Kwanini saba iwe moja kwenye masaa?

Kwanini saba iwe moja kwenye masaa?

Hii ni elimu ya namba(ni pana zaidi kiroho) kwa mfano kama ni saa 7 halafu saa inaandika 1, bhasi chukua 7-1=6(namba ya uasi), kama ni saa 8 ila saa inaandika 2, chukua 8-2=6 ama kama ni saa 10 halafu saa inaandika 4 bhasi chukua 10-4=6 yaani hii inaitwa 666(ikiwakilisha uasi wa mwanadamu anayelazimisha kuabudiwa kama Mungu) =pope, unajua vitu huanzia kutokea ktk ulimwengu wa roho kisha huja ktk ulimwengu halisi, shtuka chukua hatua kwa kumsoma Pope Gregorian X111 kisha utajua jinsi alivyobadili majira, mtafute Bwana ungali hai, barikiwa.
Ambe sokoro waito
 
Ambe sokoro waito
Kuhusu hii elimu yako ni ndogo kwanini ujiulizi ni kwanini kila mwaka majira yanajirudiarudia kmfano kila mwezi 4.masika mwezi 7kiangazi wa9 vuli nk. Fanya utafiti lete majibu ya utafiti wako hapa acha kulialia. Kuyajua haya kuna gharama.
 
Hapa kuna mtunga kalenda mmoja kutokea mamlaka ya Vatcan kule Roma ndp alituchanganyia habari hizi..kutuambia wiki ina siku 7 lakini ndani ya mwezi eti unakutana na iku 30 na 31.why zisiwe 28?kiukweli na kiuhalisia ikiwa asubuhi mpaka jioni ni siku moja na kutoka jioni kwenda asubuhi tena ni siku nyingine.hivyo tu

Kabla ya huyo mtunga kalenda ulikuwa unahesabu vipi masaa?
 
Kabla ya huyo mtunga kalenda ulikuwa unahesabu vipi masaa?
Ikawa asubuhi ikawa jioni siku 1.hapakua na masaa zaidi ya hayo ya kutazama jua linapokucha na likizama tu ni siku imeisha.ikianza jioni tena na usiku wote kwenda asubuhi ni siku ya pili pia
 
Hivi kweli watu na akili zao kabisa Wanazungumza habari za 666 kwenye mambo ya haya masaa?, yaani Hiyo 666 itambulike upitia Kiswahili tu?

Hapo Mwanzo kulikuwa hakuna saa,na saa za kwanza kabisa zilikuwa zinatumia kivuli, hivyo siku inaanza jua linapotoka mpaka saa sita 6 Mchana kivuli cha kitu kinakuwa sawa na kitu chenyewe na kisha kuanzia saa saba mchana kivuli kinaanza kugeuka kuelekea upande wa pili,
Baadae zikaja saa zile za Mercury kunakuwa na tube na mercury ndani na huwa inadrop kidogokidogo kwenda upande mmoja kisha baada ya masaa sita unageuza ile tube, hapo ndip mapinduzi ya masaa 24 yalipoanza kutoka katika masaa 12 tu ya jua

Yote kwa yote iliaminika kila baada a masaa sita 6 , siku inabadirika KWA KUFUATA MFANO WA JUA NA KIVULI kwa hiyo kwenye kila saa ni lazima effect ya SITA iwepo, SITA ndio imekuwa kama factor kwa saa zote

G'taxi
 
Habari zenu ndg WA jamii forum,,Mimi Nina swali/maswali ambayo nahitaji kujua kama ifuatavyo
Kwanini katika mzunguko WA dunia tunatumia masaa ambayo so sahihi?kwa maana ya kwamba tunatumia;

7kama SAA moja
8kama SAA mbili
9kama SAA tatu ,n.k..
nadhani hapo umenipata sasa swali langu la msingi kwanini tusitumie saa moja kama 1 badala ya 7,au saa mbili kama 2 badala ya 8 n.k
Msaada tafadhali

Siku ina saa 24. Saa tunazotumia zinegawanya sehemu 12, kwa maana ya nusu siku. Hivyo basi, ili kuweza kutofautisha kati ya mchana na usiku, kunatumika am/pm.

Kwa mataifa ambayo siku uanza saa 1 asubuhi, inakamilika saa 12 alfajiri. Kwa maana hiyo mshale wa saa ukiwekwa kwenye 1 kuashiria mwanzo wa siku, inakapofika saa 7 mchana/usiku, mshale unakuwa kwenye 1.

Kwa mataifa ambayo siku uanza saa 7 usiku, huweka mshale wa saa kwenye 1, na inapofika saa 1 asubuhi/jioni, mshale wa saa unakuwa kwenye 7.
 
Umetumia saa za kiswahili kuuiliza namba za saa zinazotumiwa na wangereza. Kiswahili saa moja ni saa 1. Kingezeza hawajasema saa 1 wanasema Seven o'clock. Saa 1 ni kiswahili.

Na washawasha!
hahahaha
 
Siku ina masaa 24, na SAA la ishirini na nne linakamilika saa 6 usiku hivyo saa inabidi ianze kuhesabu upya ikianzia na 1 ambayo ndiyo saa 7 usiku na kuendelea na utaratibu huo hadi itakapokamilisha mzunguko waje wa saa 24
 
Umetumia saa za kiswahili kuuiliza namba za saa zinazotumiwa na wangereza. Kiswahili saa moja ni saa 1. Kingezeza hawajasema saa 1 wanasema Seven o'clock. Saa 1 ni kiswahili.

Na washawasha!
Mkuu hata Kiingereza moja ni One na seven ni saba bado hauko sawa
 
Nia ya hawa jamaa kuweka mambo kinyume na taratbu za dunia hii ndio imepelekea saa 7 kua sa 1 wao n Ant evrythng kwa maana ya new word order na kuitukuza 6 namba kila saa linabadilishwa na 6 na kuleta maana nyingne Mfano 12-6=6 sa13-6=7 mchana lkn wao wanaiweka 7 kua asubuh saa 8-6=2 saa nane bdl ya saa mbil
Brainwashed ideas!
 
Ila hii itafaa kwa zile saa zinazoonesha namba na sio za mishale.
Mie sàa yoyote iwe ya mshale au digits naset kikwetu.
Na nikiangalia hizi za kizungu mara nachanganya.
Nishazoea kiswahili long time now.
 
Tazama haka kamchezo ka 666

Saa 1=saa7
7-1=6

Saa 2=saa 8
8-2=6

Saa 3=saa9
9-3=6

Saa 4=saa10
10-4=6

Saa 5=saa11
11-5=6
Hvyo utaona masaa yote yanauhusiano mkubwa na no 6 Ambayo ni no ya mnyama vicarius ama papa. Ipo history yake ambayo ni ndefu sana Juu ya kwanini mpk ikawa hivi l
 
Tazama haka kamchezo ka 666

Saa 1=saa7
7-1=6

Saa 2=saa 8
8-2=6

Saa 3=saa9
9-3=6

Saa 4=saa10
10-4=6

Saa 5=saa11
11-5=6
Hvyo utaona masaa yote yanauhusiano mkubwa na no 6 Ambayo ni no ya mnyama vicarius ama papa. Ipo history yake ambayo ni ndefu sana Juu ya kwanini mpk ikawa hivi l
Kwanini utoe tu na usijumlishe au kuzidisha na kugawanya. Nini influence ya kutoa?
 
Habari zenu ndg WA jamii forum,,Mimi Nina swali/maswali ambayo nahitaji kujua kama ifuatavyo
Kwanini katika mzunguko WA dunia tunatumia masaa ambayo so sahihi?kwa maana ya kwamba tunatumia;

7kama SAA moja
8kama SAA mbili
9kama SAA tatu ,n.k..
nadhani hapo umenipata sasa swali langu la msingi kwanini tusitumie saa moja kama 1 badala ya 7,au saa mbili kama 2 badala ya 8 n.k
Msaada tafadhali



Saa zinaonyesha idadi ya masaa baada ya saa sita usiku, huwa inaandikwa 00:00 kwa masaa 24,au 12:00 am kwa masaa 12,hapo ndio siku huwa inaanza, sasa ukienda lisaa limoja kwa saa zote(either ni masaa 24 au 12) saa huandika 01:00 kuonyesha kuwa ni lisaa limoja baada ya leo kuanza, na hiyo tutasema ni saa saba usiku, ukienda masaa mawili baada ya saa sita usiku(yani 00:00+02:000) itakuwa ni saa nane usiku, au 02:00 au 2 hours baada ya saa sita, kwahyo 1 ni saa 7 kwakuwa ni lisaa limoja baada ya siku kubadilika(saa sita)
 
Back
Top Bottom