Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,491
- 13,707
Pole ndugu ni experiences kama hii ndio inakuona ujue kuna mambo hayataki akili nyingi kutatuaHapa nahangaika na 350,000 kisa ubishi wa kuweka screen protector. S8+ yangu imekufa kioo
Pole ndugu ni experiences kama hii ndio inakuona ujue kuna mambo hayataki akili nyingi kutatuaHapa nahangaika na 350,000 kisa ubishi wa kuweka screen protector. S8+ yangu imekufa kioo
Pole eeh, halafu bado unashauriwa usiweke protector?Ninayo moja ni pambo ndan Samsung kioo 30000 ilikuwa mwaka juz ,nimeenda mwaka huu bei laki mbili na nusu nimeshindwa
Wewe ndio umedefine hivyo ila mimi sina maana hiyo.Tatizo kuna anavyoishi yeye basi watu wote waishi hivyo.
Wewe Kwako milion mbili kitu kikubwa sana, kuna watu hiyo ni ya matumizi ya Siku tu tena Tanzania hii. Alafu hiyo milion mbili kuna watu wanaingiza kwa zaidi ya mara mia moja kwa siku Tanzania hii hii.
Hivyo wewe utaona ajabu akiwa hadhani Simu ya milion mbili, kwa kuweka protector ya bei nafuu, na usiku akimtuma mtoto nje ya nyumbani, anampa amulikie kama toch.
Jitahidi kupunguza vitisho. Watu kama wewe ndio mmefanya watu wanazichukia samsung.Acha kupotosha wenzio,
Acha watu walinde simu zao.
Hizo habari za Durable unazijua wewe (labda uchumi wako unaruhusu)
sikU ukivunja
Kioo Cha Samsung s10,
Dukani kwa reja reja utakipata sio chini ya sh. Laki 7 na Nusu. Hapo Bado na ufundi wa kukipachika.
Kioo Cha Samsung s9,
Dukani rejareja utakipata sio chini ya 450,000. Hapo Bado na ufundi wa kukipachika
Nmekuwekea na Bei zake za manunuzi ya JUMLA kuanzia PC 10 kwa kila aina ujionee mwnyw[emoji116]
NB: Niko kwny industry ya phone accessories and spare parts kwa miaka 15 Sasa.View attachment 1911736
Mi nadhan zinatofautiana ona hii..Honestly, kama kuna kitu wabongo wanapigwa basi ni screen protectors.
Hivi ni mara ngapi umeweka screen protector kwenye simu halafu ukaangusha na bado screen ikavunjika?
Hivi unadhani protector nzuri yenye uwezo wa kulinda simu yako itauzwa sh. 2000 au sh. 3,000?
Hivi unatambua kwamba kuna screen protectors zinafika mpaka $100?
Unadhani quality yake itakuwa sawa na hizo za 2000 au elfu tatu?
Eti protector imeandikwa 9H halafu inauzwa 2000. Hivi nyie mnaijua hardness level 9 nyinyi?
Hardness level 10 ni diamond, Sasa rudi hatua moja nyuma kwa ugumu. Halafu ndo uuziwe buku 2
Hell no.
Halafu Bongo mtu ananunua simu ya 2m ina kioo kizuri, gloss finish, akitoka hapo anaenda kuweka screen protector nyeupe kama vioo vya zile simu fulani... Ni ushamba au ni nini?
Hebu angalia hii video ya Mr. Whosetheboss. Kwa wanaomfatilia huyu jamaa huenda wameshawahi kuiona.
We unawashwa matako hizo pesa unatupa wewe au.Sasa simu ya 50k unaweka protector ya nini?
Hayo ni matumizi mabaya ya hela.
Mtoto mzuri mamboHizi tecno za siku hizi vioo ni tinted ukiweka li protector simu inakuwa mbaya sana. ..
Tecno yangu haijawekwa kava wala protector, ipo ipo tu na inakoma na hiyo midondoko.
Wabongo kazi kweli
Simu iwe na protector au isiwe nayo ikidondoka itapasuka tu