Mis powers
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,741
- 3,544
Simu hizi ni kwa ajili ya kujiselfie tu
Hahahaha sio shabiki sana wa selfies maana sura yenyewe hairuhusu.. Natumia sana camera ya nyuma kwa ajili ya matukio mbalimbali.Wapenda selfie utawajua tuu![]()
Mshamba tu wewe umejua iphone juzi. Hunahuelewa wa simu hata kidogo. Mtoa mada katoa detai wewe unatapika tu ujinga.Acheni kufananisha iphone na vitu vya kijinga,pia ukiona wimbo hauelewi ujue haujaimbiwa wewe,so vunga tu!
Du s3 na tecno za miaka kibao ilivyo pita ungesema umetumia Samsung s8 au hata 7 ndio uka tofautisha na iPhone ningekuelewaNimewai Tumia Samsung S3, then note 4. Baadae Nikatest Huawei na Tecno. Lengo lilikuq kujua hasa ladha na uzuri hususani baada ya kuona watu wanaongea ongea sana. Kila simu hapo juu, niliitumia kwa kipindi kirefu cha kuweza kujua uzuri na ubaya wa kila moja. Baada ya kupita kote huko, nikajilipua nikanunua iphone 8 plus. Ukweli ni kwamba, sijajutia hela yangu maana simu ina ladha asikwambie mtu. As well kuna vionjo fulani hivi ambavyo simu zangu zote za nyuma hazijuwa na huo uwezo. Apple Devices for sure are in another level. Comment yangu hii imebase from practical experience. Sina utaalam sana wa kuchambua jinsi iphone hii ilivyo but kuna tofauti kubwa sana na hizo samsung, huawei na tecno ambazo nilishawai kutumia.
Umemjibu vizuri sana, nilikuwa sina haja ya ku comment chochote maana nikajiuliza nitakomment nini wakati yeye mwenyewe amakili hajawahi kutumia 📱 iphone.Nani Kasema lazima uwe na Itunes?
Kwa Ajili ya nini Bluetooth? kurushiana picha na video? Hizo mambo ni old fashion mkuu. Tangu nianze kutumia iphone sijawahi kuona kitu kwa mtu akisha nkakiomba kurushiwa kwa bluetooth.
Msala wake ni upi? kama local developer hajatengeza app, hilo ni kosa la Apple?
Use another Browser if you cant donwload via Safari
Hii na 12 naona zinagongana, how can you say Poor documents perusing and management, halafu unasema NO file management app?
Buy one with 256 GB tatizo liko wapi mkuu?
Kivipi?
IOS ni Poor ecosystem? 😱 Bado huna uhakika na unachoongea ndugu yangu.
How is it poor? Android wanafollow the same Back button. Hakuna tofauti ya app navigation kwenye ios na Android. Insta , whatsapp n.k navigation ipo ivo ivo.
Zile simu fake tangu miaka 2005 ivi i think dual sim zilikuwepo. How is it an issue? Samsung S series kwani ni dual sim cards? Au SONY Xperia? Dual sim unakuta kwenye vitecno na wenzake tu.
Kama ni mtumiaje wa iphone hasa, huwezi kusema ichi kitu. File explorer zipo nyingi tu.
Safari is called a default browser kwa sababu ios inakuja na hio browser ikiwa tayari pre installed. Options zipo nyingi tu mbona.
Mfano kama zipi?
Samsung alimcheka Apple alivoweka Notch kwenye simu. Sasa anaetengeza Android ametoa tolea la OS kwa ajili ya simu zenye notch, na sasa Android nyingi zinafuata njia hio....
APPLE anawaburuta bado.
Ikiwa wewe sio power user, kazi yako ni kupiga na kupokea simu, apple wanaona haina haja ya kuwa na simu ambayo huwezi kuitumia power yake in full.
Samsung na wenzake simu unazikuta zina specs kubwa mara 8GB ram, processor octa cores, lakini ukitizama perfomance unakuta hata iphone 4s inawakimbiza
You are enjoying badness, while apple maintain their brand. PoleNaomba kujibu baadhi ya maswali kama ifuatavyo............
Sijaona Iphone inayozidi hivi vigezo
Maximum RAM 3gb
jibu: Ubora wa RAM sio ukubwa tu!, bali speed yake (Read/Write speed) ndio muhimu zaidi
Maximum Camera 12 Mega Pixels
Jibu: Ubora wa camera sio megapixel tu, bali kuna ubora wa sensor na software inayoprocess image data. (Camera ya 5Mp inaweza kutoa picha bora zaidi ya camera ya 8Mp)
Maximum Battery size </ = 3000 mAh
Jibu: Kutunza chaji sio ukubwa wa MAh tu, bali Battery management inategemeana na ulaji wa umeme wa components za simu i .e Screen, chipsets etc.
1. No interaction with PC without Itunes.
jibu: Sababu za kulinda usalama na kujenga Brand inayojitegemea.
2. No Bluetooth compatibility with other devices except Its Generic Siblings
jibu: Sababu za kulinda usalama wa files
4. No downloading on Websites and blogs
jibu: Sababu za kulinda usalama wa files
11. No dual SIM
Jibu: Dual sim ni simu za kimasikini (Msemo wa Iphone) if you need dual sim, then Iphone isnt for you!
13. Safari si a default Browser no way ndugu yangu
jibu: Kutengeneza brand ya product inayojitegemea
Mkuu samahani,simu yangu matangazo yanakuwa mengi mno hadi simu inastack,yaani nikiwasha tu ni matangazo hata kama situmii browser, nahisi yanatokea kwenye app ninazotumia,adblock nzuri ni ipi ili nianze kuitumia mkuu?Compare na watu kama Sony, Samsung, LG, Google/Htc vitu vingi Apple anapitwa.
Ila hawa wachina wetu kina Huawei, Xiaomi, Oppo etc wao simu zao hazikamiliki bila kumuiga Apple, hivyo wanampa umaarufu na kutengeneza ile hype kila kitu cha Apple ni bora.
Asante sanaAs far as specification Apple wapo pande mbili kuna vitu wapo vizuri zaidi ya competition na kuna vitu wapo ovyo. Mfano.
1. Soc yao kwa sasa ndio best sokoni hakuna simu yenye processor yenye nguvu kushinda iphone japo kwenye gpu bado qualcomm yupo juu na mambo mengine kama modem na wifi anapitwa na simu za android.
2. Usiangalie tu ukubwa wa ram nipo radhi nitumie simu ya 2gb ram yenye dual chanell na ddr4 memory zenye speed kuliko simu ya 4gb ama 8gb ram ambayo ni single chanell na ram za ddr2 ama ddr3 zenye speed ndogo. Zipo simu zenye ram nzuri zaidi ila iphone zake pia sio mbaya zinapita hizi ram kimeo za kichina. Ukumbuke simu gpu yake inatumia ram ya simu hivyo jinsi ram ya simu ilivyo fasta na ndio apps na games zitarun smoothly.
3. Pia megapixel kwenye camera humaanisha ukubwa wa picha na sio quality. Dslr camera kali unaweza kuta ni 8mp tu. Kifupi kuchukua content za 4k inahitajika mp 8 tu. Ambayo kwa sasa ndio vifaa vya kisasa kama tv na pc vinaitumia. Quality ya picha sana inasababishwa na sensor iliotumika pia kuna vitu kama software, ois, aperture, lens etc vinachangia.
Kuhusu mambo mengine nakubaliana na wewe Apple innovation yao ni ndogo sana na ukikuta kitu chao kizuri basi utakuta kina mkono wa kampuni nyengine mfano display za samsung, memory za smasung etc. Kifupi ana asemble vitu best toka makampuni mengine na sio mvumbuzi kama baadhi ya kampuni nyengine.
Kuhusu software na Ecosystem zao zimetengenezwa kwa watu ambao hawataki mambo mengi kwenye simu, upige simu utumie whatsapp na insta etc.
Ila ukitaka mambo makubwa zaidi vitu kama VR, casting, file management, etc ios si yako.
Nakujibu kama ifuatavyo;Katka haya unaenjoy nini boss.
Mbona hamsemi mnacho enjoy
1. No interaction with PC without Itunes
2. No Bluetooth compatibility with other devices except Its Generic Siblings
3. Kupata Apps za local developers ni Msala.
4. No downloading on Websites and blogs
5. Poor documents perusing and management
6. No memory extension.
7. Finger print zinakufa Ovyo kuliko simu zozote
8. Poorness of IOS Ecosystem
9. No access of payable services in some many regions ( Especially Africa)
10. Poor navigation of ( BACK ) Button
Sijui watu wenye Iphone huwa mna enjoy nini kwenye simu zenu.
11. No dual SIM
12. No File Management App
13. Safari si a default Browser no way ndugu yangu
HahahahahaMtoa maada umechambua vyema Sana upo sahihi.ila Mimi simu ya ndoto zangu SI Ni iphone kwa kweli yaani nikipata tu hela lazima ninunue iPhone nijionee mwenyewe.sijawahi hata kushika iPhone wenye nazo wachoyo kweli
Unamfahamu mmiliki wa maswa yetu blog?Uko sahihi bro. Yani mtu hata kuweka app ya Maswa yetu blog ni shida![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Apple kinachomfanya akae sokoni ni ile iCloud basi.Compare na watu kama Sony, Samsung, LG, Google/Htc vitu vingi Apple anapitwa.
Ila hawa wachina wetu kina Huawei, Xiaomi, Oppo etc wao simu zao hazikamiliki bila kumuiga Apple, hivyo wanampa umaarufu na kutengeneza ile hype kila kitu cha Apple ni bora.
Ungeinunua walau uitumie km mwez hv ungejijib vzr sana. Ninachopendea hz simu hawatumii vilaza. Over.



Daah Mjomba Magu ana kazi sana aisee! Unaanzaje kukosoa kitu hukijui