Word
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 1,406
- 3,352
We mzeeee tunaomba uelezee vyema aiseee ..tupate maujanja hayo tafadhariSijajua kwakweli. Mi nlichimba ili litumike kwa muda kabla sijajipanga kuweka kubwa la kudumu. Nashangaa mijamaa inakunya tu na shimo halijai...
Mkuu tupe utaratibu nasisi tufanye mazuri aiseeeeHii nimeifanya ninapoishi na ni miaka 21 bila kujaa wala kutoa halufu