Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,083
- 15,219
Just name the price baby!122 sio nafasi nzuri unaonaje nikaenda nchi namba 1 🙂
Just name the price baby!122 sio nafasi nzuri unaonaje nikaenda nchi namba 1 🙂
Kwa porojo za ccm Tanzania ni nchi ya amani, lakini kiuhalisia unaofahamika duniani ni nchi ya majoga na sio amani.Dah inasikitisha sana, ila kuna nchi zinapitia majanga kama ukame na vita zisizokoma mfano Somalia, nilitegemda amani inayosifika Tanzania iendane na furaha!
Kweli kabisa, hadi kulima inatumika kama kejeli. Nadhani umewahi kusikia kama maisha yamekushinda hapa mjini, rudi kijijini ukalime.Unalima wapi kwanza, unalima kwa pembejeo zipi? hata ukifanikiwa unauza wapi? hata ukiuza mda wa kuuza bei unapangiwa! wanadai kilimo ni uti wa mgongo ila mkulima serikali haimjali mkulima anachukuliwa kama mtu aliefeli maisha.
hahaha dah kwamba unajua unadanganywa ila unakubali mpaka uongo unauona ni ukweli.Unamsikiliza mtu anadanganya, unaona kabisa kuwa huyu anadanganya, na yeye mwenyewe anajua anadanganya, lakini anadanganya mpaka hata yeye mwenyewe anaanza kuuamini uongo wake mwenyewe...
Unaongea kama vile hayo hayafanyiki.Unalima wapi kwanza, unalima kwa pembejeo zipi? hata ukifanikiwa unauza wapi? hata ukiuza mda wa kuuza bei unapangiwa! wanadai kilimo ni uti wa mgongo ila mkulima serikali haimjali mkulima anachukuliwa kama mtu aliefeli maisha.
Weka sourceNatumaini ni kwema wakuu.
Kwa mujibu wa ripoti mpya ya orodha ya nchi zenye furaha duniani, Tanzania(136) tumepitwa mpaka na Somalia(122).
Imesikitisha sana hii habari ni kana kwamba naishi nchi ya majonzi,huzuni, na masononeko!
Safi kabisa. Je, hapo umeiona siasa? Kama jibu ni hapana,ni kwa nini basi nasi waTz tusifanye hivyo? i.e. Tuwekeze kwenye mambo mengine ya kutuingizia kipato - kuanzia ngazi ya Familia hadi ngazi ya Taifa (Nchi)kama wanavyofanya Finaland? Tunakwama wapi ilhali Wataalam wapo tele.Nchi kama Finland muda mwingi ni baridi hawawezi kuzalisha chakula lakini wamewekeza kwenye mambo mengine ya kuwaingizia kipato.
Kaitafute inakopatikana.Harafu jisemee wewe usijumuishe watu wote kwenye swala Hilo la furaha.Kwa mtazamo huo wa kutafuta sayari, basi nimeshaelewa kwanini Tanzania hatuna furaha.
SawaHata majibu yako tu yanaonesha huna furaha mkuu!
Nanukuu: "Mavijana ya kitanzania HOVYO KABISA! kazi umbea na majungu tu"Tafuteni passport mtoke nje mkajaribu fursa zingine za maisha. Acheni upumbavu na lawama za kizwazwa, mtazeekea hapahapa na wakati dunia yote hii ni ya kwetu.
Kaweni hata mawinga Malaysia, Thailand na China… nendeni hata uturuki na kwingineko mkapate exposure muone baada ya miaka miwili mpaka mitatu kama mtakuwa ni watu walewale mlikuwaga mnalialia hovyo mitandaoni kuilaumu CCM na watu wake. Na wao hawawaambii…, wanakutazameni tu na mavichwa yenu kama mikaa. Mnazidiwa hata na Vijana wa Afrika Magharibi na Kirundi pamoja na wanyarwanda. Mavijana ya kitanzania HOVYO KABISA! kazi umbea na majungu tu
Mxeeeeeewww!
Furaha kwenye sekta ipi?Wanawake naomba uwepo wenu mmekuwa kimya sana:
Cc: Lamomy | Atoto | Mshangazi dot com | Mallerina | realMamy | Binti Sayuni03 | Anastasia21