Na hlilo linaanza na wewe.Ni kweli vijana lazima tupige kazi Ili tujipate.
Ujenzi wa mabwawa sio suluhisho endelevu (sustainable solution)kama hakuna mvua zitakazo nyesha-Utabaki na bwawa lako hapo na ukame utaendelea kwa wakati wake. Anza na Mazingira.Hivi ni nani anayetoa ruhusa/kibali au nani anauwezo wakujenga mambwawa makubwa ya kutunzia maji Ili yaje yatumike kwenye kilimo Cha umwagiliaji pindi mvua itapokuwa adimu.
Ni sisi wenyewe wakaaji wa eneo husika:Wakina nani wanaochochea upepo mzuri au m-baya wa shughuli mbalimbali za kijamii,kiuchumi na kisiasa kwenye eneo husika.
Nami naishi katika imani ya "HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA" ila kila nikipiga mahesabu ya kibinadamu, hesabu zinagoma kwa hali ilivyo, watanzania tuna uvumilivu uliopitiliza mpaka kwenye uzezeta, sasa na uzezeta wetu huu, kuchomoka, labda waje watutie vidole vya macho.Mpaka mwisho wa 2010, Hosni Mubarak na wenzie walikuwa wanaishi kama CCM wanavyoishi sasa, wakiamini wameishika nchi hakuna wa kuwatoa.
Kufika 25 January 2011, kila kiongozi wa Misri alikuwa anatafuta pa kujifichia.
Wakati ukifika, utastaajabu inaweza ikawa hata mwendawazimu akawa ndio sababu ya kung'oka kwa CCM madarakani. Hawatotawala milele. Ni swala la wakati tu.
Na anguko hasa la CCM linaletwa na kiburi chao cha kuhisi wamefika.
Na sisi keyboard warriors tutakuwepo kushangilia nyuma ya pseudonyms zetu.
Kwani toka viongozi wetu wa kiserikali waanze kututapeli, tulishtuka lini, mara viwanda kubinafsishwa, mara ununuzi wa rada, epa na richmond, mara bandarj, sijui wanyama, ripoti ya CAG kila siku ina madudu lakini tupo kimya tu. 🤣 🤣hahaha kote huko unatapeliwa hushtuki
Somalia lazima ikupiteni, utakuaje na furaha wakati kuna watu wanafanya mauwaji ya kikatili kwa albino, watoto na wazee na kuwabaka/kuwaingilia kinyume na maumbile mpaka kufa, na wengine kuwaharibu kisaikolojia, unanyofoa sehemu za siri kwa wanawake, ushirikina, kuwauwa wezi na wengine kuwachoma moto, kamari, zinaa n.k.Natumaini ni kwema wakuu.
Kwa mujibu wa ripoti mpya ya orodha ya nchi zenye furaha duniani, Tanzania(136) tumepitwa mpaka na Somalia(122).
Imesikitisha sana hii habari ni kana kwamba naishi nchi ya majonzi,huzuni, na masononeko!
Aisee mpaka kwenye uzezeta sheikh 🤣🤣🤣Nami naishi katika imani ya "HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA" ila kila nikipiga mahesabu ya kibinadamu, hesabu zinagoma kwa hali ilivyo, watanzania tuna uvumilivu uliopitiliza mpaka kwenye uzezeta, sasa na uzezeta wetu huu, kuchomoka, labda waje watutie vidole vya macho.
Kwa macho ya kawaida na kuangalia kiuhalisia wa muda waliokuwa madarakani ni ngumu kuamini kuwa CCM watatoka madarakani.Nami naishi katika imani ya "HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA" ila kila nikipiga mahesabu ya kibinadamu, hesabu zinagoma kwa hali ilivyo, watanzania tuna uvumilivu uliopitiliza mpaka kwenye uzezeta, sasa na uzezeta wetu huu, kuchomoka, labda waje watutie vidole vya macho.
Jipime.Natumaini ni kwema wakuu.
Kwa mujibu wa ripoti mpya ya orodha ya nchi zenye furaha duniani, Tanzania(136) tumepitwa mpaka na Somalia(122).
Imesikitisha sana hii habari ni kana kwamba naishi nchi ya majonzi,huzuni, na masononeko!
Naam,Furaha yetu imejificha hapo!Ni sahihi kabisa. Zamani kidogo mwanzo wa Azimio la Musoma-1974, vijana - ambao ndo nguvu ya Taifa lolote duniani, walipitia mafunzo ya JKT (mujibu wa sheria na kujitolea) kwa mwaka 1. (mwaka mmoja) na huko walipata mafunzo ya kina na Hamasa iliyoujenga na kuchochea uzalendo wao kwa Taifa. Siku hizi JKT???? Dah! Eti ni miezi 3 (Tatu) kwa wale wa Mujibu wa sheria i.e. Ni kwa lazima. Hawa wa Mujibu wa Sheria ndo wanaotegemewa baadaye kwenda vyuoni kujifunza fani mbali mbali ili mwisho wakirudi waje kutoa Huduma kwa Wananchi na Jamii kwa ujumla. Inashangaza sana kwani Lengo la JKT ni Mafunzo yahusuyo Ulinzi wa Taifa, uzalendo, Ujasiliamali, Ujasili (kupitia mafunzo ya Kilimo, Ufugaji na Biashara) kwa nyakati tofauti tofauti kadri ya maelekezo kutoka Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.
Je, kweli hilo 👆 👆 linaweza kutekelezeka ndani ya miezi mitatu(3)???? Waheshimiwa viongozi wetu kama yupo atakayebahatika kuisoma koment hii; Tusidanganyane hata kidogo. Sisi wote (nyie Viongozi na sisi Raia)ni watu wazima. Tuwe wakweli.
Juzi juzi kulikuwa na mafunzo ya vikosi almaarufu kama Jeshi la Mgambo, Chipukizi (sio wale wa vyama vya kisiasa hapana), Skauti na katika masomo ya Darasani esp. Shule za msingi, kuliwekwa kwa namna fulani Hamasa ya watoto kuitambua na kuipenda Nchi yetu. Siku hizi, Dah! Watoto S/M wamekazaniwa Haki za watoto, Jinsia, Afya ya Uzazi n.k. n.k.
Muulize MamaNini kifanyike kubadili hii hali?
Kopa kidogo sasa unakopa na Huna uhakikaHatujakopa hovyo mkuu; ila Tulishakopa tayari. Kwa hiyo kwakuwa tulishafanya kosa la kukopa (tulishakopa i.e. tunamadeni tunadaiwa) tusahau kupata Furaha sio? Kama ndo hivyo; basi duniani hakutakaa kuwe na Furaha kwani kila Taifa duniani hukopa na kukopesha. Kila familia hukopa na kukopesha; hata ndugu na ndugu hukopa na kukopesha. Mwanamme na mwanamke nao pia hukopa na kukopesha.
Hebu kwa utulivu wadau tuliangalie suala la Chama kilicho madarakani na uwepo wa Hizo changamoto 1-5.1-5 yote ni tatizo kubwa na wadau wanadai chanzo kikuu ni mifumo iliyowekwa na CCM wametoa mpaka na mifano.
Una uhakka hao uliowaidhinisha hapo ni wanawake ?Wanawake naomba uwepo wenu mmekuwa kimya sana:
Cc: Lamomy | Atoto | Mshangazi dot com | Mallerina | realMamy | Binti Sayuni03 | Anastasia21
Dah!sawa bhana ngoja tuone kwenye uchaguzi wa mwaka huu japo najua ya mwakajana uliyasikia na miaka iliyopita umeyasikia, japo malalamiko yapo Kila siku maeneo mengi tu duniani wakati wa uchaguzi ila hapa bongo kwanijuavyo🤓🙌Na hlilo linaanza na wewe.
Ujenzi wa mabwawa sio suluhisho endelevu (sustainable solution)kama hakuna mvua zitakazo nyesha-Utabaki na bwawa lako hapo na ukame utaendelea kwa wakati wake. Anza na Mazingira.
Ni sisi wenyewe wakaaji wa eneo husika:
1. Kama tunadhani ni chama cha siasa kilicho madarakani; basi ni sisi wenyewe tulikiweka hapo kwa hiari yetu. Kwa hiyo kama chama hicho ndo tunaona ni kisababishi, bado tunao uhuru wa Hiari ya Kuiondoa na kuweka chama kingine tunachodhani kitaweza kutoa suluhisho.
2. Tujikite kwenye Utunzaji na Uhifadhi wa Mazingira e.g. tusikate miti hovyo bila sababu na Utaratibu, Tupande miti kila inapowezekana -itasaidia kupunguza makali ya mabadiliko ya Tabianchi
3. Wahudumu (watumishi, Taasisi na Mashirika)walio kwenye Huduma za Kijamii, Uchumi na Wanasiasa kwa Ujumla watangulize Uzalendo kwanza kabla ya mengine yote. Waache au waepuke "Umimi na Upendeleo" Nepotism and Egoism wanapotoa huduma kwa Jamii.
Aidha mimi naona sio sahihi sana "kumtafuta mchawi" na badala yake tuone kwamba sisi wakazi wa eneo husika Tumepotoka wapi na Tunaweza kufanya nini kabla ya kumnyoshea kidole mtu mwingine.
uoga wako ndio umasikini wako, na umasikini ndio chanzo cha kukosa furaha.Ukiwa muoga Utakosa Furaha
WaTz waoga sana
Tunaishi na watesi wetu kama ni wenzetu
Watesi ni hawa:
Machawa
Wanaoijiita manabii sijui Watumishi
watawala
Hawa wanaochangia kufanya WaTz wakose furaha na Amani mioyoni.
Tunaishi ilimradi siku iende tu!