Bando la wiki
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 911
- 3,017
Sasa hivi kila taasisi ina madudu ya kutosha juu ya rushwa na ufisadi.
Kulingana na ripoti ya CAG, tuliona namna ambavyo taasisi za serikali chini ya viongozi wake wanavyoiba pasipo woga wowote, hii inamaana wanapata baraka kutoka juu.
Pesa hizi zinazoibiwa ndio zinasababisha maisha ya watanzania wengi kuendelea kuwa magumu kwa sababu kama 1 billion ilipagwa ikanunue madawa hospitali, wezi wakaiba kiasi cha tsh 200million hivyo wameshafanya nakisi ya milioni 200 kwenye bajeti ya awali.
Madhala yake ni wananchi kupata madawa pungufu tena kwa bei kubwa ili mapato yarudi serikalini.
Ndio maana madawa mengi muhimu kwa mfano kwenye huduma ya NHIF yameondolewa kwenye mfuko wa bima.
Hii inapelekea VIFO kwa wananchi wengi.
Lakini pamoja na matatizo hayo makubwa ya ufisadi na wizi unaofanywa na viongozi wetu tunaowalipa mishahara minono huwezi kusikia tume za haki za binadamu zikipaza sauti kwa nguvu kukemea matendo hayo ya wizi na ufisadi kwenye nchi yetu.
Sasa kama mmeamua kuwa kimya juu ya wizi na ufisadi pamoja na sheria za mbovu za mikataba ya kimataifa zinazotunyanganya rasilimali zetu kwenda kwa wageni huku wenyeji wakifa kwa hali mbaya ya uchumi naomba pia muendelee kukaa kimya endapo kiongozi kama mimi nitakapo kuwa rais wa nchi hii kwa sababu sheria ya kupiga risasi wezi na mafisadi nchi hii itakuwa ikitekelezwa mchana kweupe.
Hakutakuwa na huruma na familia sijui ya nani kiongozi mstaafu endapo itakudulika kufisadi mali na urithi wa taifa.
Ukaguzi wa pesa na miradi ya taifa itafanywa na taasisi 3
1. Ofisi ya CAG
2. Ofisi ya TAKUKURU
3. Kiongozi mbio za mwenge
Kwa hiyo sidhani kama mafisadi wateweza kuonga hizo taasisi zote tatu kwa sababu kila hiyo taasisi itakuwa na mamlaka ya kupeleka kesi mahakamani kwa muda huo wanapogundua ubadhirifu.
Kila alipopita CAG, TAKUKURU pia watapita na pia kiongozi wa mbio za mwenge pia atapita eneo hilo ili kukagua thamani ya mradi huo. Hivyo fisadi yoyote awe mtoto pendwa wa mstaafu au mwananchi yoyote ataliwa kichwa mchana kweupe endapo atachukua mali ya umma kwa manufaa yake binafsi.