Kwanini uchimbe mashimo kwa ajili ya Choo?Usichimbe soma hapa

Kwanini uchimbe mashimo kwa ajili ya Choo?Usichimbe soma hapa

Sisi hatuchimbi mashimo, tunakuletea hiyo system ready made na tunachimba French drain ambayo mwsho inafukiwa inabaki ardhi kama awali
Hewa itatokea wapi mkuu maana yabisi ya binadam ina gesi kuliko ile ya mtwara
 
Habarini,leo tena nawakumbusha kwa wanaoendelea kujenga kwenye maeneo madogo hata makubwa kwamba huna haja ya kuchimba mashimo kwaajili ya Choo,tumia technology yetu ya Biodigester Decentralized System ni nafuu,haijai,inachukua nafasi ndogo pia ni environmental friendly.Hata kwa walio na Nyumba tayari,tunaweza kukubadilishia ukaishi maisha ya furaha yasiyokua na bugudha ya harufu ya Choo au nzi.Tunapatikana Dar lakini tunafanya kazi mikoa yote,
Karibuni,
Free kuja site kwako pia tunakupa ushauriView attachment 633456
4a92c6203a426dc3a761598f66101498.jpg
af1efebd633431c97a2dfd4a26802e78.jpg
Maelezo yako hayajitoshelezi, hauelezi hiii system inafanyaje kazi matumizi yake yakoje? Ni kwa nyumba za familia tuu au na biashara yani hujajipanga hata kdg
 
Chimba shimo panga tairi za Scania supper single shimo litadumu kuliko kujengea tofali wala kupanga mawe halafu gharama haifiki laki
Asee umenikumbusha mbali kuna jirani yetu alishusha matair pikapu imejaa mi nikadhani kahamishia gereji nyumbani kumba yalikuwa ya kuwekea chooni na hadi sasa sijawahi kumwona hata akichimba choo tangu aweke
 
Warranty miaka 3 michache sana tena ukute umejenga nyumba family uko dady mam na 2 kids ata waje wageni miaka 3 michache ,watu tumekaa nyumba population ya kutosha miaka adi 8 mzgo unapeta sa c bora uchimbe kawaida
 
Hewa itatokea wapi mkuu maana yabisi ya binadam ina gesi kuliko ile ya mtwara
no,kinyesi cha binadamu kina gas ndogo sana,yaani sometimes watu 18 kwa mwezi wanatoa lb 5 tu za gas kwa mwezi,si kama kinyesi cha wanyama na hii ni kwasababu mfumo wa mmeng'enyo wa chakula I.e digestion system kwa mtu una enzymes nyingi sana kuanzia tu mdomoni unakuta amylase na kuna effective absorption of nutrients kwenye utumbo Wote mpana na mwembamba, so kupitia hizo complication ndo maana mavi ya binadamu mara nyingi yana rangi, hata kama akila majani Sawa na wanyama,hiyo rangi is due to the action of enzymes.
 
Mi hapana, maelezo machache sana. Kwa mfano nikinya halafu nikatumia t paper, itaenda wapi, na hayo maji kama nikitumia yataenda wapi. Mara zote choo na bafu vinaungana na unajua detergent zilivyo kiburi zinaua hayo mabaiolojia yote, sasa mavi na kashimo hako si yatafoka kurudi ndani halafu iwe tabu sana? Toa maelezo ya kitaalam kwanza
"NIKINYA"..."MAVI"...Mkuu punguza ukali wa maneno, wengine tunakula hapa.
 
Kama maelezo yako ayatoshelez hv jaribu kutuambia kidogo iyo technologia inafanya kazi kivipi ?

Biodigester Toilet / Latrine System
Bio-Digester Toilet is a decomposition toilet system by means of which the sludge(Human Waste), the fecal matter, is decomposed to bits in the digester tank using a specific high graded bio-catalyst further converting them into methane and water, discharged further to the desired surface where they can be used. The Bio-digester toilet is total maintenance-free system & does not require any sewage system.

Feacal degradation occurs through catalytic reactions which converts it into biogas. The smell of feacal matter, the disease causing organisms in the feaces and the solid matter are almost eliminated. On dry weight basis, 90% of the solid waste is reduced. The gaseous effluent (bio-gas) is continuously let off to the atmosphere. Biogas can be used for various energy incentive activities like cooking water and room heating. Liquid effluent can be drained to any surface or soak pit without any environmental hazards.

A catalyst has been formulated and adopted to work at temp as low as 5 Co. This is the component which acts as seed material to the bio digester and converts the organic waste into methane and carbon-dioxide. Bio-digester serves as reaction vessel for bio machination and provides the conditions and required temp for the reaction. The optimum temp is maintained by catalytic heat, insulation of the reactor and solar heating.

