Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,459
- 170,806
Tecno nimenunua laki 2 nikanunue na protector ya $100 🙆, nadhani hizo hazituhusu watumiaji wa tecno zetu ni hizi za buku tatuUnatakiwa ununue ya $100
Tecno nimenunua laki 2 nikanunue na protector ya $100 🙆, nadhani hizo hazituhusu watumiaji wa tecno zetu ni hizi za buku tatuUnatakiwa ununue ya $100
Kanunue simu yenye gorilla glass 6 na uache kulialia.We ni mpuuzi.
Ni sawa na useme sivai ndala(sh 1000) kwakuwa kuna viatu vya hadi 100,000 unashindwa kuelewa kuwa aliyevaa hizo za buku sio sawa na anayetembea peku.
Huawei P30 back cover ni glass, sikuivalisha hizo plastic cover ile naiweka chini taratibu tu, ikakutana na very small kipande cha mchanga, cover ime-crack. Kwahiyo kuna simu itakulazimu kutumia hizi plastic kulinda simu.Kitu ambacho sipendi kutumia ni kava sijui watu wanawezaje
Tuwaulize vijana fulani ambao walikabidhiwa zile kitu watusambazie mitaani.😅Hivi ziliishia wapi zile liquid protectors?[emoji16]
Tuwaulize vijana fulani ambao walikabidhiwa zile kitu watusambazie mitaani.[emoji28]
Walipigwa watuHivi ziliishia wapi zile liquid protectors?[emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Screen ya 50k uilinde kwa protector ya 250k, itakuwa ni matumizi sahihi ya ubongo
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mie huwa siweki protector, simu zangu vioo ni kama nipo msitu wa amazon. [emoji23]
Nimekuwekea video hiyo si uangalie basi kama kweli zinalinda?Protector ni kwa ajili ya kulinda display na zinasaidia sana ukidondosha haiwezi kupasua display ila kioo cha nje tu ndio kitaathirika.