Kwanini Tanzania hatuna furaha? Nini kifanyike?

Kwanini Tanzania hatuna furaha? Nini kifanyike?

Tuanzie wapi tumalizie wapi?!
Huduma tu basic zapatikana kwa mbinde!
Vijana kuwa chawa kwa ukosefu wa ajira na fursa!
Huduma za afya, elimu, ustawi wa jamii ni kama kuwafikia 50% ya raia!
Ukosefu wa siasa safi na uongozi Bora.
Kusababisha tuwe kama banana republic!
Na kuleta wizi na ufisadi!
WADANGANYIKA TUNAISHI MOTONI!
NI KWELI KABISA mambo mengi bado tunastruggle
 
Huzuni inazidi kutawala hasa kwa wanaDSM na wanaMbeya
 
Ni kweli, Tanzania ukitaka furaha, pata kazi yako, fuatilia yako. Usijaribu kufuatilia siasa utakufa na presha kwa ukandamizaji unaofanyika humu nchini

Hapa nina mpango niachane na siasa, naanza na hatua ya kwanza Sijajiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura 😇
 
Ukiacha umaskini, maradhi na ujinga, watanzania tunasumbuliwa na wivu, chuki na nyege.

Furaha inapatikana kwa tabu sana, kucheka haimaanishi unafuraha...
 
Sasa unakuwaje na furaha kwa namna vitu vinavyoenda, furaha yangu sio kuona ndugu zangu tu wanafuraha, jirani zangu pia, na waTanzania wengine kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom