Ushirombo
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 3,558
- 2,714
- Thread starter
- #161
UASB ni upflow Anaerobic sludge blanket,hii system sio ya kuweka kwa family kwanza inachukua eneo kubwa,Pili inayoa harufu sana kwani juu iko wazi,tatu implementation cost is very high,NNE inahitaji mantainance ,hizo ni disadvantages chache za hiyo system naijua sana na nimei design sana Mkuu,
usiwaongopee humu
Umesema unanunua plastic tank: kwa ukijua hiyo system yetu pamoja na udogo wake lakini ndani kuna chamber 3, aerobic process unit,anaerobic process unit na collection unit.
ukiweka hiyo tank kitakachokua kinatokea ni short circuiting na mzigo inakua kama ulivyo hauwi digested
Pili pressure ya ardhi itali squeeze tank kwakua force ya Maji ndani haiko balanced na force ya soil.
Jaribu ulete majibu
Kwa wanaosema ardhi inaloa,angalia hiyo picha,kushoto kwako hizo picha mbili ya juu na chini.hapo juu inaonesha tunajenga system na hiyo ya chini inaonesha eneo hilo hilo lenye system limefukiwa na kupangwa paving blocks na hapo juu ni parking.
Kwa ukubwa huo wanatumia watu 50 hadi 120 continuously