Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,752
- 7,245
Ni msiba kwa kweli… yaani ni MAJINGA na YANASIKITISHA KWELIKWELI! Sijui tutakuwa na jamii ya aina gani miaka “50” mbeleni hapa nchini.hawa sidhani hata kama wanakumbuka dunia ni yetu yote
Yanaonaga Kila kitu hakiwezekani na ni story tu au Hadithi. Natamani ningekuwa na uwezo hata kuonana na mheshimiwa nimwambie kuwe na session pia hata za kukutanisha vijana wa afrika magharibi na hawa wa hapa nchini wabadilishane mawazo wao na wenzao walivyochangamka