Kwanini saba iwe moja kwenye masaa?

Kwanini saba iwe moja kwenye masaa?

Mie sàa yoyote iwe ya mshale au digits naset kikwetu.
Na nikiangalia hizi za kizungu mara nachanganya.
Nishazoea kiswahili long time now.


Kwahyo ukitumia mfumo wa masaa 24 ikiwa 17:00 ni saa kumi na saba au
 
Habari zenu ndg WA jamii forum,,Mimi Nina swali/maswali ambayo nahitaji kujua kama ifuatavyo
Kwanini katika mzunguko WA dunia tunatumia masaa ambayo so sahihi?kwa maana ya kwamba tunatumia;

7kama SAA moja
8kama SAA mbili
9kama SAA tatu ,n.k..
nadhani hapo umenipata sasa swali langu la msingi kwanini tusitumie saa moja kama 1 badala ya 7,au saa mbili kama 2 badala ya 8 n.k
Msaada tafadhali

kasome kwenye link hiyo mzee
Why are there 24 hours in a day? › Ask an Expert (ABC Science)
 
Habari zenu ndg WA jamii forum,,Mimi Nina swali/maswali ambayo nahitaji kujua kama ifuatavyo
Kwanini katika mzunguko WA dunia tunatumia masaa ambayo so sahihi?kwa maana ya kwamba tunatumia;

7kama SAA moja
8kama SAA mbili
9kama SAA tatu ,n.k..
nadhani hapo umenipata sasa swali langu la msingi kwanini tusitumie saa moja kama 1 badala ya 7,au saa mbili kama 2 badala ya 8 n.k
Msaada tafadhali

Throughout the Bible, God often gives symbolic significance to mundane items or concepts. For example, in Genesis 9:12–16, God makes the rainbow the sign of His promise to Noah (and, by extension, to all mankind) that He will not flood the whole earth again. God uses bread as a representation of His presence with His people (Numbers 4:7); of the gift of eternal life (John 6:35); and of the broken body of Christ, sacrificed for our sins (Matthew 26:26). The rainbow and the bread are obvious symbols in Scripture. Less obvious meanings seem to be attached to some numbers in the Bible, especially the number 7, which at times provides a special emphasis in the text.

The first use of the number 7 in the Bible relates to the creation week in Genesis 1. God spends six days creating the heavens and the earth, and then rests on the seventh day. This is our template for the seven-day week, observed around the world to this day. The seventh day was to be “set apart” for Israel; the Sabbath was a holy day of rest (Deuteronomy 5:12).

Thus, right at the start of the Bible, the number 7 is identified with something being “finished” or “complete.” From then on, that association continues, as 7 is often found in contexts involving completeness or divine perfection. So we see the command for animals to be at least seven days old before being used for sacrifice (Exodus 22:30), the command for leprous Naaman to bathe in the Jordan River seven times to effect complete cleansing (2 Kings 5:10), and the command for Joshua to march around Jericho for seven days (and on the seventh day to make seven circuits) and for seven priests blow seven trumpets outside the city walls (Joshua 6:3–4). In these instances, 7 signifies a completion of some kind: a divine mandate is fulfilled.

Interestingly, man was created on the sixth day of creation. In some passages of the Bible, the number 6 is associated with mankind. In Revelation “the number of the beast” is called “the number of a man. That number is 666” (Revelation 13:18). If God’s number is 7, then man’s is 6. Six always falls short of seven, just like “all have sinned and fall short of the glory of God” (Romans 3:23). Man is not God, just as 6 is not 7.

Series of seven things crop up often in the Bible. For example, we find seven pairs of each clean animal on the ark (Genesis 7:2); seven stems on the tabernacle’s lampstand (Exodus 25:37); seven qualities of the Messiah in Isaiah 11:2; seven signs in John’s Gospel; seven things the Lord hates in Proverbs 6:16; seven parables in Matthew 13; and seven woes in Matthew 23.

Multiples of 7 also figure into the biblical narrative: the “seventy weeks” prophecy in Daniel 9:24 concerns 490 years (7 times 7 times 10). Jeremiah 29:10 predicted the Babylonian Captivity would last for seventy years (7 times 10). According to Leviticus 25:8, the Year of Jubilee was to begin after the passing of every forty-ninth year (7 times 7).

Sometimes, the symbolism of 7 is a great comfort to us: Jesus is the seven-fold “I AM” in the Gospel of John. Other times, it challenges us: Jesus told Peter to forgive a wrongdoer “seventy times seven” times (Matthew 18:22, NKJV). And then there are passages in which the number 7 is associated with God’s judgment: the seven bowls of the Great Tribulation, for example (Revelation 16:1), or God’s warning to Israel in Leviticus 26:18.

Speaking of the book of Revelation, the number 7 is used there more than fifty times in a variety of contexts: there are seven letters to seven churches in Asia and seven spirits before God’s throne (Revelation 1:4), seven golden lampstands (1:12), seven stars in Christ’s right hand (1:16), seven seals of God’s judgment (5:1), seven angels with seven trumpets (8:2), etc. In all likelihood, the number 7 again represents completeness or totality: the seven churches represent the completeness of the body of Christ, the seven seals on the scroll represent the fulness of God’s punishment of a sinful earth, and so on. And, of course, the book of Revelation itself, with all its 7’s, is the capstone of God’s Word to man. With the book of Revelation, the Word was complete (Revelation 22:18).

In all, the number 7 is used in the Bible more than seven hundred times. If we also count the words related to seven (terms like sevenfold or seventy or seven hundred), the count is still higher. Of course, not every instance of the number 7 in the Bible carries a deeper significance. Sometimes, a 7 is just a 7, and we must be cautious about attaching symbolic meanings to any text, especially when Scripture is not explicit about such meanings. However, there are times when it seems that God is communicating the idea of divine completeness, perfection, and wholeness by means of the number 7.
 
Siku inaanza sa 6 na dakka 1 usiku, ikfka sa 7 kamili usiku inakua ndo lisaa li1 limepta. Kwahyo kwenye saa ndo utaona iko kwenye 1. Sisi tukajiamulia muda wakuamka ( asubuhi) ndo tuanze sema saa 1.
 
Mkuu sisi Waswahili ndio tunaoita 7 ni 1 kwenye saa. Wazungu wao wanatamka 7 O'clock in the morning, 9 O'clock etc. Sisi kwa ulimbukeni wetu wa kutaka kuwaiga Wazungu ktk kila jambo ndiyo tunaita 7 kuwa ni 1 kwa sababu tu muda huo huwa ni asubuhi huku kwetu.
 
Mkuu tatizo ni kwamba sisi waswahili(namaanisha tunaotumia kiswahili) kwa utamaduni wetu na lugha yetu tunaanza kuhesabu masaa kuanzia saa kumi na mbili na dakika moja asubuhi na kila ikifika/ikitimia masaa 12 tunaanza upya kuhesabu moja (kwa kitaalamu masaa yetu ni "modulo 12" au tuite "base 12"). Lakini waliotuletea lugha yao ya kiingereza utamaduni wao wanaanza kuhesabu masaa kuanzia saa sita kamili usiku ambao ndio mwanzo wa siku kwa mujibu wa Gregorian callender. Na wao pia wanatumia "modulo 12" isipo kuwa wao wanakuwa wameanza tangulia kuhesabu masaa kwa masaa 6 kabla yetu kwa hivyo sisi tunapoanza moja wao tayari katika kipimo chao au jedwali lao la muda linakuwa linasoma 7 wakati letu ndio tunakamilisha 1. Yaani toka saa sita na dakika moja usiku hadi saa kumi na mbili na dakika moja asubuhi wao wametimiza masaa 6 ndipo sisi waswahili tuna amka na kuanza kuhesabu zile dakika kisha ikitimia dak 60 wao itasoma saa la 7 limetimia sisi itasoma saa 1 lime/imetimia.
Maana Ya Modulo: Nikisema modulo 12 maana yake hivyo vitu iwe namba, au masaa unatakiwa ugawanye kwa vipande au mafungu au vipimo 12 vilivyo sawa kupata kitu kamili au mzunguko kamili. Kwahivyo ili kujua mizunguko mingapi unagawanya kwa 12 na kinachobaki unaendelea hivyo hivyo. Sasa kwa muktadha huu mzunguko kamili wenye vipimo 12 ni nusu moja ya siku. Ile saa ya masaa 24 tunatumia "modulo 24". Ndio maana wao ikitimia masaa 19 toka walipoanza kuhesabu saa sita kamili usiku, hivyo 19÷12=1 Remainder(baki) 7 kisha ktk saa zao itasoma hiyo Remainder(baki) 7 huku sisi waswahili inakuwa yametimia masaa 13, sasa 13÷12= 1 Remainder(baki) 1, hivyo ktk saa zetu itasoma hiyo remainder(baki) 1. Kama masaa uliyohesabu toka mwanzo wa siku hayazidi 12 basi unachukua hiyo namba jinsi ilivyo ndio saa yako itasoma hivyo, mfano 2 ÷ 12= 0 baki 2 hivyo hapo saa itasoma hoyo baki 2. KIFUPI MODULO OPERATION NI HESABU ZA REMAINDER AU GAWANYA NA BAKI KWA KISWAHILI. Mwisho karibu ktk ulimwengu wa hisabati. Na ukumbuke karibu kila kitu ktk maisha yetu nyuma yake kuna hisabati/hesabu ni namba tupu kuanzia mpangilio navuwiano wa vinasaba vyako hadi kuhesabu majira. Wale watu wa Crytography au crytoanalysis au Computer, Digital circuits, Mathematicians, Descrete Mathematics, e.t.c wamenielewa vizuri ktk somo hili. Hata wa arts ambao wanavichwa vyepesi wamenielewa. NB: Hapo penye 19÷12=1 baki 7 tunaandika 19 mod 12 = 7, hatuweki hiyo moja tunaweka baki 7 tu. Ila ningeaandika 19÷12=7 nisingeeleweka.

