Kwanini Tundu Lissu na Lema hawakwenda uhamishoni kwa marafiki zetu China ila wameenda kwa Wakoloni?

Mnajipendekeza kwa mchina
Lipeni kwanza "deni la URAFIKI"
Eti wanaomba kufutiwa deni la Urafiki ilhali Wachina hawa wanajua kuwa mliwalipa cash mabeberu mabilioni yanayozidi hayo madeni yenu kununua yale madege yanayopamba Uwanja wetu wa ndege wa Dar es salaam.
 
China wanakurudisha....wale kwao Watawala ndio kipaumbele.

Ni sawa Dingi akukurupushe nyumbani alafu ukimbilie kwa yule rafiki yake wanaerudigi nae kila siku mashati mkononi wamelewa njwi....anakurudisha.
 
Kwanza nawatakia ninyi nyote Dominica yenye baraka.

China ni marafiki zetu kama taifa tangia tulipojinasua kwenye makucha kandamizi ya wakoloni waliotunyonya na kututesa sana huku wakipora rasilimali zetu.

Ndio nauliza kwanini Tundu Lissu na Godbless Lema wameomba hifadhi kwa adui zetu wakoloni badala ya kwenda kwa rafiki zetu China?

Maendeleo hayana vyama!
Wakoloni wa Nchi gani miaka hii ya 2020? Hivi Dunia hii ya Utandawazi na Market Economy bado tunaongea Ukoloni" Colonization" ya Berlin Conference ya Karne ya 18?
 
Back
Top Bottom