Kwanini uchimbe mashimo kwa ajili ya Choo?Usichimbe soma hapa

Kwanini uchimbe mashimo kwa ajili ya Choo?Usichimbe soma hapa

Sasa jombaa unarahisisha nini hapo? Nimetengeneza mashimo kwa matofali flani hivi system yote pamoja na ufundi na kuchimbaa juu haizidi 600000/=

ffb15e4d319b6b1f7342fd1b4eaa485c.jpg
Mkuu huyu Fundi wako unaweza tupatia contact hapa
 
Chimba shimo panga tairi za Scania supper single shimo litadumu kuliko kujengea tofali wala kupanga mawe halafu gharama haifiki laki
Ahsante Mkuu kwa mawazo mbadala.
Naomba Maelezo kidogo inafanyikaje na kwanini zitumike tairi za Scania
 
Hizi ni enzymes, pia nauza kwa wale wenye mashimo ya zamani, ambayo kwa sasa yanasumbua kujaa mara kwa mara
IMG20200711201521.jpeg
 
Hebu ngoja nipige hesabu kidogo
choo cha shimo cha futi 15
futi 15*10,000=150,000
kujengelea tofali 200*1200=240,000
fundi kujengelea 100,000
Jumla 490,000

Kwenye Mil. 3 napakiwa na bei gani? jamani! bora nikomae na shimo tu!
Haaaah haaaaah sure
 
Sehemu ambazo watertable ni high tunafanya pia,tuna uhakika na kazi zetu ndio maana tunatoa warrant ya 3 years, na terms zingine nzuri tu,
Maeneo ya high watertable ndo tumefanya sana coz unakunatana na mtu alishachoka kunyonya kila week, anaamua tu kutuamini,lakini imani yake inakua kweli na hadi leo hawasumbuki

Hicho ni choo cha mkoa ambacho kinajaa kila wiki?acha kupotosha
 
Hii system inafanya kazi kibailogia, its air and water tight and there is addition of additives enzymes that boost microbial growth, kwahiyo biodegradation ya kinyesi inakua so effective na kuacha no solids ndani ya system,kifupi ni kwamba kinyesi choote kinakua Maji tu,ndo maana system haijai
Dah...na hizo additive enzymes gharama zake zikoje? [emoji2960]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
T
Kwa dar 3mil kwa nyumba mpya,
Mcheki jamaa 0784934147 Director
Tatizo la wabongo ni hilo akija na kitu kipya anataka kugonga bei kama vile wote ni wachimbaji wa dhahabu hiyo bei ya choo ni sawa na bei ya nyumba nzima nani atalipia 3Mil. asijenge nyumba fanya utafiti wa soko na mahitaji ya biashara yako utapata wateja wengi mpaka ushindwe kuwahudumia ila kwa 3M sijui
 
Me nimejenga shimo la Urefu wa ft12 nimejengea na mawe Yale yanayonyonya maji,,,,nimetumia laki Saba tu,,

na nimechimba shimo dogo la futi kama sita Then nikamwaga hayo mawe MAALUM juu nikafunika naironi ngumu na kumwaga kifusi, ,,iyo kwa maji machafu yakutoka bafuni,,,, mwaka wa Kumi huu hakuna kujaa wala nn
Mkuu vp ulinyonya au bado unadunda tu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom