Mjamaa1
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,836
- 6,291
Huna D mbili?Natumaini ni kwema wakuu.
Kwa mujibu wa ripoti mpya ya orodha ya nchi zenye furaha duniani, Tanzania(136) tumepitwa mpaka na Somalia(122).
Imenisikitisha sana hii habari ni kana kwamba naishi nchi ya majonzi,huzuni, na masononeko!
Source: BBC News Swahili
Kwanini watanzania hawana furaha? Fahamu vigezo vya jinsi wanavyopima furaha ya nchi - BBC News Swahili
Hujasoma 🇨🇺 Cuba?
No jobs, life itakuaje?
Political insecurity je?