AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 12,213
- 20,467
Nipo makini sana kila siku yaan ni leo zaidi ya jana umakini wangu haupimiki kwa kuangalia kwa mboni zako mbili za macho ila ni zaidi ya unavyofikiria ni jinsi gani huyu mtu yupo makini bila kua makini mpaka sasa nisingekua nakuachia comment hapa hio ni kuthibisha ni kwa namna gani nipo makini zaidi ya sana, na wewe uwe makini tusije tukaanza kujiuliza hii ID ya ShesRise_1 imepotelea wapi kumbe ulipunguza umakini ukajazwa kifusi kua makini sanaKua makini sana
Hukuniambia ningejua wala ni singer ku tagTuliachana mda sana, sikukuambia?
Uliachana na nani we mzee?Tuliachana mda sana, sikukuambia?
Bills ilikuwa nomaa 🔥🔥 Vibe la pale lilikuwa kivingineHahahaha unanikumbusha enzi hizo ,bills na hard rock
Now unazipata pale the malz
Nikipata kama huyu anayezimia kwa ajili ya mwngn, Mungu anipe nini tena 🙌
Eh mamaaaaaa yeleuwiii 🙆Jichanganye! Mtoto wa mjini huyo.
Hahahaha,imepoteza sana VijanaBills ilikuwa nomaa 🔥🔥 Vibe la pale lilikuwa kivingine
View attachment 3607685
View attachment 3607686
Sawa mkuuNipo makini sana kila siku yaan ni leo zaidi ya jana umakini wangu haupimiki kwa kuangalia kwa mboni zako mbili za macho ila ni zaidi ya unavyofikiria ni jinsi gani huyu mtu yupo makini bila kua makini mpaka sasa nisingekua nakuachia comment hapa hio ni kuthibisha ni kwa namna gani nipo makini zaidi ya sana, na wewe uwe makini tusije tukaanza kujiuliza hii ID ya ShesRise_1 imepotelea wapi kumbe ulipunguza umakini ukajazwa kifusi kua makini sana
Siamini wala babu yangu mpoleeYeye ndio ananichezea🤣🤣🤣
Utapata ila kuna vitu mpaka uacheNikipata kama huyu anayezimia kwa ajili ya mwngn, Mungu anipe nini tena 🙌
Kwani anakupaga nini? Si kwa utetezi huu🙆♂️🙆♂️Siamini wala babu yangu mpolee
Silali peke yangu, I m just in a committed relationship with beer🍺Punguza kidogo uache kulala peke yako
😅 vijana wanapokea mambo bila kuchuja.. niliachana na bills siku nimekaa na totoz kama tatu hivi kuja shangaa hela na wallet hakuna, kutoka pale ndio kama wakawa wamenitoa kwenye ulimwengu wa bills na club kwa ujumla sikuwai ingia club kwa zaidi ya mwaka au miaka.. Kulikuwa na toto kali sanaaHahahaha,imepoteza sana Vijana
Haya sasa matusi 🤣🤣Kwani anakupaga nini? Si kwa utetezi huu🙆♂️🙆♂️
Niachie ganji nikuletee mtoto mpaka hapo Daraja 2.Nikipata kama huyu anayezimia kwa ajili ya mwngn, Mungu anipe nini tena 🙌
Was one of my favourite soapUnawaza isidingo tu
Sema jitose mwanangu kujichukulia sheria mkononi kuna muda kunachosha.Eh mamaaaaaa yeleuwiii 🙆
Ngoja niwe mpole nisije nikauponza