Kwanini Tanzania inashindwa kuzalisha tena wachezaji ambao ni "University Graduates" kama akina Engineer Leodgar Tenga? Tunakwama wapi kama taifa?

Kwanini hutaki nilikua nae muccobs ushirika moshi adi yanga wanamsaini kutoka machava ndio alikua anamaliza mwaka wa mwisho
Ukishindwa kuniamini tafuta vyanzo vingine kwenye mitandao taarifa hazipotei
 
Utakua umeamini sasa
 

Attachments

  • Screenshot_20200710-222501.png
    Screenshot_20200710-222501.png
    46 KB · Views: 5
  • Screenshot_20200710-222421.png
    Screenshot_20200710-222421.png
    46.3 KB · Views: 3
Footballers with degrees: Kompany, Mata & 10 players who went to university | Goal.com

Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania;

Kwanini Tanzania inashindwa kuzalisha tena wachezaji ambao ni "University Graduates" kama akina Engineer Leodgar Chila Tenga pamoja na ndugu Mohamed Mbwana Bakari "Junior"? Tunakwama wapi kama taifa?

Ninasikia huyu Mbwana Mohammed Bakari "Junior" alikuja kuwa boss mkuu (Commissioner General) wa idara ya uhamiaji hapa nchini baada ya kuacha kucheza soccer.

Ukijaribu kuangalia kwa haraka haraka katika kikosi cha timu ya taifa ya Soccer ya Tanzania (Taifa Stars) utakuta mchezaji mwenye elimu ya juu ni form six tu.

Kwanini vilabu vya soccer/michezo hapa kwetu havitoi msisitizo kwa wachezaji wao kujiendeleza kielimu ilhali inajulikana fika ya kuwa mchezaji hata kama akiwa ni tajiri sana akisoma anakuwa katika nafasi nzuri ya kusimamia vema mali zake?

BIASHARA: Ninauza Vitabu Vya Kujifunzia Lugha Ya Kijerumani. Ich komme aus der Stadt Dar Es Salaam und verkaufe diese Deutsch-Lernbücher

OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.

Maoni ya mdau
Kama tunashindwa kuzalisha mawaziri wasomi kama Profesa Muhongo, unadhani tutaweza kuzalisha players ?
 
Mapinduzi balama nasikia ni mwanasheria kwa anaefahamu zaidi anaweza tuwekea CV CV yake
 
Kabla hatujaenda mbali.
Kwanini wewe binafsi umeshindwa kuwa mchezaji wenye degree?

Tuje kwenye hoja,
Elimu na michezo ni vitu viwili ambavyo haziendani sababu muda ambao unahitajika uwe darasani ndio muda huo huo unahitajika uwe uwanjani.
Mfano wewe ni mchezaji muhimu wa timu ya Simba unahitajika kwenda kucheza mechi za kimataifa nje ya nchi wakati huo huo pia unahitajika kufanya mtihani wa taifa/UE je utachagua kitu gani hapo?

Mwanamichezo anapata fursa ya kujiendeleza baada ya kustaafu soka mfano Ally Mayai
 
Kabla hatujaenda mbali.
Kwanini wewe binafsi umeshindwa kuwa mchezaji wenye degree?

Tuje kwenye hoja,
Elimu na michezo ni vitu viwili ambavyo haziendani sababu muda ambao unahitajika uwe darasani ndio muda huo huo unahitajika uwe uwanjani.
Mfano wewe ni mchezaji muhimu wa timu ya Simba unahitajika kwenda kucheza mechi za kimataifa nje ya nchi wakati huo huo pia unahitajika kufanya mtihani wa taifa/UE je utachagua kitu gani hapo?

Mwanamichezo anapata fursa ya kujiendeleza baada ya kustaafu soka mfano Ally Mayai
Umejitahidi kufafanua
 
Maisha yanayotokea hao wachezaji hayawapi nafasi hy

Ingawa wapi
Yule mchezaji wa Namungo ni graduate anaitwa Lusajo
 
Siyo kweli kuna mchezaji Namungo pale nimemsahau jina ana degree...pia Mapinduzi Balama ana Masters ya law kitu kama hicho...Fanya more research kuanzia halo ili ujiridhishe kama siyo ukweli uje useme
Mbeya city walikuwepo Mwalimu Ayeye ana degree ya education

Jamaa kdg kapuyanga
 
Maisha yanayotokea hao wachezaji hayawapi nafasi hy

Ingawa wapi
Yule mchezaji wa Namungo ni graduate anaitwa Lusajo
Wapo sema wengi wanakuwa hawana maisha marefu au hawasikiki Sana alikuwepo Telela yule kiungo Yanga na aliewahi kuwa kipa wa Toto na Mbao FC Erick Ngwengwe alikuwa na Masters!!
 
Back
Top Bottom