King Shaat
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 863
- 835
Shukrani sana mkuu.Hizo benchmarks zina mapungufu mengi sana mkuu hasa huu ulimwengu wetu wa sasa, kama unazitumia zikupe tu rough idea ya perfomance,
Hao geekbench waliclaim kuwa tayari processor ya kwenye iphone ina nguvu kushinda processor za laptop kama i5, i7 etc Anandtech wakaja kufanya test zao kwa benchmarking nyengine inaitwa spec2006 na wakapata tofauti.
Pia kampuni za kichina wanazichezea sana mfano Huawei akiingia humo lazima kirin ionekane ipo juu, ila ukija kwenye real world test inakuwa simu inapitwa.
Kifupi dunia ya sasa anae sponsor ndie ambaye score zake zitaonekana nzuri, hivyo kama unataka kuchagua simu ni vyema ukaangalia real world perfomance, ama tumia site zinazoingia deep kuchambua vitu kama vile anandtech.
Nilikuwa na wasiwasi na kuamini hizi benchmarks. Maana pia suala la bias ya anayefanya hizo benchmarks.
Na side-by-side load time testing nazo unaziongeleaje?