Kwanini uchimbe mashimo kwa ajili ya Choo?Usichimbe soma hapa

Kwanini uchimbe mashimo kwa ajili ya Choo?Usichimbe soma hapa

Ushirombo unajua sio kwmb hatuamini teknolojia hii na kuna uwezekano mkubwa sana wa kupata wateja wengi mno kwani watu wanajenga sana tena mijini

Ila naona unashindwa kujibu baadhi ya maswali straightly.

Kwa mfano bado hujaeleza deeply kuwa hayo maji mnayoelekeza kwenye water level sijui 30 cm down yanaenda wapi? Kwasababu with time hata ardhi nayo huwa inashiba maji na ndio maana kuna matindiga.

Hiyo ya kuelekeza maji ardhini ni kwa vipi itakuwa reliable?
yanaungana na ground water kaka,hakuna siku itashiba yaani ni kama vile mito inapeleka Maji baharini hakuna siku bahari itajaa,the same na groundwater kwa sababu ground water ni uwanda mpana sana,hayo Maji hayawezi hata kutrigger 1cm rise ya groundwater
 
Kama maelezo yako ayatoshelez hv jaribu kutuambia kidogo iyo technologia inafanya kazi kivipi ?
mwenyewe nimebaki nashangaa tu hapa...anasema tusichimbe halafu hasemi tufanyaje, ametuwekea mapicha tu hatuelewii,
 
Hii system inafanya kazi kibailogia, its air and water tight and there is addition of additives enzymes that boost microbial growth, kwahiyo biodegradation ya kinyesi inakua so effective na kuacha no solids ndani ya system,kifupi ni kwamba kinyesi choote kinakua Maji tu,ndo maana system haijai
halafu hayo maji yana kwenda wapi?
hiyo system nani atakuwa anaiOperate?
 
halafu hayo maji yana kwenda wapi?
hiyo system nani atakuwa anaiOperate?
ni natural system,self-control, Maji nimeeleza juu kwa kina mkuu ,kuna watu j2 ilibidi niwapeleke kwa baadhi ya sites kuangalia na kuuliza maswali,Bahati nzuri kote waliwakuta na watumiaji
 
Hii system inafanya kazi kibailogia, its air and water tight and there is addition of additives enzymes that boost microbial growth, kwahiyo biodegradation ya kinyesi inakua so effective na kuacha no solids ndani ya system,kifupi ni kwamba kinyesi choote kinakua Maji tu,ndo maana system haijai
na wale wanaotoa uchafu mgumu zaidi ya mawe je unaweza kugeuka maji!!!!!!!
 
Ushirombo umefeli kwenye tangazo la biashara yako.

Wingi wa maswali ndio kipimo cha kwanza kabisa.

Unafelishwa na namna unavyojibu kwa kuchanganya lugha zaidi ya tatu i.e kiswahili, kiingereza na kinyiramba.

Kwenye kiingereza misamiati ya baiolojia si rafiki kwenye fasihi, ulipaswa kuwa na ufahamu wa kutosha ili ikurahisishie kupata tafsiri nyepesi kueleweka kwa wasomaji wako.

Kiswahili chako kuna sehemu kupitia majibu yako unatafsika kuwa "unakiburi" (sifa mojawapo ya wanyiramba)

Lugha ya mawasiliano ya kinyiramba ndiyo umefeli kupita maelezo, imekutambulisha asili yako tu na si vinginevyo.

Acha vijigambo weka maelezo yaeleweke kwa wengi ili wachache watakaokuwa hawajaelewa wanaweza kueleweshwa hata na waliokusoma na kukuelewa.

Tetea bei yako kama mfanyabiashara acha kulegea legea kama mlenda!
 
Habarini,leo tena nawakumbusha kwa wanaoendelea kujenga kwenye maeneo madogo hata makubwa kwamba huna haja ya kuchimba mashimo kwaajili ya Choo,tumia technology yetu ya Biodigester Decentralized System ni nafuu,haijai,inachukua nafasi ndogo pia ni environmental friendly.Hata kwa walio na Nyumba tayari,tunaweza kukubadilishia ukaishi maisha ya furaha yasiyokua na bugudha ya harufu ya Choo au nzi.Tunapatikana Dar lakini tunafanya kazi mikoa yote,
Karibuni,
Free kuja site kwako pia tunakupa ushauriView attachment 633456
4a92c6203a426dc3a761598f66101498.jpg
af1efebd633431c97a2dfd4a26802e78.jpg
Tatizo bei ipo juu sana ss wa hali ya chini itakuwa ngum.
 
Biodigester Toilet / Latrine System
Bio-Digester Toilet is a decomposition toilet system by means of which the sludge(Human Waste), the fecal matter, is decomposed to bits in the digester tank using a specific high graded bio-catalyst further converting them into methane and water, discharged further to the desired surface where they can be used. The Bio-digester toilet is total maintenance-free system & does not require any sewage system.

Feacal degradation occurs through catalytic reactions which converts it into biogas. The smell of feacal matter, the disease causing organisms in the feaces and the solid matter are almost eliminated. On dry weight basis, 90% of the solid waste is reduced. The gaseous effluent (bio-gas) is continuously let off to the atmosphere. Biogas can be used for various energy incentive activities like cooking water and room heating. Liquid effluent can be drained to any surface or soak pit without any environmental hazards.

A catalyst has been formulated and adopted to work at temp as low as 5 Co. This is the component which acts as seed material to the bio digester and converts the organic waste into methane and carbon-dioxide. Bio-digester serves as reaction vessel for bio machination and provides the conditions and required temp for the reaction. The optimum temp is maintained by catalytic heat, insulation of the reactor and solar heating.

The following are the various kinds of biodigester toilets and their target groups;


Domestic Bio-Toilet
Plain Institutional
solar Bio-Toilet
Bio-gas generator bio-toilet
Target Groups

fixed-dome-biodigester.jpg
floating-dome-biodigester.jpg
installation-maintenance-servicing-tubular-biodigester.jpg
biodigester-toilet.jpg
decentralized-waste-water-treatment-system.jpg
supply-chemicals-centralized-waster-water-treatment-systems.jpg
installation-maintenance-servicing-wind-turbines.jpg
solar-panel-nstallation.jpg



Installation, Maintenance and Servicing of Tubular Biodigester

Domestic Bio-Toilet
Plain Institutional
solar Bio-Toilet
Bio-gas generator bio-toilet
Target Groups

Domestic Bio-Toilet
Kenya’s slum and majority of rural population defecates in the open and this can aptly be called the "big open toilet of Kenya". Few toilets in the urban slum and rural areas are connected to the sewerage system; sewage from the rest flows in open drains, causing contamination of ground as well as river water, as per 2009 Census. This has serious health implications and is consequently a big economic burden.

biodigester-toilet-system.png


Time has come to use technology and advances in biological sciences to tackle this problem;
Bio-Digester Toilet System, based on catalytic biodegradation of organic waste was conceived and initially developed for defense forces deployed at high altitudes areas. In this system, fecal matter is decomposed to bits and converted into water and little of carbon dioxide & methane gas. It is totally maintenance-free system and does not require any sewerage system.

Maintenance of bio toilet; The components of bio toilet are; toilet seat; the drain pipe from the toilet connected to the bio-digester, the bio-digester itself, the catalysts and the outlets of gas and liquid effluent. All of them should be maintained and should be in working condition.

  • After using the toilet the man should pour 1 liter (4 Mugs) of water.
  • Bio- toilet can be used conveniently by 50-60 persons every day.
  • Keep the toilet clean.
To check the proper functioning of bio-digester;Close the outlet valve for 24 hours, open it then, take the burning match stick close to the out let valve, the gas will burn and this indicates that the bio digester is Functioning well.
Don’ts; Do not throw Kerosene, Soap, Plastics, Bottle, Tin Cans, and antiseptics inside the toilet Seat AND Do not let the gas out let valve close.

Benefits of Residential Bio-Digester Toilets
  • Compact in size
  • Quick installation
  • Zero maintenance
  • No residual solids waste
  • No Pathogens
  • No foul smell
  • Only water discharge
  • No need for big Sewage treatment plants
  • Mitigates pollution of underground and river water
Source:Express Drainage Solutions | Sanitation | Wastewater treatment | Renewable energy | Bio-digester Systems, Decentralized Wastewater Treatment System | Biodigester Toilet / Latrine System | Bio-catalyst application | Renewable energy sources | Bio-gas Technology Biomass | Workshop Training
It is clearly illustrated here, the liquid effluent is directed to soak pit. Where the is fulfilled you can pump out.

