mojave
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 5,570
- 6,433
😂😂😂 real?Inazidiwa na tekno?
😂😂😂 real?Inazidiwa na tekno?
Kweli kabisa mkuuNani Kasema lazima uwe na Itunes?
Kwa Ajili ya nini Bluetooth? kurushiana picha na video? Hizo mambo ni old fashion mkuu. Tangu nianze kutumia iphone sijawahi kuona kitu kwa mtu akisha nkakiomba kurushiwa kwa bluetooth.
Msala wake ni upi? kama local developer hajatengeza app, hilo ni kosa la Apple?
Use another Browser if you cant donwload via Safari
Hii na 12 naona zinagongana, how can you say Poor documents perusing and management, halafu unasema NO file management app?
Buy one with 256 GB tatizo liko wapi mkuu?
Kivipi?
IOS ni Poor ecosystem? 😱 Bado huna uhakika na unachoongea ndugu yangu.
How is it poor? Android wanafollow the same Back button. Hakuna tofauti ya app navigation kwenye ios na Android. Insta , whatsapp n.k navigation ipo ivo ivo.
Zile simu fake tangu miaka 2005 ivi i think dual sim zilikuwepo. How is it an issue? Samsung S series kwani ni dual sim cards? Au SONY Xperia? Dual sim unakuta kwenye vitecno na wenzake tu.
Kama ni mtumiaje wa iphone hasa, huwezi kusema ichi kitu. File explorer zipo nyingi tu.
Safari is called a default browser kwa sababu ios inakuja na hio browser ikiwa tayari pre installed. Options zipo nyingi tu mbona.
Mfano kama zipi?
Samsung alimcheka Apple alivoweka Notch kwenye simu. Sasa anaetengeza Android ametoa tolea la OS kwa ajili ya simu zenye notch, na sasa Android nyingi zinafuata njia hio....
APPLE anawaburuta bado.
Ikiwa wewe sio power user, kazi yako ni kupiga na kupokea simu, apple wanaona haina haja ya kuwa na simu ambayo huwezi kuitumia power yake in full.
Samsung na wenzake simu unazikuta zina specs kubwa mara 8GB ram, processor octa cores, lakini ukitizama perfomance unakuta hata iphone 4s inawakimbiza
Nani Kasema lazima uwe na Itunes?

Jamaa kaongea ukweli, mimi nilikuwa na iphone 4s na nikapanda ngazi mpaka iphone 6s, nimeachana nayo baada ya kuona ni mfungwa. Iphone ni brand tu inaipaisha. Watu tumekaririshwa kuwa iphone ukiwa nayo na status inapanda.Ungeinunua walau uitumie km mwez hv ungejijib vzr sana. Ninachopendea hz simu hawatumii vilaza. Over.
Jamaa kaongea ukweli, mimi nilikuwa na iphone 4s na nikapanda ngazi mpaka iphone 6s, nimeachana nayo baada ya kuona ni mfungwa. Iphone ni brand tu inaipaisha. Watu tumekaririshwa kuwa iphone ukiwa nayo na status inapanda.
Compatibility na equipments zingine ni changamoto.Nimewai Tumia Samsung S3, then note 4. Baadae Nikatest Huawei na Tecno. Lengo lilikuq kujua hasa ladha na uzuri hususani baada ya kuona watu wanaongea ongea sana. Kila simu hapo juu, niliitumia kwa kipindi kirefu cha kuweza kujua uzuri na ubaya wa kila moja. Baada ya kupita kote huko, nikajilipua nikanunua iphone 8 plus. Ukweli ni kwamba, sijajutia hela yangu maana simu ina ladha asikwambie mtu. As well kuna vionjo fulani hivi ambavyo simu zangu zote za nyuma hazijuwa na huo uwezo. Apple Devices for sure are in another level. Comment yangu hii imebase from practical experience. Sina utaalam sana wa kuchambua jinsi iphone hii ilivyo but kuna tofauti kubwa sana na hizo samsung, huawei na tecno ambazo nilishawai kutumia.
Ok, ila mi naona wenye kauli mbiu hii ni wapvmbavu zaidi.Kauli mbiu ya iphone kwa wabongo "ukiwa kilaza huwez kutumia"
Mkuu umemjib vizur, mi nlishindwa kujib hoja moja moja kama ulivyofanya ww. Hongera, jamaa tunamkaribisha kwenye ulimwengu wa raha. Ila bado nasisitiza kama kilaza huwez kutumia iphone katu.
Sasa kwann bado unajiita NokiaMimi tangu nilipoanza kutumia apple devices sijawahi kujutia mwanzoni nlikuwa nawashangaa watu wanaozisifia nawaona hawajui kitu lkn nlipoingia nmeelewa vzr

Na mm nasubiri waseme wanacho enjoy kwa kukanusha uliyoyasema ww ili nikanunue hizo i phoneKatka haya unaenjoy nini boss.
Mbona hamsemi mnacho enjoy
1. No interaction with PC without Itunes
2. No Bluetooth compatibility with other devices except Its Generic Siblings
3. Kupata Apps za local developers ni Msala.
4. No downloading on Websites and blogs
5. Poor documents perusing and management
6. No memory extension.
7. Finger print zinakufa Ovyo kuliko simu zozote
8. Poorness of IOS Ecosystem
9. No access of payable services in some many regions ( Especially Africa)
10. Poor navigation of ( BACK ) Button
Sijui watu wenye Iphone huwa mna enjoy nini kwenye simu zenu.
11. No dual SIM
12. No File Management App
13. Safari si a default Browser no way ndugu yangu
Yaani ukimuona mtu anaongelea DUAL SIM CARDS kwenye Flagship smartphones halafu ni za big brand, ujue huyo ni mtumiaji wa hizi akina tecno, itel, mi, n.k
Nina asilimia kubwa, mtoa mada, hajawahi kutumia iphone, anaona tu watu wanatumia iphone. Ukishika iphone X mkononi tu unaelewa kama umeshika milioni 2 ivi, yaani ushike tu usiiwashe wala usiitumie, basi utakubali bei iko sawa. Shika Android sasa, cheap!
No value for moneyYaani ukimuona mtu anaongelea DUAL SIM CARDS kwenye Flagship smartphones halafu ni za big brand, ujue huyo ni mtumiaji wa hizi akina tecno, itel, mi, n.k
Nina asilimia kubwa, mtoa mada, hajawahi kutumia iphone, anaona tu watu wanatumia iphone. Ukishika iphone X mkononi tu unaelewa kama umeshika milioni 2 ivi, yaani ushike tu usiiwashe wala usiitumie, basi utakubali bei iko sawa. Shika Android sasa, cheap!
As far as specification Apple wapo pande mbili kuna vitu wapo vizuri zaidi ya competition na kuna vitu wapo ovyo. Mfano.Wakuu habarini.
Naomba kujua kwann Iphones zina specifications ndogo ukilinganisha na Simu nyingine zote hata ambazo zinachipukia.
Sijaona Iphone inayozidi hivi vigezo
Maximum RAM 3gb
Maximum Camera 12 Mega Pixels
Maximum Battery size </ = 3000 mAh
Hawa jamaa Inovation yao ipo katika mlengo upi???.
Hizi simu sijawahi kuzitumia na nahisi sizipendi japo ninapesa ya kununua Iphone niitakayo. Lakini naona simu kama ya waganga wa kienyeji. Maana Masharti ni mengi kuliko Enjoyments.
Yani kumiliki hizi simu ni kama Mkinga mfanya biashara anaelala chooni ilihali ana majumba ya kifahari
1. No interaction with PC without Itunes
2. No Bluetooth compatibility with other devices except Its Generic Siblings
3. Kupata Apps za local developers ni Msala.
4. No downloading on Websites and blogs
5. Poor documents perusing and management
6. No memory extension.
7. Finger print zinakufa Ovyo kuliko simu zozote
8. Poorness of IOS Ecosystem
9. No access of payable services in some many regions ( Especially Africa)
10. Poor navigation of ( BACK ) Button
Sijui watu wenye Iphone huwa mna enjoy nini kwenye simu zenu.
11. No dual SIM
12. No File Management App
13. Safari si a default Browser no way ndugu yangu
Naomba ushirikiano
Tunamsubiri labda atakujaMtu wa kukanusha yale aliyoyasema mtoa mada bado hajatokea?