mimi nimekuelewa. Point yako ya kwanza imekaa kiafya zaidi na si lazima nifate ushauri wa daktari.
Point yako ya pili mimi sipo responsible na hili taifa yaani silazimishwi kuongeza ama kupunguza nguvu kazi ya taifa. Ni amue mwenyewe tu.
Na nikiamua kukaa tu nisifanye kazi ni uamuzi wangu ilimradi simpi kero mtu mwingine.
Sababu ya Pili mahususi kwa huyo shoga aliyeanzisha Uzi, anaclaim madawa ya kulevya ni sawa yapigwe vita kwa kuwa yanaharibu nguvu kazi ya taifa; Nikampa hiyo punch.

Naamini kule jukwaa la wakubwa unautamania sana huu mchezo.
 
Kupitia ushoga ni dhahiri miaka ya mbele kidogo hakutakuwa na ongezeko la watu na zaidi sana watu watakuwa wachache na pengine kuisha kabisa, maana uzao utapungua sana.
Hii point nadhani ndio ina mashiko nadhani ndipo serikali huenda inapopatia nguvu.
 
Nimekwambia mfano baba ako angekuwa shoga na hivyo akashindwa kuwa familia kwa sababu akajiona ni sawa na mwanamke,unafikiri wewe leo ungekuwepo kuongeza nguvu kazi ya taifa?

Na nimekwambia kuhusu madawa ya kulevya kuna watu wanayatumia na bado ni wachapa kazi wazuri tu pengine kuliko wewe unayepiga vita madawa hayo.

Kuna mambo mengi ya kutetea ila ajabu watu wanatumia nguvu kutetea mwanaume kufanya mapenzi na mwanaume mwenzake,wakati unajiuliza kwanini watu wanapinga ushoga jiulize na hao wengine kwanini wanatumia nguvu kutetea ushoga kiasi kwamba et wanaweza kukunyima msaada wa kimaendeleo kisa ushoga!
KWANI NILIOMBA KUZALIWA?
 
USHOGA HAUNA MADHARA YOYOTE KWA MTU WA TATU.

HIYO NDIYO FALSAFA KUU YA UTETEZI KUHUSU USHOGA.

HAUNA MADHARA KABISA KWA MTU WA TATU.

HAKUNA MADHARA KABISA KABISA KWA NAMNA YOYOTE .
Hili ni shoga lililokubuhu lisiwaumize kichwa!!.
 
MADAWA YA KULEVYA LICHA YA KWAMBA YANAPOTEZA NGUVU KAZI, PIA YANASABABISHA VIFO NA HIVYO KUATHIRI FAMILIA NA NDUGU WA MAREHEMU WANAOMTEGEMEA.

ZAIDI YA YOTE YANAHARIBU UCHUMI WA NCHI KWA KUSABABISHA FEDHA CHAFU NA UZALISHAJI DUNI WA BIDHAA HALISI.

FALSAFA RAHISI KABISA KUELEWA.
Cc demi

Mimi nikifa inaihusu vipi serikali, mbona wengi tu watazaliwa na kulitumikia taifa. Halafu pia familia yangu kuathirika kutokana na kifo changu bado haihusu serikali.
 
Rudia tena...mada zako hazina mashiko...at a km una dini...utamua uwepo dini?jevujui km mungu yupo ndio aliokupa kibri hko?
Hapo ndo unapokosea, Kwa Mfano serikali inasema Haina dini Sasa iweje ianze kuhangaika na mashoga?
 
Tatizo lao mashoga wanataka uhalali wa kisheria kuhusu upumbavu wao. Kwani wakifirana faraghani nani anawaingilia? Shida ni pale wanapoandamana kudai haki zao! Wapumbavu kabisa
Hebu tukumbushe ni lini mashoga hapa tz waliandamana kudai haki zao? Zaidi ya makonda kuingilia faragha zao na kulazimisha watu wafute video kwny simu zao
 
Hizo ni double standars zisizo na maana. Hiki kina madhara mnakipinga..kile kina madhara pia mnakitetea.
Katazo la nchi linaweza lisiwe sahihi.
Mbona mnajali sana kuhusu "uchi/nyuchi" za watu lakini mapafu yao hamyajali?
Sigara sio katazo la kisheria katika nchi mkuu,na ndio maana unaandikiwa neno "onyo"
 
Back
Top Bottom