Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Kwenye mada sijaona km kataja dhehebu!
Lkn mi naposali ss,na nilipotokea sijaona hii kitu ,sijui huko mliko wenzetu?
hujaona kkkt hapo juu, umewezaje kuni quote mimi bila kusoma hoja nzima? Mbona unatetea sana kkkt kuwa hakuna michango, au we ndiye mchungaji mhamasishaji wa kutoa michango? Tena huko kkkt ndio kuna michango mingi na mikubwa kuliko kwingine. Hayo mashule, vyuo na mahospitali ni michango ya waumini kwa kwenda mbele. Mshangao na maudhi ni pale muumini anachangia lakini akihitaji huduma hatatambuliwa kama alitoa mchango, watoto wake hawatasoma shule na vyuo alivyochangia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tajeni na zinginee ID zangu, tena muwaambie modes waziungee.
 
Niliacha Kwa sababu hizi:
1.Matajiri kupendelewa
2.Niligundua wachungaji wengi ni maspy
3.Kuitwa KONDOO
4.Niligundua kumbe Mungu yupo nasi kila sehemu siyo kanisani tu.
5.etc,..etc,..etc.
 
Duh! Kwahiyo mimi uduguu cocastic na muda huo nakuwa amadi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi nilishasema anayesema cute wife dume aje nimkaze shida iko wapi? Mbona fresh tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wenyee heka heka na JF, coca anawatesa mnoooo, wakimaliza kutaja I'd zangu zote, wanipe ruhusa nimuambie mode m1 hivi aziunge.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeongea kweli mkuu.
KKKT watatuua kwa michango jamani.

Mi naimba kwaya mkuu.
Naenda mazoezi mara 3 kwa wiki na kila siku natakiwa mchango wa kwaya na sadaka.Hapo ni mbali na kama kuna mwenzetu kafiwa/olewa/ugonjwa.

Kuna michango ya Jumuiya na.sadaka.
Then kuna michango utitiri ya kanisa.
Acha tu ila kwa Yesu raha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katibu ueneziii nipooooo, mashoga tuko winja winjaaaa, afu tunajikubaliii sasa na hatujifichiiiiiiii.

Raha ya kuwa Shoga uwe waziii jamii ikujadili, usipojadiliwa wee sio Shoga ni lijari uliye kwa mkopooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Watu na ushogaa wetuuu, na haturingiii wala nn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…