Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,484
- 170,929
Tutapatwa na nini dear?nimeweka tu angalizo msiwe na hopes kubwa siku yakiwapata.
Tutapatwa na nini dear?nimeweka tu angalizo msiwe na hopes kubwa siku yakiwapata.
Super amoled simu. Me mwenyewe nina dynamic amoled na sijaweka so called protector.Najiuliza point yake ni ipi hasa. Hii simu yangu nimeweka glass protector na ninaenjoy nisha-angusha sana hii simu lakini ni cracks tu kioo cha simu bado kipo og imagine nisingeweka protector,vioo vya super amoled cost zake bi mtiti.
Mtoa mada acha kupotosha, guys usiache kulinda kioo cha simu yako[emoji109].
Nikimuona mtu anaongea kitu hiki mwaka 2021 namshangaa sana.H
Hajaangusha kioo cha Samsung huyu
Sasa tecno unaweka protector ya nini?Tecno nimenunua laki 2 nikanunue na protector ya $100 [emoji134], nadhani hizo hazituhusu watumiaji wa tecno zetu ni hizi za buku tatu
Mzinga wa Maana ni upi? Hii mizinga iliyokutana mpka sasa ni ya maana sana. Labda ikanyagwe na gari tu.Super amoled simu. Me mwenyewe nina dynamic amoled na sijaweka so called protector.
Isifie tu ila siku ukila mzinga wa maana utaikataa.
Sijaongea chochote kuhusu cover. Japo mimi situmii vyote viwili.Huawei P30 back cover ni glass, sikuivalisha hizo plastic cover ile naiweka chini taratibu tu, ikakutana na very small kipande cha mchanga, cover ime-crack. Kwahiyo kuna simu itakulazimu kutumia hizi plastic kulinda simu.
Naweka, inasaidia ilishaanguka mara kibao imevunjika vunjika protector, nataka nikanunue nyingine ya buku mbili niweke.Sasa tecno unaweka protector ya nini?
Ulishachezea hela kununua hiyo simu bado tena uchezee hela kununua protector?
Somehow umeongea kitu.,Kuna watu hawaweki kwa sababu hawapendi tu, protector nyingi zinafanya simu ipoteze ubora wa mwonekano wake hasa zinapoanza kuchoka.
Wengine ni kwa sababu shape ya kioo na ubora wa material vinafanya protector iwe haina kazi kwa simu zao.
Binafsi sipendi protector wala cover, lakini ni vitu mihumu sana hasa kwa simu zenye umbo na material yanayoruhusu simu kuteleza kwa urahisi.
Pia kwa wanaoishi na watoto kwao vitu hivyo ni muhimu wakati fulani.
Siku simu yako ikila mzinga wa kwenye edge ya kioo hata kama ni mzinga mdogo, utaikataa hiyo protector trust me.Mzinga wa Maana ni upi? Hii mizinga iliyokutana mpka sasa ni ya maana sana. Labda ikanyagwe na gari tu.
Ndio super amoled kioo kizuri pia,kutokueka kwako ni maamuzi yko usipotoshe uma protector hazisaidii watu wengi protector zinalinda vioo vya simu zetu.
Usiweke phone cover