Kwanini uchimbe mashimo kwa ajili ya Choo?Usichimbe soma hapa

Ni rafiki,ndo maana nimetoa maelezo kuwa asilimia kubwa tumefanya kazi kwa kwenye maeneo hayo kwa sababu unakuta mtu kishachoka na adha hiyo.
Second: Free water from biodigester inaelekezwa kuungana na water level,and the system should placed just high 30cm above it.
Effluent kwenda kuunga a na water level. Just 30Cm above water level. If I got you well. It is Completely unacceptable for public Health(Water Pollution). Ground water will be polluted with( fecal coliform)/ Escherichia coli. And isn't env friendly.

Hence it is contrary to law that protect public Health

Otherwise still I am here to get more information from you.
 
Kama haijai kwanini msitoe life time warranty? Au system huwa inakufa baada ya muda? Kama inakufa gharama za replacement au service zikoje? Nataka nilinganishe gharama za kuleta lori la kunyonya na ku-maintain system yenu.
System haifi Mkuu kwa kutumia kinyesi,tp,Maji ya bafu,Maji ya jiko.ila ukianza kutupia madude magumu they are non biodegradable kwahiyo utasababisha kufail,
Kama ikifail tunafanya service tu ya kawaida kusafisha,na kusafisha hiyo system haifiki hata elfu 80 ingawa haijawah kutokea poooote tulipofanya.
Warrant ya maisha sasa itakua biashara gani kaka, once 3 yrs passed naamini utakua umeridhika that the system can sustain longer
 
Yaah inawezekana,mashimo hayana standard hata kwa laki 6 unaweza kuyachimba,sikatai.
Me nimejenga shimo la Urefu wa ft12 nimejengea na mawe Yale yanayonyonya maji,,,,nimetumia laki Saba tu,,

na nimechimba shimo dogo la futi kama sita Then nikamwaga hayo mawe MAALUM juu nikafunika naironi ngumu na kumwaga kifusi, ,,iyo kwa maji machafu yakutoka bafuni,,,, mwaka wa Kumi huu hakuna kujaa wala nn
 
Hiyo bei mbona sasa ni balaa maana unachimba mashimo safi kabisa na chenji inabaki kuuuubwa.
 
Mtoa maada mvivu kuandika
Nakuunga mkono kabisa, mtoa mada weka maelezo yako ameweka presentation sawa ila sio wote hupenda kusikiliza zaidi kama kusoma wengine kusoma wanapenda na kuelewa zaidi.. Na kama ni kazi yake anahtaji wateja ajotoe tangaza kwel aandike watu wanapromote kazi wanaandika hadi page 5 huko yeye ameweka picha tu
 
weka picha za hayo mashine hayo maelezo yako ni machache sana kuweza kum komvice mtu kuinunua
 
Nakuunga mkono kabisa, mtoa mada weka maelezo yako ameweka presentation sawa ila sio wote hupenda kusikiliza zaidi kama kusoma wengine kusoma wanapenda na kuelewa zaidi.. Na kama ni kazi yake anahtaji wateja ajotoe tangaza kwel aandike watu wanapromote kazi wanaandika hadi page 5 huko yeye ameweka picha tu
Nakuunga mkono kabisa, mtoa mada weka maelezo yako ameweka presentation sawa ila sio wote hupenda kusikiliza zaidi kama kusoma wengine kusoma wanapenda na kuelewa zaidi.. Na kama ni kazi yake anahtaji wateja ajotoe tangaza kwel aandike watu wanapromote kazi wanaandika hadi page 5 huko yeye ameweka picha tu
maelezo mengi wengi wanachoka,napenda briefing na kwa vile si maramoja kuleta huu Uzi ,nyuzi za nyumba nilieleza kwa kirefu sana na kuna maswali mengi sana na majibu mengi na hadi feedback ya watu ambao walitutafuta na kuwapeleka site mbalimbali tulipoweka,so leo ilikua kama kukumbushia tu,
ila sorry najua kuna wageni pia,lakini presentation ipo na pia namba ya Mkuu nimeweka anapokea anytime na kujibu Whatsapp anytime
 
Hii Technology niliikuta Gulf Countries, lakini mdau ameshindwa kuweka maelezo rahisi ili wadau waelewe!

Tena hii Technology inawafaa sana hasa wenye Hotel, Lodge ambao huangaika kila wakati kuleta Magari kunyonya Kinyesi! Ukitumia hii Technology hakuna tena hizo gharama!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom