Kwanini situmii screen protectors kwenye simu?

Kwanini situmii screen protectors kwenye simu?

Siyo kila wakati simu inapodondoka inapasuka! Ni mara ngapi wewe binafsi unadondosha simu bila kuvunjika?
Hata yai linaweza kudondoka na lisipasuke vile vile!
Mimi nilibamiza simu yangu lami. Impact ambayo kila mtu alishika kichwa...

Ila niichukua na haikuwa hata na mkwaruzo..
 
Protector ni kwa ajili ya kulinda display na zinasaidia sana ukidondosha haiwezi kupasua display ila kioo cha nje tu ndio kitaathirika.

Hata display inalinda
Jana nimedondosha simu imepasuka protector pekee
Means is ingekuwa na protector ingepasuka display na saa hizi ningekuwa kwa fundi
 
Huawei P30 back cover ni glass, sikuivalisha hizo plastic cover ile naiweka chini taratibu tu, ikakutana na very small kipande cha mchanga, cover ime-crack. Kwahiyo kuna simu itakulazimu kutumia hizi plastic kulinda simu.

Kwani simu lazima utumie siku, ikichubuka unauza unanunua nyingine
 
Honestly, kama kuna kitu wabongo wanapigwa basi ni screen protectors.

Hivi ni mara ngapi umeweka screen protector kwenye simu halafu ukaangusha na bado screen ikavunjika?

Hivi unadhani protector nzuri yenye uwezo wa kulinda simu yako itauzwa sh. 2000 au sh. 3,000?

Hivi unatambua kwamba kuna screen protectors zinafika mpaka $100?

Unadhani quality yake itakuwa sawa na hizo za 2000 au elfu tatu?

Eti protector imeandikwa 9H halafu inauzwa 2000. Hivi nyie mnaijua hardness level 9 nyinyi?

Hardness level 10 ni diamond, Sasa rudi hatua moja nyuma kwa ugumu. Halafu ndo uuziwe buku 2

Hell no.

Halafu Bongo mtu ananunua simu ya 2m ina kioo kizuri, gloss finish, akitoka hapo anaenda kuweka screen protector nyeupe kama vioo vya zile simu fulani... Ni ushamba au ni nini?

Hebu angalia hii video ya Mr. Whosetheboss. Kwa wanaomfatilia huyu jamaa huenda wameshawahi kuiona.

We akili huna protector hata kama ni elf mbili ni tofaut na kutokuwa nayo kabisa ..inazuia scrateches

Nliwah dondosha simu yangu lami one drop kwenye lami ilidunda mara tatu kutua naokota imeweka kreki tatu niliumia sana...lkn after 2month hivi nilirudi mkoani kwangu siku natoa ile protector niljua kioo kitakuwa kimeguswa ila ilikuwa protector tu na ni ya elf mbili ila ili save na ika absorb ile shock kwa kupasuka yenyewe ugumu sio kinga ....
 
Kanunue simu yenye gorilla glass 6 na uache kulialia.

Nmewawekea video hata hamjaangalia. JF ina mazuzu wengi sana.
Mtu ana Tecno kisha unamwambia anunue simu yenye Gorilla glass 6? Taja simu yenye glass protection hiyo yenye bei chini ya 700,000
 
We akili huna protector hata kama ni elf mbili ni tofaut na kutokuwa nayo kabisa ..inazuia scrateches

Nliwah dondosha simu yangu lami one drop kwenye lami ilidunda mara tatu kutua naokota imeweka kreki tatu niliumia sana...lkn after 2month hivi nilirudi mkoani kwangu siku natoa ile protector niljua kioo kitakuwa kimeguswa ila ilikuwa protector tu na ni ya elf mbili ila ili save na ika absorb ile shock kwa kupasuka yenyewe ugumu sio kinga ....
Sawa wewe mwenye akili. Simu yako ikiangukua kajiwe tena kwenye edge ndio utajua protector ya 2000 ni takataka kama takataka zingine.
 
Mtu ana Tecno kisha unamwambia anunue simu yenye Gorilla glass 6? Taja simu yenye glass protection hiyo yenye bei chini ya 700,000

Redmi Poco X3 pro base version ambayo ina RAM 6, 128GB storage bei yake $220 tu ambapo haifiki hata laki 5. Hiyo simu ni Gorilla glass 6.

Ina Snapdragon 860 6nm

Ina Refresh Rate ya 120Hz

Nimemnunulia mtu simu kama hiyo ikiwa na 256GB kwa 8GB of RAM ila hata laki 6 na nusu haijafika.

Halafu mtu una laki 6 unaenda kununua tecno.

Watu hawazijui simu nzuri.
 
Mara ya mwisho kutumia LCD display ni 2019. Kwa sasa sizielewi kabisa ingawa Poco X3 Pro iko vizuri
 
Mim natumia vyote viwili ,ila protector na kava ninazoziamin ni kutoka nilkin pekee hawa wana protector nzur sana ,imara nyepes kufutika ikishika uchafu,imara sana pia
 
Protector ya nini? Acha watumie wadada.. mimi simu yangu kioo nyang'anyang'a kama nafanya kazi ya kuponda kokoto
 
Redmi Poco X3 pro base version ambayo ina RAM 6, 128GB storage bei yake $220 tu ambapo haifiki hata laki 5. Hiyo simu ni Gorilla glass 6.

Ina Snapdragon 860 6nm

Ina Refresh Rate ya 120Hz

Nimemnunulia mtu simu kama hiyo ikiwa na 256GB kwa 8GB of RAM ila hata laki 6 na nusu haijafika.

Halafu mtu una laki 6 unaenda kununua tecno.

Watu hawazijui simu nzuri.
hiyo poco x3 pro ulinunulia wapi?
 
Back
Top Bottom