Kwanini Tanzania inashindwa kuzalisha tena wachezaji ambao ni "University Graduates" kama akina Engineer Leodgar Tenga? Tunakwama wapi kama taifa?

Papa1

JF-Expert Member
Apr 21, 2012
1,950
2,000
Chini ya
Msemaji: Haji Manara na
Kocha: Selemani Matola
Line-up ni
1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Mohamedi Hussen
4. Said Ndemla
5. Mzamiru Yasini
6. Hasani Dilunga
7. Ibrahim Hajib
8. Miraji Athumani
9. Mohamedi Kagere
10. John Boko
11. Luis MikiSon

Naona kama majority ni aina ya madrasa kuliko hayo madigrii yako unayotaka kutuambia.

Hizo degree za akina Ledgar Tenga na Lawrence Mwalusako (R.I.P) hazina nafasi hapa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom