hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,365
- 80,266
soHivi mzee kwanini watetezi huwa mnapenda kutumia hizo shuhuda za zama za kale za chuma ku justify uzembe uliopo sasa ?
Ni sawa pyramids were built by Africans. But the question is why are we not inventing anything nowadays?
Watoto wanasoma science au historia ya science ?
Kama ni kweli hautaki tuzungumze !? 😂😂Hivi mzee kwanini watetezi huwa mnapenda kutumia hizo shuhuda za zama za kale za chuma ku justify uzembe uliopo sasa ?
Ni sawa pyramids were built by Africans. But the question is why are we not inventing anything nowadays?
Watoto wanasoma science au historia ya science ?
Maisha ndivyo yalivyo Great empire Huwa zinaanguka na kuja nyingine so huu ni wakati wa watu weupe kufanya gunduzi mbali mbali kama ilivyokuwa Kwa watu weusi miaka hiyo ya kemet