ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,574
- 56,783
Nchi hii ina raisi mmoja na wabunge wasiozidi 400 ila tujiulize ina matajiri wakubwa wangapi?Ni wazi ina watu wenye mabilioni zaidi ya watu hata 20000 je NI kweli kwamba hao wote wamepata mahela hayo kwa sababu ya kuwa karibu na wanasiasa?rushwa nyingi zinafanyika level ya huku chini Kwenye mataasisi yanayopaswa kusimamia sheria nachokiona wanasiasa wametunga sheria sema Tu wanaopaswa kuchukua hatua ndo wamelala ila huu wivu kuona wanasiasa wamekuwa matajiri ni ujinga yanini kuumia mwanasiasa kuwa millionea wakati wako matajiri kibao nchini.