The following are the various kinds of biodigester toilets and their target groups;


Domestic Bio-Toilet
Plain Institutional
solar Bio-Toilet
Bio-gas generator bio-toilet
Target Groups
http://expressdrainage.com/index.php

fixed-dome-biodigester.jpg
floating-dome-biodigester.jpg
installation-maintenance-servicing-tubular-biodigester.jpg
biodigester-toilet.jpg
decentralized-waste-water-treatment-system.jpg
supply-chemicals-centralized-waster-water-treatment-systems.jpg
installation-maintenance-servicing-wind-turbines.jpg
solar-panel-nstallation.jpg



Installation, Maintenance and Servicing of Tubular Biodigester

Domestic Bio-Toilet
Plain Institutional
solar Bio-Toilet
Bio-gas generator bio-toilet
Target Groups

Domestic Bio-Toilet
Kenya’s slum and majority of rural population defecates in the open and this can aptly be called the "big open toilet of Kenya". Few toilets in the urban slum and rural areas are connected to the sewerage system; sewage from the rest flows in open drains, causing contamination of ground as well as river water, as per 2009 Census. This has serious health implications and is consequently a big economic burden.

biodigester-toilet-system.png


Time has come to use technology and advances in biological sciences to tackle this problem;
Bio-Digester Toilet System, based on catalytic biodegradation of organic waste was conceived and initially developed for defense forces deployed at high altitudes areas. In this system, fecal matter is decomposed to bits and converted into water and little of carbon dioxide & methane gas. It is totally maintenance-free system and does not require any sewerage system.

Maintenance of bio toilet; The components of bio toilet are; toilet seat; the drain pipe from the toilet connected to the bio-digester, the bio-digester itself, the catalysts and the outlets of gas and liquid effluent. All of them should be maintained and should be in working condition.

  • After using the toilet the man should pour 1 liter (4 Mugs) of water.
  • Bio- toilet can be used conveniently by 50-60 persons every day.
  • Keep the toilet clean.
To check the proper functioning of bio-digester;Close the outlet valve for 24 hours, open it then, take the burning match stick close to the out let valve, the gas will burn and this indicates that the bio digester is Functioning well.
Don’ts; Do not throw Kerosene, Soap, Plastics, Bottle, Tin Cans, and antiseptics inside the toilet Seat AND Do not let the gas out let valve close.

Benefits of Residential Bio-Digester Toilets
  • Compact in size
  • Quick installation
  • Zero maintenance
  • No residual solids waste
  • No Pathogens
  • No foul smell
  • Only water discharge
  • No need for big Sewage treatment plants
  • Mitigates pollution of underground and river water
Source:Express Drainage Solutions | Sanitation | Wastewater treatment | Renewable energy | Bio-digester Systems, Decentralized Wastewater Treatment System | Biodigester Toilet / Latrine System | Bio-catalyst application | Renewable energy sources | Bio-gas Technology Biomass | Workshop Training
 
hata mie nashangaa,huo udongo karibu na hayo mashimo,hauwezi kutitia??? safety ya watoto?
 
mzee ninge attach hapa majibu ya maabara,ila effluent yetu imekidhi vigezo vya nemc kuachiwa kwenye water stream, kuhusu visima kaka hakuna pollution.Kwani hata yakisafiri radially tunajua pollution is inversely proportional kwamba kadili yanavyosafiri yanakua yanachujwa na mchanga, that's why kuna mtu hapo juu nilimuuliza unajua sand filter?


Nashukuru kwa maelezo yako, nmepata kitu kuhusu hii invension ya vyoo vya biotec, nadhani jamii inahitaji elimu na support ili kuipata, na ukiangalia Tanzania kuna tatizo la watu kutokuwa na vyoo standard na ardhi inazidi kuwa vinyu.
 
Sasa jombaa unarahisisha nini hapo? Nimetengeneza mashimo kwa matofali flani hivi system yote pamoja na ufundi na kuchimbaa juu haizidi 600000/=

ffb15e4d319b6b1f7342fd1b4eaa485c.jpg
 
Sasa jombaa unarahisisha nini hapo? Nimetengeneza mashimo kwa matofali flani hivi system yote pamoja na ufundi na kuchimbaa juu haizidi 600000/=

ffb15e4d319b6b1f7342fd1b4eaa485c.jpg
hii bro una pollute our environment, na risk pia ya shimo kuanguka uta weaken the soil mwisho wa siku hiyo vertical height I.e depth na mzigo wa cover vitashindwa kubebwa na soil,.Hii ni normal approach ya foundation engineering,litaanguka,lakini kama uko tayar Kubear hiyo risk,well jenga,afu hiyo space ya hilo shimo haitatumika tena,na ushauri wangu wa mwisho kwako in the time of flood when the soils are saturated with water,shimo lako ndio litakua kimbilio la Maji,kumbuka theories za pressure kwamba liguid au fluid moves from high concentration to low,so ardhi inapokua na Maji mengi,yataanza kukimbilia kwenye shimo lako,hapo utanyonya daily hadi uchoke.
Huo ni ushauri tu,kama huna hela au umeamua kubana matumizi jua hizo risk.
 
no,kinyesi cha binadamu kina gas ndogo sana,yaani sometimes watu 18 kwa mwezi wanatoa lb 5 tu za gas kwa mwezi,si kama kinyesi cha wanyama na hii ni kwasababu mfumo wa mmeng'enyo wa chakula I.e digestion system kwa mtu una enzymes nyingi sana kuanzia tu mdomoni unakuta amylase na kuna effective absorption of nutrients kwenye utumbo Wote mpana na mwembamba, so kupitia hizo complication ndo maana mavi ya binadamu mara nyingi yana rangi, hata kama akila majani Sawa na wanyama,hiyo rangi is due to the action of enzymes.
Ok nimekuelewa mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom