Kwanini uchimbe mashimo kwa ajili ya Choo?Usichimbe soma hapa

Kwanini uchimbe mashimo kwa ajili ya Choo?Usichimbe soma hapa

Check our presentation,explaining the detail of the system
 
Hii system inafanya kazi kibailogia, its air and water tight and there is addition of additives enzymes that boost microbial growth, kwahiyo biodegradation ya kinyesi inakua so effective na kuacha no solids ndani ya system,kifupi ni kwamba kinyesi choote kinakua Maji tu,ndo maana system haijai
Hayo maji yanaenda wapi? Kama ilivyosema haijai means kuna njia ya kuondoa maji.
 
Ahsante mkuu. Hii technology ilishafanyika kwa wenzetu ikafanikiwa au ndo imeanzia hapa nchini kwetu?

Maana kinyesi hususani cha binadamu sio kitu cha kukifanyia masihara na majaribio.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hahahaah unahofia dude likishindwa kufumuka/pakupita linarudi ndani lazima mkimbiane
Haaaaah haaah tumefanya maeneo mengi sana dar,na kwingine for a serious client tunaweza kumpeleka sehemu ambazo hiyo project ipo na zinadumu
 
Sehemu ambazo watertable ni high tunafanya pia,tuna uhakika na kazi zetu ndio maana tunatoa warrant ya 3 years, na terms zingine nzuri tu,
Maeneo ya high watertable ndo tumefanya sana coz unakunatana na mtu alishachoka kunyonya kila week, anaamua tu kutuamini,lakini imani yake inakua kweli na hadi leo hawasumbuki
 
Samahani kwa maswali mengi, hata karo la kienyeji nililochimba, chini halijasakafiwa,maji yanazama ardhini ila eventually litajaa maji na kinyesi, hio french drain inafanyaje kazi tofauti na njia ya kawaida maji kunyonywa na ardhi?

Halaf siku zote haya mashimo yetu yanajaaga maji na sio kinyesi.

Hivi vitu sio vya kufanya kwa majaribio kbs maana siku ikileta tatizo kimba zikawa zinaelea kwny choo ndio utakoma


Mm ntabaki kwa mashimo tu endeleeni na hii teknolojia yenu
 
Maji yanaondoka kwa French drain ardhini,
Mosi: Ndio kusema hii teknolojia sio rafiki kwa eneo lenye high water table
2. Fafanua kidogo hususu french drain na inasaidiaje kuongeza uwezo wa kupotea kwa effluent (ardhini) ukiacha hizi Saokage pit zilizozeleka na kutumika kwa miongo kadhaa ambapo tunalazima kunyonya maji kwa waterboozer ?

Je, hii teknolojia itafanya mimi nisahau kuhusu kuita magari ya maji taka kuja kunyonya?
 
1.Swala la maji yanaenda wapi ndo ishu.
2. Pia umesema mnaweka additives kwenye hyo system, once ukishaweka ndo inakua moja kwa moja au unatakiwa uwe unaziweka kla baada ya kpndi flani?
 
Sehemu ambazo watertable ni high tunafanya pia,tuna uhakika na kazi zetu ndio maana tunatoa warrant ya 3 years, na terms zingine nzuri tu,
Maeneo ya high watertable ndo tumefanya sana coz unakunatana na mtu alishachoka kunyonya kila week, anaamua tu kutuamini,lakini imani yake inakua kweli na hadi leo hawasumbuki
Kama haijai kwanini msitoe life time warranty? Au system huwa inakufa baada ya muda? Kama inakufa gharama za replacement au service zikoje? Nataka nilinganishe gharama za kuleta lori la kunyonya na ku-maintain system yenu.
 
Mosi: Ndio kusema hii teknolojia sio rafiki kwa eneo lenye high water table
2. Fafanua kidogo hususu french drain na inasaidiaje kuongeza uwezo wa kupotea kwa effluent (ardhini) ukiacha hizi Saokage pit zilizozeleka na kutumika kwa miongo ka Shaa
Ni rafiki,ndo maana nimetoa maelezo kuwa asilimia kubwa tumefanya kazi kwa kwenye maeneo hayo kwa sababu unakuta mtu kishachoka na adha hiyo.
Second: Free water from biodigester inaelekezwa kuungana na water level,and the system should placed just high 30cm above it.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom