Kwanini situmii screen protectors kwenye simu?

Honestly, kama kuna kitu wabongo wanapigwa basi ni screen protectors.

Hivi ni mara ngapi umeweka screen protector kwenye simu halafu ukaangusha na bado screen ikavunjika?

Hivi unadhani protector nzuri yenye uwezo wa kulinda simu yako itauzwa sh. 2000 au sh. 3,000?

Hivi unatambua kwamba kuna screen protectors zinafika mpaka $100?

Unadhani quality yake itakuwa sawa na hizo za 2000 au elfu tatu?

Eti protector imeandikwa 9H halafu inauzwa 2000. Hivi nyie mnaijua hardness level 9 nyinyi?

Hardness level 10 ni diamond, Sasa rudi hatua moja nyuma kwa ugumu. Halafu ndo uuziwe buku 2

Hell no.

Halafu Bongo mtu ananunua simu ya 2m ina kioo kizuri, gloss finish, akitoka hapo anaenda kuweka screen protector nyeupe kama vioo vya zile simu fulani... Ni ushamba au ni nini?

Hebu angalia hii video ya Mr. Whosetheboss. Kwa wanaomfatilia huyu jamaa huenda wameshawahi kuiona.

Ukiangalia hiyo video utaelewa kweli bongo tunapigwa. Kariakoo imekuwa ni sshemu ya upigaji kwa wachina tu. Protector ya 1$ eti ilinde simu na crack
 
Mm ios Xs max ilikuja na makila kitu cover na protector kutoka mbele sio hzo za kkoo na inaanguka kama kitenesi maana watoto wakiiona ni game kama game ila iko safe more than
 
Simu ya milioni 3

IMG_20210901_110642.jpg
 
Redmi Poco X3 pro base version ambayo ina RAM 6, 128GB storage bei yake $220 tu ambapo haifiki hata laki 5. Hiyo simu ni Gorilla glass 6.

Ina Snapdragon 860 6nm

Ina Refresh Rate ya 120Hz

Nimemnunulia mtu simu kama hiyo ikiwa na 256GB kwa 8GB of RAM ila hata laki 6 na nusu haijafika.

Halafu mtu una laki 6 unaenda kununua tecno.

Watu hawazijui simu nzuri.
Nina 500k nishauri ninunue simu gani
 
Sawa wewe mwenye akili. Simu yako ikiangukua kajiwe tena kwenye edge ndio utajua protector ya 2000 ni takataka kama takataka zingine.

Sawa wewe mwenye akili. Simu yako ikiangukua kajiwe tena kwenye edge ndio utajua protector ya 2000 ni takataka kama takataka zingine.
Protector aliekwambia hazipasuki nani? Tena lain ndo nzuri yenyewe ina absorb shock kwa kupasuka yenyewe na kusambaza presha ndo mana unaweza dondosha kwa upande flan ikasambaa ndivyo inapaswa kuwa ndo mana liquid protector inakula mpaka kioo kwa ajili ya ugumu wake
 
Nina historia mbaya ya kuangusha simu ofisini na nyumbani na kote kuna tiles

Kwa uzoefu wangu nimegundua cover la plastic linasaidia sana iwapo simu ikianguka kwenye sakafu flat

Niliweka screen protector simu ikaanguka ikatua kwenye angle ikapasuka kioo vibaya

Kwasasa natumia cover tu na nimeiangusha mara kadhaa ina pona

Natumia iphone 8 mini ina glass nyuma nikaona ulinzi mzuri ni cover
 
cover ni muhimu sana.maana kuvunja simu ni mpaka ifikie uso,kitu ambacho ni kigumu sana kutoke.

siku hizi haya macover ya mpira ndio mazuri zaidi,lina kingo pembeni,hata ifikie uso inaweza salimika.
 
cover ni muhimu sana.maana kuvunja simu ni mpaka ifikie uso,kitu ambacho ni kigumu sana kutoke.

siku hizi haya macover ya mpira ndio mazuri zaidi,lina kingo pembeni,hata ifikie uso inaweza salimika.

Ni kweli mkuu ukipata cover zuri linakua lina zidi level ya kioo hata simu ikiangukia uso kwenye sakafu flat haipati madhara kabisa....... imenitokea hii
 
Honestly, kama kuna kitu wabongo wanapigwa basi ni screen protectors.

Hivi ni mara ngapi umeweka screen protector kwenye simu halafu ukaangusha na bado screen ikavunjika?

Hivi unadhani protector nzuri yenye uwezo wa kulinda simu yako itauzwa sh. 2000 au sh. 3,000?

Hivi unatambua kwamba kuna screen protectors zinafika mpaka $100?

Unadhani quality yake itakuwa sawa na hizo za 2000 au elfu tatu?

Eti protector imeandikwa 9H halafu inauzwa 2000. Hivi nyie mnaijua hardness level 9 nyinyi?

Hardness level 10 ni diamond, Sasa rudi hatua moja nyuma kwa ugumu. Halafu ndo uuziwe buku 2

Hell no.

Halafu Bongo mtu ananunua simu ya 2m ina kioo kizuri, gloss finish, akitoka hapo anaenda kuweka screen protector nyeupe kama vioo vya zile simu fulani... Ni ushamba au ni nini?

Hebu angalia hii video ya Mr. Whosetheboss. Kwa wanaomfatilia huyu jamaa huenda wameshawahi kuiona.

kwenye video ameonyesha kuwa hata hizo za bei kubwa haimanishi kuwa ni kweli wametumia material husika

mfano ya dola 40 imeandikwa wametumia sapphire same as ya dola 80 lakin bado ineonekana kuwa sio kweli

so the point ni uwe na uhakika kama utanunua ya dola 100 basi uwe na means ya ku prove kuwa kweli ni genuine material (sapphire)

na sio normal glass maana kama hao waliouza dola arobain ina same hardness na ya dola moja basi wakiona watu wananunua za dola mia wanaacha za bei rahis nao wao watabadili bei watauza dola 100 so ukinunua kufata bei imekula kwako

hata kwenye hiyo video huyo jamaa hajasema usiweke protector bali kama kweli unataka H9 basi hakikisha una means ya kuthibitisha kuwa kweli ni H9 usijejikuta unanunua bidhaa ile ile ya dola moja kwa dola miamoja kisa umeona bei kubwa ukajua ndo itakuwa bora

otherwise for the sake of having an extra protection kwa ajili ya scratches na dents hata hiyo ya dola moja its worth big time...

maana hata ikichubuka still u can replace it for a dollar kuliko kuwa na naked screen ambapo baada ya mda michubuko itaharibu muonekano wa simu na huwez tumia zaid ya dola mia kubadili kioo kizima kisa kimechubuka ila unaweza ukabadili protector kwa dola moja

so its justifiable to spend a dollar to have some LEVEL of protection on a 1000 usd mobile phone
 
Ninayo moja nauza original nilinunua kutoka duka la Walmart Canada. Kwa wanaojua branda ya HP Tech. Ni kwa ajili ya Samsung A10, lakini simu yoyote display ni 6'2 inaifaa. Naiuza elfu 30.
 
Back
Top Bottom