Kwanini uchimbe mashimo kwa ajili ya Choo?Usichimbe soma hapa

Kwanini uchimbe mashimo kwa ajili ya Choo?Usichimbe soma hapa

Effluent kwenda kuunga a na water level. Just 30Cm above water level. If I got you well. It is Completely unacceptable for public Health(Water Pollution). Ground water will be polluted with( fecal coliform)/ Escherichia coli. And isn't env friendly.

Hence it is contrary to law that protect public Health

Otherwise still I am here to get more information from you.
Nashukuru sana Mkuu, Maelezo yako ni mazuri hasa kwa Enviromental protection, litakuja swali la Tort law "WHO IS YOUR NEIGHBOUR" waweza chafua kwako ukaleta shida mtaa wa 5 kwa watakaotumia hayo maji, kwa wanaotumia visima na maji yanayotembea, hata ponds na water resources, maelezo ya kinaga ubaga yanahitajika kwa mtoa mada.
 
Samahani kwa maswali mengi, hata karo la kienyeji nililochimba, chini halijasakafiwa,maji yanazama ardhini ila eventually litajaa maji na kinyesi, hio french drain inafanyaje kazi tofauti na njia ya kawaida maji kunyonywa na ardhi?
Jibu hili swali acha kuvunga hulioni

Cc. Ushirombo
 
Jibu hili swali acha kuvunga hulioni

Cc. Ushirombo
Mkuu, sikia Maji yanayotoka kwenye system yetu yaani effluent,iko very clear haina suspended solids,haina dissolved solids ambazo ndio mara nyingi husababisha hayo mashimo yenu kujaa coz Maji yanakua na so viscous lakin Maji yanayotoka kwenye system yetu ni very light, less viscous so yanapoenda kwenye French drain yanapercolate easily ardhini, BTW French drain is not a treatment system,its a disposal unit,so kama mtu anaishi karibu na stream unayadirect tu huko,
French drain isikupe shida sana kaka.
kuhusu hilo shimo lako lazima lijae at a time t,because unapeleka huko waste iko partially treated.kama unahiji response ingine please use 0784934147 whatsaap nitakujibu vyema,kwani humu sometimes Uzi unapotezwa
 
Nashukuru sana Mkuu, Maelezo yako ni mazuri hasa kwa Enviromental protection, litakuja swali la Tort law "WHO IS YOUR NEIGHBOUR" waweza chafua kwako ukaleta shida mtaa wa 5 kwa watakaotumia hayo maji, kwa wanaotumia visima na maji yanayotembea, hata ponds na water resources, maelezo ya kinaga ubaga yanahitajika kwa mtoa mada.
mzee ninge attach hapa majibu ya maabara,ila effluent yetu imekidhi vigezo vya nemc kuachiwa kwenye water stream, kuhusu visima kaka hakuna pollution.Kwani hata yakisafiri radially tunajua pollution is inversely proportional kwamba kadili yanavyosafiri yanakua yanachujwa na mchanga, that's why kuna mtu hapo juu nilimuuliza unajua sand filter?
 
Ahsante mkuu. Hii technology ilishafanyika kwa wenzetu ikafanikiwa au ndo imeanzia hapa nchini kwetu?

Maana kinyesi hususani cha binadamu sio kitu cha kukifanyia masihara na majaribio.
Sijawahi kucheka ila leo nimecheka hadi mkuu wangu wa kazi akaniuliza unacheka nini...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom