Mwisho wa siku haya mambo yanaweza kuwa mazoea tu, binafsi mara ya mwisho nimetumia Android ni 2012, baada ya hapo nikajikuta nimetumbukia kwenye iPhone na sijawahi kuwaza kutumia android, naona kama zina vitu vingi sana.
Napenda iPhone kwasababu ni simple, haizeeki mapema, haina muingiliano na unsecured sources of applications, haipokei application zinazoweza kupunguza ufanisi wa simu automatically (unless uipakue mwenyewe).
Hizo setbacks zako sioni kama ni strong reasons labda ya extension of memory, nikiwa na simu yenye uwezo mdogo huwa nakereka pale inapojaa mapema inanilazimu kufuta picha na music. Otherwise kwa matoleo mapya ni kuanzia 64 GB which is enough kwa matumizi ya simu unless kama unataka kuigeuza iwe TV, Radio, PC na Photo album yako.
1. Interaction with PC unataka ufanye nini? There a lot of ways to transfer your documents to wherever you want.
2. Bluetooth compartibility sijawahi hata kuona kama ni setback kwangu, kitu ninachohitaji nitakitafuta kwa njia ninayoweza, tuna Whatsapp, emails na njia nyingine nyingi za kushare documents. Hatuko kwenye zama za Infrared and bluetooth
3. Local developer apps, kama developer hajaona umuhimu wa kutengeneza iOS app mimi sioni umuhimu wa hiyo app, by the way sipendi kujaza apps kwenye simu yangu, i just use the basic ones, vingine nitavitafuta kwa website, kama app ipo kwenye appstore haisumbui kuipata.
4. Downloading on website, if you are talking about music and videos its a YES, lakini ukiwa mtumiaji wa iPhone hii haikusumbui, we have a lot of options for Audios, labda wanaopenda kuangalia videos na wako nje ya mtandao hawawezi kustream ndo wanapata shida.
Downloading of other materials and documents is possible, labda kama haujui kuitumia simu.
5. Document perusing inakua poor vipi? Hapa linakuja suala la ugeni na iOS. The only thing i cant do is working on spreed sheets coz ni complicated, all other documents i can open them and even edit the possible ones
7. Finger print kufa hovyo!! You might be talking about iPhone 4s zilizokua zinakufa home button na hazikua na fingerprint, i have never seen an iphone with such a problem ninazotumia mimi au watu wanaonizunguka. Tatizo pekee nimeliona kwa watu kama watatu ni shida ya charging system kwa iPhone 6plus
8. iOS ecosystem iko poor! I may have not understood what you meant here
9. An example of those payable services which cant be accessed by an iPhone please.
10. Back button has never been a problem to me, i use an assistive touch naenjoy kiasi ukinipa hizo zenu zenye back buttons nitateseka.
11. Dual sim ndo sijawahi kuihitaji kabisa, ukizingatia mazingira niliyokulia hata kabla ya kuanza kutumia smartphone niliaminishwa simu genuine ni zile single line.
12. You dont need an app to manage your files if they are all stored at respective sites. Nikitaka Muzik najua ipo Music app, PDF books nazikuta iBook, Photos zipo kwenye file la photos, what do i need an app for?
13. Safari is a default browser, how is this a setback? Kwani explorer kuwa default browser kwa window computers inasababisha shida gani? By the way Safari is the best browser ever, hizo nyingine zina mapungufu kibao.