Usipende angalia sana bei angalia bidhaa ilivo...ni sawa na kusema paracetamol ya marekani ni nzuri zaidi maaana inauzwa mbili buku ...ukaona hii ya hapo sijui wapi ni mbaya ukashindwa fanya mahesabu tu ile ni bei sababu imetoka mbali...
China viwanda ni vingi labour cost ipo chini hivo bidhaa za pale hata zikiendana ubora na za wapi still ya china bei itakuwa cheap tu
Zipo subwoofer ni imara nzuri zinapiga kuliko hata baadhi ya makampuni makubwa ila still ya sony itauzwa bei ghali
Bei hai define ubora wa kitu!!
Ushawah jiuliza kwann gari ni nyepesi mbele sometime wanaweka plastic kabisa ma bumper yale ..kwann body za bus za china zina u fiber ambayo inaweza kunjwa kiurahisi ,, kwann hawajàweka chuma kizito ili likigonga isipinde?? Unahisi ugumu wa kitu ndo kitu sahihi?? Hujui ile fiber ina act as spring? Pindi ajali inatokea??
Ninatumia Nokia moja hivi...protector ni 3k niliweka,, ikadondoka lami ikaweka kreki nne zikikatiza kwa screen ..nikawaza hadi kioo itakuwa kimeguswa maana umbali ulikuwa mrefu hadi ikameguka ..ila after two month nilivorud town nikapata protector ingne kutoa ile kioo ni as new hakina alama yoyote......wepesi wake au kuvunjika mapema kunasaidia ku absorb shock ile na kusambaza ndo mana kinapasuka kikiwa kigumu hadi kioo kitapasuka