sindesunde
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 358
- 346
Azam kaingiaje mkuu!ila pee mwana haramu ata ipakazwe damu waumini tutaitumia na vitabu tutanulili na ebu ongeza naisi hii ya afande naisahu kwakua ninamajukumua ya kulinda familia ndoa bado mzee amjedy khan niko nakandamiza mvinyoWakina Tenga na Wenzake walipoteza mda wao kwenda shule kwa sababu Africa ilichelewa saana kun'gamua kuwa soka inalipa kuliko fani nyingi saana ..siku hizi soccer ndio kila kitu bwana....sio lazima upite shule kwanza kwani matajiri woote duniani wanatafuta pesa kwanza arafu ndio wanaajiri hao wakina Tenga na Dk. Msolla et al..kuwafanyia kazi...Case study Bakhresa.n.k