Mtoa baada tusaidie how comes hayo maji yapo tee completely in soil.
 
Sijarizika na maelezo. Toa taarifa mfumo unafanyaje kazi. Nn faida zake
 
Mi binfsi niliitoa south Africa, lakini through literature nimejua imefanyika sana ulaya na Asia hasa india ,
Changamoto kubwa ni kama ukitupia indigestible material kama mifuko ya plastics,solid matter kama Mawe, hapo lazima ifail, na suluhisho lake ni kutoa tu hayo makitu na kuiactivate tena,unaendelea kupiga mzigo.
So far kwa tz hatujawahi kukutana na tatizo lolote in our 3 years of operation
Na kutupia kondom pia baada ya kula mbunye itafail pia nadhani.[emoji1] [emoji1]
 
Kwa dar 3mil kwa nyumba mpya,
Mcheki jamaa 0784934147 Director
KWANI UKITUMIA TANKI LA LITA 200 LA PKASTIKI KAMA KIBOKO SI SHILLINGI LAKI 5 NA KUCHIMBA SHIMO SHS 50 ELFU NA HAYO MAMBERNE SI NI STARTER UNACHUKUA TOKA TOILET NYINGINE HATA SEPTIC TANK UNAWEKA? TUPE BEI YA HII SISI TUNATAKA KWELI KITU CHA BEI NDOGO ISIZIDI MILIONI? UKIWEZA HAPA UTAKUWA TAJIRI. MASWALI YOTE HAYO NI HIYO BEI YA MILLION 3. UKITENGENEZA HISSSTEM KWA TANKI LA PKASTIKI KAZI YAKO UNAUZA MTAMBO UNAMWELEZA FUNDI MASONI AIJENGEE KWISHA? HUNA HAJA YA HATA WEWE KWENDA HUKO. WEWE SIRI YAKO NI HIYO MEMBRENE MKUU NA VIPIMO . NAIFAHAMU MKUU INAITWA UASB REACTOR.
 
Mtoa mada ameleta suala nyeti sana lakini hajui hata kuelewesha watu anaotaka wampelekee fedha? Ajabu
uelewa unapishana,kuna watu wameelewa vizuri hadi mmoja kadownload biodigester system notice kaweka humu, imeeleza yooote about it.We kama hujaelewa specify sehemu gani,uliza swali.
 
KWANI UKITUMIA TANKI LA LITA 200 LA PKASTIKI KAMA KIBOKO SI SHILLINGI LAKI 5 NA KUCHIMBA SHIMO SHS 50 ELFU NA HAYO MAMBERNE SI NI STARTER UNACHUKUA TOKA TOILET NYINGINE HATA SEPTIC TANK UNAWEKA? TUPE BEI YA HII SISI TUNATAKA KWELI KITU CHA BEI NDOGO ISIZIDI MILIONI? UKIWEZA HAPA UTAKUWA TAJIRI. MASWALI YOTE HAYO NI HIYO BEI YA MILLION 3. UKITENGENEZA HISSSTEM KWA TANKI LA PKASTIKI KAZI YAKO UNAUZA MTAMBO UNAMWELEZA FUNDI MASONI AIJENGEE KWISHA? HUNA HAJA YA HATA WEWE KWENDA HUKO. WEWE SIRI YAKO NI HIYO MEMBRENE MKUU NA VIPIMO . NAIFAHAMU MKUU INAITWA UASB REACTOR.
UASB ni upflow Anaerobic sludge blanket,hii system sio ya kuweka kwa family kwanza inachukua eneo kubwa,Pili inayoa harufu sana kwani juu iko wazi,tatu implementation cost is very high,NNE inahitaji mantainance ,hizo ni disadvantages chache za hiyo system naijua sana na nimei design sana Mkuu,
usiwaongopee humu

Umesema unanunua plastic tank: kwa ukijua hiyo system yetu pamoja na udogo wake lakini ndani kuna chamber 3, aerobic process unit,anaerobic process unit na collection unit.
ukiweka hiyo tank kitakachokua kinatokea ni short circuiting na mzigo inakua kama ulivyo hauwi digested
Pili pressure ya ardhi itali squeeze tank kwakua force ya Maji ndani haiko balanced na force ya soil.
Jaribu ulete majibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom