Kwanini Simu za iPhone zina specifications ndogo?

Kwanini Simu za iPhone zina specifications ndogo?

Hata iphone 6 ina latest version ya ios why unaspend kununua iphone 6s, 7 ama 8?
I wouldnt spend my money on a new phone just because ni latest. That is my point, iphone 6 inatosha kwa iphone, if you need an upgrade basi uende kwa X sio 7 au 8.

Mi, Oppo na wenzao wanakuja na simu kali tu za android, sasa why spend more on samsung if you get the same taste of software?
 
Ni simu nzuri lakini unaweza kufanana ubora na nyingine.

Wamefaulu sana ktk marketing, wametengeneza product worshiping kiasi kwamba mjanja lazma awe na iPhone
 
Matumizi ya iphone na brand nyingine yanatofautiana kwenye kutaka sifa tuu. Ila kwa mtu anayedeal na games na social network kwa sehem kubwa ya matumizi yake makubwa ktk simu yake bila shaka iphone hana mpinzani kwenye sekta hyo. ila kwa mengine yaliyobakia iphone inakua toy tuu kulinganisha na brand bora za android.
 
Usalama je?
Ni sawa na tuseme iOs ni mfungwa ktk gereza lenye ulinzi mkali na ndani anapata malazi mavazi na chakula kizurih tatizo kutoka nje ndio msala.
Na android ni raia walio uraiani wakipambana kula kuvaa na kulala vizuri huku wakiwa huru kwa sehemu kubwa kwenda wanapotaka.

Sasa kwa mfano huo utajua nani anayafurahia matumizi ya simu janja hizi.
 
I wouldnt spend my money on a new phone just because ni latest. That is my point, iphone 6 inatosha kwa iphone, if you need an upgrade basi uende kwa X sio 7 au 8.

Mi, Oppo na wenzao wanakuja na simu kali tu za android, sasa why spend more on samsung if you get the same taste of software?
1. Flagship ya oppo entry device inaanzia dola 1000 kuendelea, same kwa mchina mwengine ambaye ataweka latest specification kwenye simu yake, simu inauzwa bei rahisi sababu inakuwa haina vitu fulani. Same kwa wengine kama kina huawei flagship zao baadhi zinazidi hadi dola 1000. Huyo samsung nae pia ana vimeo vyake vinauzwa rahisi kama simu za kichina mfano on series.

2. Hayo ni matumizi yako, wengine matumizi yao yanahitaji simu kubwa zaidi, kuna watu matumizi yao ile simu ya kisasa zaidi haiwezi yatimiza hivyo ananunua yenye nguvu zaidi kila mwaka ili aweze kuyatimiza hayo matumizi angalau kwa asilimia kadhaa.

Mfano game jipya la android ambalo ni port ya pc linaitwa fortinite linahitaji hizi specs.
-Ram 3GB
-free space 3GB
-GPU adreno 530 na mali G72 MP12 ama zaidi

Hizo gpu zote ni flagship class GPU hakuna kisimu cha mwenzangu na mimi kitachorun hata kiwe na oreo ama android pie, sasa mtu hela anayo anataka kucheza hilo game kwanini asinunue kitu roho inapenda?

Hilo ni moja bado kuna emulation, conversion, multitasking, note taking, display quality, camera, warranty nzuri etc vyote vinapatikana kwa ubora zaidi kwenye simu highend kuliko simu lowend ama za zamani.
 
Kwani kama Android ina password na mtu akaiba au kuokota ataweza kuifungua?
Anairetore simu nyingi latest za android ukirestore hazifuti vitu kama picha na miziki zinafuta apps tu, then kama itadai google acc una reset frp ni rahisi tu then back in business anakuta takataka zako
 
1. Flagship ya oppo entry device inaanzia dola 1000 kuendelea, same kwa mchina mwengine ambaye ataweka latest specification kwenye simu yake, simu inauzwa bei rahisi sababu inakuwa haina vitu fulani. Same kwa wengine kama kina huawei flagship zao baadhi zinazidi hadi dola 1000. Huyo samsung nae pia ana vimeo vyake vinauzwa rahisi kama simu za kichina mfano on series.

