Kwanini situmii screen protectors kwenye simu?

Kwanini situmii screen protectors kwenye simu?

42774277

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2018
Posts
6,835
Reaction score
8,914
Honestly, kama kuna kitu wabongo wanapigwa basi ni screen protectors.

Hivi ni mara ngapi umeweka screen protector kwenye simu halafu ukaangusha na bado screen ikavunjika?

Hivi unadhani protector nzuri yenye uwezo wa kulinda simu yako itauzwa sh. 2000 au sh. 3,000?

Hivi unatambua kwamba kuna screen protectors zinafika mpaka $100?

Unadhani quality yake itakuwa sawa na hizo za 2000 au elfu tatu?

Eti protector imeandikwa 9H halafu inauzwa 2000. Hivi nyie mnaijua hardness level 9 nyinyi?

Hardness level 10 ni diamond, Sasa rudi hatua moja nyuma kwa ugumu. Halafu ndo uuziwe buku 2

Hell no.

Halafu Bongo mtu ananunua simu ya 2m ina kioo kizuri, gloss finish, akitoka hapo anaenda kuweka screen protector nyeupe kama vioo vya zile simu fulani... Ni ushamba au ni nini?

Hebu angalia hii video ya Mr. Whosetheboss. Kwa wanaomfatilia huyu jamaa huenda wameshawahi kuiona.

Protector ni kwa ajili ya kulinda display na zinasaidia sana ukidondosha haiwezi kupasua display ila kioo cha nje tu ndio kitaathirika.
Najiuliza point yake ni ipi hasa. Hii simu yangu nimeweka glass protector na ninaenjoy nisha-angusha sana hii simu lakini ni cracks tu kioo cha simu bado kipo og imagine nisingeweka protector,vioo vya super amoled cost zake bi mtiti.

Mtoa mada acha kupotosha, guys usiache kulinda kioo cha simu yako👊.
 
H

Hajaangusha kioo cha Samsung huyu
 
Back
Top Bottom