Tafuteni passport mtoke nje mkajaribu fursa zingine za maisha. Acheni upumbavu na lawama za kizwazwa, mtazeekea hapahapa na wakati dunia yote hii ni ya kwetu.
Kaweni hata mawinga Malaysia, Thailand na China… nendeni hata uturuki na kwingineko mkapate exposure muone baada ya miaka miwili mpaka mitatu kama mtakuwa ni watu walewale mlikuwaga mnalialia hovyo mitandaoni kuilaumu CCM na watu wake. Na wao hawawaambii…, wanakutazameni tu na mavichwa yenu kama mikaa. Mnazidiwa hata na Vijana wa Afrika Magharibi na Kirundi pamoja na wanyarwanda. Mavijana ya kitanzania HOVYO KABISA! kazi umbea na majungu tu
Mxeeeeeewww!