Hii 👆 👆 haijakaa vizuri. Mtoa mada amesema waTz (kama sijakosea )hawana furaha. Hakuna alipoandika au kusema waTz wote. Hata kwenye Ranking iliyowekwa, waTz wameshika namba 136 manake orodha hiyo inaendelea 137, 138, 139 n.k. i.e. waTz sio tumeshika mkia-Hapana. Wapo tuliowazidi kwenye kinyang'anyiro hicho cha Furaha.Kaitafute inakopatikana.Harafu jisemee wewe usijumuishe watu wote kwenye swala Hilo la furaha.
Huo ni Ukweli mtupu.Furaha huleta amani,upendo,utulivu,utu na usawaziko wa kimwili,kiuchumi,kimahusiano,kijamii n.k
we huitaki furaha ?
Uzezeta pro max!Kwani toka viongozi wetu wa kiserikali waanze kututapeli, tulishtuka lini, mara viwanda kubinafsishwa, mara ununuzi wa rada, epa na richmond, mara bandari, sijui wanyama, ripoti ya CAG kila siku ina madudu lakini tupo kimya tu.
Ila hata nchi zilizoongoka kwenye orodha mfano Finland pana maovu pia kama ndoa za jinsia moja ,uhalalishwaji wa kutoa mimba n.kSomalia lazima ikupiteni, utakuaje na furaha wakati kuna watu wanafanya mauwaji ya kikatili kwa albino, watoto na wazee na kuwabaka/kuwaingilia kinyume na maumbile mpaka kufa, na wengine kuwaharibu kisaikolojia, unanyofoa sehemu za siri kwa wanawake, ushirikina, kuwauwa wezi na wengine kuwachoma moto, kamari, zinaa n.k.
Nikuulize tu, ushaona israel/mayahudi wana amani furaha?? unadhani kuikalia ardhi ya wapalestina na kufanya mauwaji ya kikatili kwa watoto, wamama, wazee na vikongwe unadhani utapata amani na furaha! Laana ziendelee kuwatafuna mazayuni hao
Waafrika wengi ni makatili.
Tuamue kuwachukia mafisadi kwa uzalendoTunawang'oaje kwa mfano.
Kwani hiyo ni ripoti yangu. Nilisema mtakata kila kitu🤮🤮😂. Chawa laoJisemee wewe usijumuishe wengine kukosa furaha.
NYOKO na yesu wakoFuraha ya kweli ipo kwa yesu.
Hawa wengine watawaumiza vichwa.
Sasa mtu km huyu furaha ataitoa wapiNchi ya watu waongo mpaka wanajidanganya wao wenyewe na kukubali uongo wao haiwezi kuwa na furaha.
Trump ana miaka mingapi amechaguliwa Rais wa Marekani? Hiyo siyo sababu, Wasira kuteuliwa makamu m/kiti inakunyimana furaha? Shida anayepima hicho kiwango cha furaha ndiyo hao wamejiweka nafasi za juu kuwa wana furaha. Wazungu wanatuchezea tu akili, we fanya mambo yako acha kuwaza wenzako furaha utajipa mwenyeweHata ingekuwa ni wewe blooo ungekuwa na furaha kweli?
Nchi kina Madelu wanajitungia nyuzi eti wanapigwa vita wakati wamepaisha uchumi, nchi ukiamka asubuhi unakuta mtu wa miaka 85 kachaguliwa makamo mwenyekiti wa chama kisa ni mtu wao, nchi ambayo mtu unajipinda miaka 4 kwa shida na dhiki kuu unamaliza degree ya civil engineering alafu unaambiwa haya sasa nenda veta kasomee ufundi uashi
Bloo hata ingekuwa wewe ungekuwa na furaha kweli?
Mmh! Unatukana vizuri, Tena nitukaneNYOKO na yesu wako
Sasa anatarajia kuipatia furaha kwenye matusi kweli jamani, humkini anamsongo.Duh! pole mtumishi hizo ni dalili mojawapo watu wengi hawana furaha.
Siasa ipo sana. Kuna demokrasia na uhuru wa kweli. Uchaguzi huru na wa haki. Kiongozi akishindwa kufilisha malengo aliojiwekea anajiuzulu. Serikali ya sasa ni ya mseto. Vyama zaidi ya vi 2 vinaendesha Serikali.Safi kabisa. Je, hapo umeiona siasa? Kama jibu ni hapana,ni kwa nini basi nasi waTz tusifanye hivyo? i.e. Tuwekeze kwenye mambo mengine ya kutuingizia kipato - kuanzia ngazi ya Familia hadi ngazi ya Taifa (Nchi)kama wanavyofanya Finaland? Tunakwama wapi ilhali Wataalam wapo tele.
Wana maovu lakini si ya kudhuru mtu mwingine. Uwe shoga ni chaguo lako ,lakini ushoga wako usiwe bughdha kwa watu wengine. Maovu mengi ya Tanzania ni ya kudhuru watu wengineIla hata nchi zilizoongoka kwenye orodha mfano Finland pana maovu pia kama ndoa za jinsia moja ,uhalalishwaji wa kutoa mimba n.k
Kosa pesa na uwe fukara kisha useme ...pesa sio kila kituJapo pesa sio kila kitu au guarantee ya kuwa na furaha, ila ushauri wako uko poa sana nitaishi nao.