Kwanini uchimbe mashimo kwa ajili ya Choo?Usichimbe soma hapa

Kwanini uchimbe mashimo kwa ajili ya Choo?Usichimbe soma hapa

Chimba shimo panga tairi za Scania supper single shimo litadumu kuliko kujengea tofali wala kupanga mawe halafu gharama haifiki laki
Naomba unieleweshe vizuri mkuu...maana ulivyotaja laki moja! Umenishawishi...
 
Mi hapana, maelezo machache sana. Kwa mfano nikinya halafu nikatumia t paper, itaenda wapi, na hayo maji kama nikitumia yataenda wapi. Mara zote choo na bafu vinaungana na unajua detergent zilivyo kiburi zinaua hayo mabaiolojia yote, sasa mavi na kashimo hako si yatafoka kurudi ndani halafu iwe tabu sana? Toa maelezo ya kitaalam kwanza
Hivi kufoka maana yake nini
 
Acha masikhara mkuu,kashimo kadogo Sana,kuna watu wanakunya mkuu balaa
 
Acha masikhara mkuu,kashimo kadogo Sana,kuna watu wanakunya mkuu balaa
Tafadhali uliza swali ili nikujibu, unaposema niache masihara sio swali na hautaelewa,ndio ni system ndogo sana ina mita 1 upana na kina I.e na volume ya 1mitacubic.
 
Hii teknolojia imeanzia wapi na lini?

Katika nchi zilizoendelea hili linafanyika?

Changamoto yake kubwa ni ipi?
Mi binfsi niliitoa south Africa, lakini through literature nimejua imefanyika sana ulaya na Asia hasa india ,
Changamoto kubwa ni kama ukitupia indigestible material kama mifuko ya plastics,solid matter kama Mawe, hapo lazima ifail, na suluhisho lake ni kutoa tu hayo makitu na kuiactivate tena,unaendelea kupiga mzigo.
So far kwa tz hatujawahi kukutana na tatizo lolote in our 3 years of operation
 
Ni rafiki,ndo maana nimetoa maelezo kuwa asilimia kubwa tumefanya kazi kwa kwenye maeneo hayo kwa sababu unakuta mtu kishachoka na adha hiyo.
Second: Free water from biodigester inaelekezwa kuungana na water level,and the system should placed just high 30cm above it.
Halafu kiingereza kiiingi wakati wenye hela ni waswahili !
 
Me nimejenga shimo la Urefu wa ft12 nimejengea na mawe Yale yanayonyonya maji,,,,nimetumia laki Saba tu,,

na nimechimba shimo dogo la futi kama sita Then nikamwaga hayo mawe MAALUM juu nikafunika naironi ngumu na kumwaga kifusi, ,,iyo kwa maji machafu yakutoka bafuni,,,, mwaka wa Kumi huu hakuna kujaa wala nn
Mawe ya kunyonya maji ni ya aina gani ? TASK FORCE
 
Na ana bore ! Kitu kipya na unatafuta wateja lakini maelezo hayako kwa kina, inabaki watu kuwa na maswali mengi.
Niliwahi kuona hii kitu Nairobi. Sikupata kuielewa kwa kina.
pole,lakini mbona nimejibu maswali mengi tu Mkuu?
 
Mkuu elewa kwamba kinyesi ni nutrients tu, hakuna kitu kigumu humo,chukulia mfano mgonjwa ambae analshwa kwa mrija,analishwa nutrients tu,na anasurvive vivo hivyo kinyesi ni nutrients ambao composition yake kubwa ni CHO I.e carbon,hydrogen na oxygen,so microbacteria wanapotumia hicho kinyesi completely wanatoa Maji,na gases tu hakuna solids,ndo maana nasema hakijai bcoz the composition inside our biodigester is very effective and its effectiveness is aided by the enzymes that we used to add, and secondly the condition created in it is favourable for microbial processes, nicheki kwa hiyo number kama hujaelewa,Jana jumapili nashukuru nilipata watu watatu nikawatembeza kwenye projects tulizofanya na waka appreciate the system,kama kuna mwigine its on my expense to take you to my one of sites.
Ushirombo unajua sio kwmb hatuamini teknolojia hii na kuna uwezekano mkubwa sana wa kupata wateja wengi mno kwani watu wanajenga sana tena mijini

Ila naona unashindwa kujibu baadhi ya maswali straightly.

Kwa mfano bado hujaeleza deeply kuwa hayo maji mnayoelekeza kwenye water level sijui 30 cm down yanaenda wapi? Kwasababu with time hata ardhi nayo huwa inashiba maji na ndio maana kuna matindiga.

Hiyo ya kuelekeza maji ardhini ni kwa vipi itakuwa reliable?
 
Mm nilifikiri labda lak7??? Kumbe m3???? For what '''???wakati m1.5ninajenga shimo kubwa lakudum. Mmechemka
 
Biodigester Toilet / Latrine System
Bio-Digester Toilet is a decomposition toilet system by means of which the sludge(Human Waste), the fecal matter, is decomposed to bits in the digester tank using a specific high graded bio-catalyst further converting them into methane and water, discharged further to the desired surface where they can be used. The Bio-digester toilet is total maintenance-free system & does not require any sewage system.

Feacal degradation occurs through catalytic reactions which converts it into biogas. The smell of feacal matter, the disease causing organisms in the feaces and the solid matter are almost eliminated. On dry weight basis, 90% of the solid waste is reduced. The gaseous effluent (bio-gas) is continuously let off to the atmosphere. Biogas can be used for various energy incentive activities like cooking water and room heating. Liquid effluent can be drained to any surface or soak pit without any environmental hazards.

A catalyst has been formulated and adopted to work at temp as low as 5 Co. This is the component which acts as seed material to the bio digester and converts the organic waste into methane and carbon-dioxide. Bio-digester serves as reaction vessel for bio machination and provides the conditions and required temp for the reaction. The optimum temp is maintained by catalytic heat, insulation of the reactor and solar heating.

The following are the various kinds of biodigester toilets and their target groups;


Domestic Bio-Toilet
Plain Institutional
solar Bio-Toilet
Bio-gas generator bio-toilet
Target Groups
http://expressdrainage.com/index.php

fixed-dome-biodigester.jpg
floating-dome-biodigester.jpg
installation-maintenance-servicing-tubular-biodigester.jpg
biodigester-toilet.jpg
decentralized-waste-water-treatment-system.jpg
supply-chemicals-centralized-waster-water-treatment-systems.jpg
installation-maintenance-servicing-wind-turbines.jpg
solar-panel-nstallation.jpg



Installation, Maintenance and Servicing of Tubular Biodigester

Domestic Bio-Toilet
Plain Institutional
solar Bio-Toilet
Bio-gas generator bio-toilet
Target Groups

Domestic Bio-Toilet
Kenya’s slum and majority of rural population defecates in the open and this can aptly be called the "big open toilet of Kenya". Few toilets in the urban slum and rural areas are connected to the sewerage system; sewage from the rest flows in open drains, causing contamination of ground as well as river water, as per 2009 Census. This has serious health implications and is consequently a big economic burden.

biodigester-toilet-system.png


Time has come to use technology and advances in biological sciences to tackle this problem;
Bio-Digester Toilet System, based on catalytic biodegradation of organic waste was conceived and initially developed for defense forces deployed at high altitudes areas. In this system, fecal matter is decomposed to bits and converted into water and little of carbon dioxide & methane gas. It is totally maintenance-free system and does not require any sewerage system.

Maintenance of bio toilet; The components of bio toilet are; toilet seat; the drain pipe from the toilet connected to the bio-digester, the bio-digester itself, the catalysts and the outlets of gas and liquid effluent. All of them should be maintained and should be in working condition.

  • After using the toilet the man should pour 1 liter (4 Mugs) of water.
  • Bio- toilet can be used conveniently by 50-60 persons every day.
  • Keep the toilet clean.
To check the proper functioning of bio-digester;Close the outlet valve for 24 hours, open it then, take the burning match stick close to the out let valve, the gas will burn and this indicates that the bio digester is Functioning well.
Don’ts; Do not throw Kerosene, Soap, Plastics, Bottle, Tin Cans, and antiseptics inside the toilet Seat AND Do not let the gas out let valve close.

Benefits of Residential Bio-Digester Toilets
  • Compact in size
  • Quick installation
  • Zero maintenance
  • No residual solids waste
  • No Pathogens
  • No foul smell
  • Only water discharge
  • No need for big Sewage treatment plants
  • Mitigates pollution of underground and river water
Source:Express Drainage Solutions | Sanitation | Wastewater treatment | Renewable energy | Bio-digester Systems, Decentralized Wastewater Treatment System | Biodigester Toilet / Latrine System | Bio-catalyst application | Renewable energy sources | Bio-gas Technology Biomass | Workshop Training
Nimekuelewa vizuri sana hapa...!
 
Niliona technologia kwa mjerumani mmoja. yeye alichimba shimo kama kawaida la maji taka harafu akatengeneza mfereje mita 1.5 kwenda chini na upama wa 0.25. kwa urefu utakaotaka wewe. na chini yake alitandaza mawe, ni kokoto za kawaida tu na juu anarudishia udongo wa kawaida. Ni mwaka wa 30 sasa hakuna kujaa wala nini kwa shimo hilo. Ila miti yote iliyo jirani na hapo inanawili kweli kweli bila kujali kiangazi wala nini.

Kwa kawaida miti hitafuta maji so mizizi ikishapata source ya maji inakuwa ka mpira kumagilia mti husika.
 
Mi binfsi niliitoa south Africa, lakini through literature nimejua imefanyika sana ulaya na Asia hasa india ,
Changamoto kubwa ni kama ukitupia indigestible material kama mifuko ya plastics,solid matter kama Mawe, hapo lazima ifail, na suluhisho lake ni kutoa tu hayo makitu na kuiactivate tena,unaendelea kupiga mzigo.
So far kwa tz hatujawahi kukutana na tatizo lolote in our 3 years of operation
Sawa Mkuu nimekuelewa, nitakufuata Whatsapp
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom