Kwanini situmii screen protectors kwenye simu?

Me umuhimu wa protector kwenye cm naujua alafu mbona sio tu kulinda kioo kisipasuke, Protector inalinda kioo pia dhidi ya michubuko na michirizi, Protector og kwangu ni zile black zinauzwa 5000, alafu unadai protector oh zinauzwa 100$ [emoji23][emoji23][emoji23] Yaani nilinde kioo Cha 30k kwa 100$!!!???
Kulinda michiri.na.michubuko hulo nakubali,100%.

Nadhani ungeangalia hiyo video niliyoattack ungebadili mtazamo wako juu ya protectors.
 
Honestly, kama kuna kitu wabongo wanapigwa basi ni screen protectors.

Hivi ni mara ngapi umeweka screen protector kwenye simu halafu ukaangusha na bado screen ikavunjika?

Hivi unadhani protector nzuri yenye uwezo wa kulinda simu yako itauzwa sh. 2000 au sh. 3,000?

Hivi unatambua kwamba kuna screen protectors zinafika mpaka $100?

Unadhani quality yake itakuwa sawa na hizo za 2000 au elfu tatu?

Eti protector imeandikwa 9H halafu inauzwa 2000. Hivi nyie mnaijua hardness level 9 nyinyi?

Hardness level 10 ni diamond, Sasa rudi hatua moja nyuma kwa ugumu. Halafu ndo uuziwe buku 2

Hell no.

Halafu Bongo mtu ananunua simu ya 2m ina kioo kizuri, gloss finish, akitoka hapo anaenda kuweka screen protector nyeupe kama vioo vya zile simu fulani... Ni ushamba au ni nini?

Hebu angalia hii video ya Mr. Whosetheboss. Kwa wanaomfatilia huyu jamaa huenda wameshawahi kuiona.

[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]

We jamaa unahoja ya msingi ila hainizuii kusema umetumwa na wauza na mafundi vioo vya simu
 
Kati ya vitu huwa siwezi kuweka kwenye simu basi ni cover na protector hizo.
Mi simu yang ni simu tuu sio na hayo makolokolo mengi kama jezi ya watani 😁😁
 
Tatizo kuna anavyoishi yeye basi watu wote waishi hivyo.

Wewe Kwako milion mbili kitu kikubwa sana, kuna watu hiyo ni ya matumizi ya Siku tu tena Tanzania hii. Alafu hiyo milion mbili kuna watu wanaingiza kwa zaidi ya mara mia moja kwa siku Tanzania hii hii.
Hivyo wewe utaona ajabu akiwa hadhani Simu ya milion mbili, kwa kuweka protector ya bei nafuu, na usiku akimtuma mtoto nje ya nyumbani, anampa amulikie kama toch.
 
Honestly, kama kuna kitu wabongo wanapigwa basi ni screen protectors.

Hivi ni mara ngapi umeweka screen protector kwenye simu halafu ukaangusha na bado screen ikavunjika?

Hivi unadhani protector nzuri yenye uwezo wa kulinda simu yako itauzwa sh. 2000 au sh. 3,000?

Hivi unatambua kwamba kuna screen protectors zinafika mpaka $100?

Unadhani quality yake itakuwa sawa na hizo za 2000 au elfu tatu?

Eti protector imeandikwa 9H halafu inauzwa 2000. Hivi nyie mnaijua hardness level 9 nyinyi?

Hardness level 10 ni diamond, Sasa rudi hatua moja nyuma kwa ugumu. Halafu ndo uuziwe buku 2

Hell no.

Halafu Bongo mtu ananunua simu ya 2m ina kioo kizuri, gloss finish, akitoka hapo anaenda kuweka screen protector nyeupe kama vioo vya zile simu fulani... Ni ushamba au ni nini?

Hebu angalia hii video ya Mr. Whosetheboss. Kwa wanaomfatilia huyu jamaa huenda wameshawahi kuiona.

[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]

Umeongea kisengere nyuma
 
Nikimuona mtu anaongea kitu hiki mwaka 2021 namshangaa sana.

Samsung s10 series zimetoka 2019 vioo vyake viko durable sana. Siwezi kulinganisha na kuanzia s9 kurudi nyuma.

Hizo simu zote nimetumia. So ninaelewa ninachokisema.
Acha kupotosha wenzio,
Acha watu walinde simu zao.

Hizo habari za Durable unazijua wewe (labda uchumi wako unaruhusu)

sikU ukivunja
Kioo Cha Samsung s10,
Dukani kwa reja reja utakipata sio chini ya sh. Laki 7 na Nusu. Hapo Bado na ufundi wa kukipachika.

Kioo Cha Samsung s9,
Dukani rejareja utakipata sio chini ya 450,000. Hapo Bado na ufundi wa kukipachika

Nmekuwekea na Bei zake za manunuzi ya JUMLA kuanzia PC 10 kwa kila aina ujionee mwnyw[emoji116]

NB: Niko kwny industry ya phone accessories and spare parts kwa miaka 15 Sasa.
2021-08-27-22-46-39.jpg
 
H

Hajaangusha kioo cha Samsung huyu

Ninayo moja ni pambo ndan Samsung kioo 30000 ilikuwa mwaka juz ,nimeenda mwaka huu bei laki mbili na nusu nimeshindwa
 
Najiuliza point yake ni ipi hasa. Hii simu yangu nimeweka glass protector na ninaenjoy nisha-angusha sana hii simu lakini ni cracks tu kioo cha simu bado kipo og imagine nisingeweka protector,vioo vya super amoled cost zake bi mtiti.

Mtoa mada acha kupotosha, guys usiache kulinda kioo cha simu yako[emoji109].
Natumia samsung pia, tuwekeni protector za 3,000.
 
Hizi tecno za siku hizi vioo ni tinted ukiweka li protector simu inakuwa mbaya sana. ..

Tecno yangu haijawekwa kava wala protector, ipo ipo tu na inakoma na hiyo midondoko.
 
Honestly, kama kuna kitu wabongo wanapigwa basi ni screen protectors.

Hivi ni mara ngapi umeweka screen protector kwenye simu halafu ukaangusha na bado screen ikavunjika?

Hivi unadhani protector nzuri yenye uwezo wa kulinda simu yako itauzwa sh. 2000 au sh. 3,000?

Hivi unatambua kwamba kuna screen protectors zinafika mpaka $100?

Unadhani quality yake itakuwa sawa na hizo za 2000 au elfu tatu?

Eti protector imeandikwa 9H halafu inauzwa 2000. Hivi nyie mnaijua hardness level 9 nyinyi?

Hardness level 10 ni diamond, Sasa rudi hatua moja nyuma kwa ugumu. Halafu ndo uuziwe buku 2

Hell no.

Halafu Bongo mtu ananunua simu ya 2m ina kioo kizuri, gloss finish, akitoka hapo anaenda kuweka screen protector nyeupe kama vioo vya zile simu fulani... Ni ushamba au ni nini?

Hebu angalia hii video ya Mr. Whosetheboss. Kwa wanaomfatilia huyu jamaa huenda wameshawahi kuiona.

Simu Tecno halafu protector $100 !
 
Back
Top Bottom