2. Hayo ni matumizi yako, wengine matumizi yao yanahitaji simu kubwa zaidi, kuna watu matumizi yao ile simu ya kisasa zaidi haiwezi yatimiza hivyo ananunua yenye nguvu zaidi kila mwaka ili aweze kuyatimiza hayo matumizi angalau kwa asilimia kadhaa.

Mfano game jipya la android ambalo ni port ya pc linaitwa fortinite linahitaji hizi specs.
-Ram 3GB
-free space 3GB
-GPU adreno 530 na mali G72 MP12 ama zaidi

Hizo gpu zote ni flagship class GPU hakuna kisimu cha mwenzangu na mimi kitachorun hata kiwe na oreo ama android pie, sasa mtu hela anayo anataka kucheza hilo game kwanini asinunue kitu roho inapenda?

Hilo ni moja bado kuna emulation, conversion, multitasking, note taking, display quality, camera, warranty nzuri etc vyote vinapatikana kwa ubora zaidi kwenye simu highend kuliko simu lowend ama za zamani.
Kama mtu ananunua simu kwa kipendacho roho hayo mengine, lakini tuzungumzie functionality ya simu kwa kutizama specs, je zinatumika ipasavyo au zinatumika kuwalaghai watu tu?

Kuwa na specs kubwa haimaanishi kuwa device yako ndio bora, ila opimization ya software na hardware ndio itafanya device yako ionekane bora, na hapa ndipo anapowapiga bao kina samsung, htc, oppo na wengine.

Android ni chaos
 
Mkuu toka kitkat kuendelea na vitu kama project treble advantage ya software optimization kila siku anapoteza Apple.

Siku hizi simu za android zina boot haraka, zinafungua apps upesi, zinafanya multitasking vizuri kushinda iphone. Sipendi kucompare simu kwa hivi vitu sababu ni utofauti wa sekunde tu ila sababu wewe unapenda angalia video.

Everythingapllepro ame upload hio video fan wa iphone na mwenyewe amekiri.

Hapo bado Android unaweza ukaifanya iwe faster zaidi kwa kudisable animations.
 
Wakuu habarini.
Naomba kujua kwann Iphones zina specifications ndogo ukilinganisha na Simu nyingine zote hata ambazo zinachipukia.

Sijaona Iphone inayozidi hivi vigezo

Maximum RAM 3gb
Maximum Camera 12 Mega Pixels
Maximum Battery size </ = 3000 mAh

Hawa jamaa Inovation yao ipo katika mlengo upi???.

Hizi simu sijawahi kuzitumia na nahisi sizipendi japo ninapesa ya kununua Iphone niitakayo. Lakini naona simu kama ya waganga wa kienyeji. Maana Masharti ni mengi kuliko Enjoyments.

Yani kumiliki hizi simu ni kama Mkinga mfanya biashara anaelala chooni ilihali ana majumba ya kifahari

1. No interaction with PC without Itunes
2. No Bluetooth compatibility with other devices except Its Generic Siblings
3. Kupata Apps za local developers ni Msala.
4. No downloading on Websites and blogs
5. Poor documents perusing and management
6. No memory extension.
7. Finger print zinakufa Ovyo kuliko simu zozote
8. Poorness of IOS Ecosystem
9. No access of payable services in some many regions ( Especially Africa)
10. Poor navigation of ( BACK ) Button
Sijui watu wenye Iphone huwa mna enjoy nini kwenye simu zenu.
11. No dual SIM
12. No File Management App
13. Safari si a default Browser no way ndugu yangu

Naomba ushirikiano

Siku ukipata uwezo wa kuzitumia ndo utajua utanu wake
 
Watu wengi hawafahamu muwa apple ni kampunz yenye nguvu sana kwenye soko lakin haimaanishi ndio simu bora kuliko zote zipo simu hata kwenye soko la kwetu huku hazijafika sababu kwanza zina bei na bora zaid ya Iphone ila wana nguvu ya soko ingia mtandaoni utafute simu zenye ubora na bei kibwa kuliko iphone utaikuta imetupwa mbali tu nyingi zinaeishia america na ulaya.!

Mmmhhh tupe mfano kama unao
 
Uifananishe iphone 8plus na note 4 au s3?

Huwezi kuwa upo serious. Tumia kuanzia s8 na kuendelea ndo utajua utamu wa samsung

Kuna utofauti wa iOS na Android
Tatizo ni iOS wameibania kusiwe na wiziwizi na ujanjajanja
 
Yaani ukimuona mtu anaongelea DUAL SIM CARDS kwenye Flagship smartphones halafu ni za big brand, ujue huyo ni mtumiaji wa hizi akina tecno, itel, mi, n.k

Nina asilimia kubwa, mtoa mada, hajawahi kutumia iphone, anaona tu watu wanatumia iphone. Ukishika iphone X mkononi tu unaelewa kama umeshika milioni 2 ivi, yaani ushike tu usiiwashe wala usiitumie, basi utakubali bei iko sawa. Shika Android sasa, cheap!

Ichi ndo kilinifanya nigomeshe kununua s8 enzi hizo, ila kwa kuiona kwa mbal niliipenda sana
 
As far as specification Apple wapo pande mbili kuna vitu wapo vizuri zaidi ya competition na kuna vitu wapo ovyo. Mfano.

1. Soc yao kwa sasa ndio best sokoni hakuna simu yenye processor yenye nguvu kushinda iphone japo kwenye gpu bado qualcomm yupo juu na mambo mengine kama modem na wifi anapitwa na simu za android.

2. Usiangalie tu ukubwa wa ram nipo radhi nitumie simu ya 2gb ram yenye dual chanell na ddr4 memory zenye speed kuliko simu ya 4gb ama 8gb ram ambayo ni single chanell na ram za ddr2 ama ddr3 zenye speed ndogo. Zipo simu zenye ram nzuri zaidi ila iphone zake pia sio mbaya zinapita hizi ram kimeo za kichina. Ukumbuke simu gpu yake inatumia ram ya simu hivyo jinsi ram ya simu ilivyo fasta na ndio apps na games zitarun smoothly.

3. Pia megapixel kwenye camera humaanisha ukubwa wa picha na sio quality. Dslr camera kali unaweza kuta ni 8mp tu. Kifupi kuchukua content za 4k inahitajika mp 8 tu. Ambayo kwa sasa ndio vifaa vya kisasa kama tv na pc vinaitumia. Quality ya picha sana inasababishwa na sensor iliotumika pia kuna vitu kama software, ois, aperture, lens etc vinachangia.

Kuhusu mambo mengine nakubaliana na wewe Apple innovation yao ni ndogo sana na ukikuta kitu chao kizuri basi utakuta kina mkono wa kampuni nyengine mfano display za samsung, memory za smasung etc. Kifupi ana asemble vitu best toka makampuni mengine na sio mvumbuzi kama baadhi ya kampuni nyengine.

Kuhusu software na Ecosystem zao zimetengenezwa kwa watu ambao hawataki mambo mengi kwenye simu, upige simu utumie whatsapp na insta etc.

Ila ukitaka mambo makubwa zaidi vitu kama VR, casting, file management, etc ios si yako.

Tatizo ni kuwa anatumia display ya sumsung af display yake ni nzr kuliko sumsung
 
Nina rafiki yangu alikua anapenda sana tecno na samsung. Jamaa ni conservative flan hv yaan akiwa na msimamo wake ndio huo huo. Ikafka time tecno yake iliharibika nikamshaur anunue iphone kwa sabab kwamba znadumu maana mimi nlikua natumia iphone 6 kipind hcho yeye alinunua tecno ikaja kuharbika mimi bado iphone ipo. Akajaribu akaagiza iphone 6 plus ambayo alikaa nayo almost miez 4 akaibiwa. Baada ya hapo amekua apple addict maana akaja akanunua 7 plus akakaa nayo akaiuza now anatumia iphone x na amenunua apple macbook pro version ya 2017 kabisa yaan ashatekwa na ukimuuliza vp kuhusu tecno anakuambia labda siku nifilisike ntarud kwenye hzo brand zngne yaan ni uozo tu.
Yaani ndivyo ilivyo ukishaanza kutumia bidhaa za Apple unakuwa addicted as if ni mtumiaji wa cocaine
 
Back
Top Bottom