Hata mie nilitaka kujua hiyo teknolojia ya kutochimba.Nikadhani may be wanatumia simutanksMbona na nyie mnachimba?
Mkuu ukijibiwa naomba uni tagMi hapana, maelezo machache sana. Kwa mfano nikinya halafu nikatumia t paper, itaenda wapi, na hayo maji kama nikitumia yataenda wapi. Mara zote choo na bafu vinaungana na unajua detergent zilivyo kiburi zinaua hayo mabaiolojia yote, sasa mavi na kashimo hako si yatafoka kurudi ndani halafu iwe tabu sana? Toa maelezo ya kitaalam kwanza
Hebu nifafanulie kidogo hayo nawe na hilo shimo dogo mkuuMe nimejenga shimo la Urefu wa ft12 nimejengea na mawe Yale yanayonyonya maji,,,,nimetumia laki Saba tu,,
na nimechimba shimo dogo la futi kama sita Then nikamwaga hayo mawe MAALUM juu nikafunika naironi ngumu na kumwaga kifusi, ,,iyo kwa maji machafu yakutoka bafuni,,,, mwaka wa Kumi huu hakuna kujaa wala nn
Ikasirikie nchi yako ambayo imeshindwa kutengeneza central drainage system kiasi kwamba uchafu wa nyumba zote uwe unaelekea huko...Kweli hata mimi nakereka sana kila anayejenga anachima misimoMji umejaa mashimo ya maji machafu kila mahali
Hahah...ulitaka jamaa wawe na kitu kama bluetooth tech hivi!!!Naona Na nyie mmechimba shimo nilifikiri mna teknolojia ya kutochimba kabisa
Yap maana kasema tuachane Na mambo ya kuchimbaHahah...ulitaka jamaa wawe na kitu kama bluetooth tech hivi!!!
Naona sehemu Za Kota ndio wanafanya hivyo wanakuwa Na shimo sehemu Moja linakusanya maji ya kutoka flats zoteIkasirikie nchi yako ambayo imeshindwa kutengeneza central drainage system kiasi kwamba uchafu wa nyumba zote uwe unaelekea huko...
Na vipi sehemu ambayo water table hiko juu, hii system inafaa kweli?Haaaaah haaah tumefanya maeneo mengi sana dar,na kwingine for a serious client tunaweza kumpeleka sehemu ambazo hiyo project ipo na zinadumu
Mkuu elewa kwamba kinyesi ni nutrients tu, hakuna kitu kigumu humo,chukulia mfano mgonjwa ambae analshwa kwa mrija,analishwa nutrients tu,na anasurvive vivo hivyo kinyesi ni nutrients ambao composition yake kubwa ni CHO I.e carbon,hydrogen na oxygen,so microbacteria wanapotumia hicho kinyesi completely wanatoa Maji,na gases tu hakuna solids,ndo maana nasema hakijai bcoz the composition inside our biodigester is very effective and its effectiveness is aided by the enzymes that we used to add, and secondly the condition created in it is favourable for microbial processes, nicheki kwa hiyo number kama hujaelewa,Jana jumapili nashukuru nilipata watu watatu nikawatembeza kwenye projects tulizofanya na waka appreciate the system,kama kuna mwigine its on my expense to take you to my one of sites.Mi ninaihitaji lakini embu nifafanulie makapi yanaenda wapi au haina makapi??