Huyo anataka ajiraWe ni mwalimu wa shule gani?wanafunzi 800 walimu wa sayansi 2 acha uongo wa thirdy law of motion
Uhaba wa walimu kimekuwa kilio kikubwa na hatimaye kimegeuka wimbo wa taifa unaoimbwa kila kukicha.
Juzi kwenye taarifa ya habari tumesikia mkoa wa geita ukilalamikia ukosefu wa walimu wa masomo ya sayansi. Ukienda shinyanga kilio ni hicho hicho, tabora kilio hicho hicho, ukienda kusini huko ndio usiseme kabisaa. Yaani ni kilio nchi nzima si shule za mijini si vijijini pote hali ni mbaya.
Mwenyewe ni mwalimu na kwenye shule yangu tunao wanafunzi zaidi ya mianane na walimu wa sayansi tuliopo ni wawili tu. Tunafundisha kwa rotation kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne non stop from morning to evening kwa mshahara ule ule bila hata posho ya overtime au ugumu wa kazi. Yaani briefly tunafanya kazi kama watumwa ndani ya nchi yetu.
Kuna muda hadi unakata tamaa na kutamani kuacha kazi ila ukikumbuka kuna familia nyuma inakutegemea unaamua tu kuendelea kibabe. Yote haya yanatokana na upungufu mkubwa wa walimu uliopo kwenye shule zetu lakini serikali inajifanya haioni kama kuna tatizo. Sasa kuliko kuendelea kutesana na kukosesha wanafunzi masomo, Je serikali haioni umuhimu wa kutumia tozo inazokusanya kwa wananchi kuajiri walimu wa kutosha ili kutatua uhaba mkubwa wa walimu uliopo?
Au wana member nyie mnasemaje?
Karibuni kwa mawazo

AMENTozo ni Kwa ajili ya matumizi ya anasa ya serikali, maisha ya Kifahari ya viongozi
Hawataki kupunguza matumizi ya starehe ya serikali
MaV8
Katiba mpya ndio suluhisho
Kama ni ajira za muda mfupi mpaka sasa kuna vijana nimewaajiri mkuu ila uwezo wa kuwapatia ajira ya kudumu ndio sinaUmemaliza? si umeajiriwa ww waajiri na ww wengine
Kwa sababu ya kulinda privacy na anonymity yangu siwezi kutaja jina la shule ninayofundisha ila kama unaweza karibu mkoa wa geita utembelee shule za kata katika halmashauri za bukombe na nyang'hwale utajionea hali halisi ilivyoWe ni mwalimu wa shule gani?wanafunzi 800 walimu wa sayansi 2 acha uongo wa thirdy law of motion
Kwani wale walimu 6000 walioajiriwa miezi miwili iliyopita hawakusambazwa vijijini?!!!Kwa sababu ya kulinda privacy na anonymity yangu siwezi kutaja jina la shule ninayofundisha ila kama unaweza karibu mkoa wa geita utembelee shule za kata katika halmashauri za bukombe na nyang'hwale utajionea hali halisi ilivyo
Tozo ya miamala sio chanzo Cha uhakikaUhaba wa walimu kimekuwa kilio kikubwa na hatimaye kimegeuka wimbo wa taifa unaoimbwa kila kukicha.
Juzi kwenye taarifa ya habari tumesikia mkoa wa geita ukilalamikia ukosefu wa walimu wa masomo ya sayansi. Ukienda shinyanga kilio ni hicho hicho, tabora kilio hicho hicho, ukienda kusini huko ndio usiseme kabisaa. Yaani ni kilio nchi nzima si shule za mijini si vijijini pote hali ni mbaya.
Mwenyewe ni mwalimu na kwenye shule yangu tunao wanafunzi zaidi ya mianane na walimu wa sayansi tuliopo ni wawili tu. Tunafundisha kwa rotation kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne non stop from morning to evening kwa mshahara ule ule bila hata posho ya overtime au ugumu wa kazi. Yaani briefly tunafanya kazi kama watumwa ndani ya nchi yetu.
Kuna muda hadi unakata tamaa na kutamani kuacha kazi ila ukikumbuka kuna familia nyuma inakutegemea unaamua tu kuendelea kibabe. Yote haya yanatokana na upungufu mkubwa wa walimu uliopo kwenye shule zetu lakini serikali inajifanya haioni kama kuna tatizo. Sasa kuliko kuendelea kutesana na kukosesha wanafunzi masomo, Je serikali haioni umuhimu wa kutumia tozo inazokusanya kwa wananchi kuajiri walimu wa kutosha ili kutatua uhaba mkubwa wa walimu uliopo?
Au wana member nyie mnasemaje?
Karibuni kwa mawazo
Demand ya walimu ni kubwa kwakuwa wanahudumia wateja wengi kulinganisha na sekta zingineYaani kila ajira mnataka walimu3 ina maana hii nchi haihitaji kada nyingine? Halafu nyie walimu mbona mnalia2 mno? Yaani nyie mlisoma ili
Mgao wa walimu 6000 ulizingatia zaidi shule mpya ndio walipelekewa wengine hatukuletewa mwalimu hata mmojaKwani wale walimu 6000 walioajiriwa miezi miwili iliyopita hawakusambazwa vijijini?!!!
Wewe huna rafiki zako waliopata ajira za TAMISEMI?!!!
Waliosoma elimu wako wengi mtaani....Mgao wa walimu 6000 ulizingatia zaidi shule mpya ndio walipelekewa wengine hatukuletewa mwalimu hata mmoja
Kama haya mambo hujayaona nyamaza tu aseee nimejionea kwa macho yangu yaani zingine zina uhaba mpaka wa walimu wa kiswahiliWe ni mwalimu wa shule gani?wanafunzi 800 walimu wa sayansi 2 acha uongo wa thirdy law of motion