Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,647
- 11,227
Mwanafunzi wanasema Bado hajafikia umri wa kuwa na rational decision ndiyo maana Huwa ni kosa.ni kuwa unapata kesi ya kubakaKwa point ni makubaliano basi isingekiwa kosa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanafunzi ikiwa mmekubaliana.