Hivi hesabu za modulo tulifundishwa darasa gani au form gani vile?
 
Hivi hesabu za modulo tulifundishwa darasa gani au form gani vile?
Sijui wewe ni wa umri gani lakini waliosoma miaka ya 1999 kurudi nyuma ilikuwa o-level form two au three kuna intro ya remainder ktk basic math lakini advance kwenye physics topic ya electronics mnaposoma intro ya binary number unasoma hiyo kitu.

University kwa baadhi ya kozi za hesabu au masomo ya Electronics, communication science, au telecommunication, computer science, au electrical eng mnasoma hizo kitu kama intro.
 
Tunatumia Gregorian calendar na tunafuata Roman time.
Kikawaida kila mwezi unatakiwa uwe na siku 29.
Mwaka siku 348
Siku iishe saa kumi na mbili jioni sio saa sita usiku.
Duniani tunabuluzwa sana na hatuna cha kufanya.
Jibu la swali lako lipo hapa "Daniel 7:25."
 
Mtoa mada kama nimekuelewa vizuri swali lako ni kwamba kinachoonekana katika saa ndio kitamkwe au wakati uliopo ndio uandikwe kwenye saa, badala ya hii "viceversa" tunayotumia, kwa maana ya kwamba saa 7 kutamka saa 1.
Kwa Tanzania tunatumia huo mfumo wa viceversa mfano sasa hivi ni saa kumi na moja kamili jioni lakini kwenye saa yako ukiangalia ipo 5:00pm.
Kwa nchi za ulaya kilichopo kwenye saa yako ndio kinachotamkwa kwa maana ya kwamba, tukirudi katika mfano wetu wa saa kumi na moja kamili jioni wao wanasema ni saa tano kamili jioni kama ilivyo kwenye saa.
Kwa nchi za kiarabu, tukirudi kwenye mfano uleule wa saa kumi na moja jioni wao wanasema ni saa kumi na moja hivyo hivyo na saa zao zinaonesha hivyo hivyo Saa 11.

Swali la kujiuliza sisi Watanzania utaratibu huu wa kutamka viceversa tumeupata wapi?

Kwa mtazamo wangu hii imetokana na kuchanganya tamaduni tofauti za mataifa ya nje hasa waarabu (waislamu) na waingereza.
Kwanini?

1. Uarabuni siku inaisha saa kumi na mbili jioni. Kwahiyo saa moja jioni ndio saa la kwanza kwa siku mpya na tarehe mpya.
2. Waingereza siku inaisha saa sita usiku, hivyo ikiingia saa saba usiku kwao ndio saa la kwanza na tarehe mpya.

Sasa sisi baada ya utawala wa mwarabu, alipokuja mwingereza tumechukua utamaduni wa mwarabu tukachanganya na mwingereza tukapata kitu chetu "viceversa". Saa zetu tunaziweka zisome kingereza lakini kutamka, tunatamka kwa kiarabu. Matokeo yake ndio hivyo 5:00pm tunasema saa kumi na moja.
Kwanza nikusifu umejitajidi kuelezea vizuri lakini naomba nikusahihishe kidogo. Waarabu wanatamka saa kama waingereza tu. Nimebahatika kuzurura humu duniani watu na mataifa yote niyajuayo hutamka saa kama wafanyavyo waingereza na wazungu wote including waarabu. Yaani mshale wa saa ukionyesha 9 basi hiyo ni nine oclock au saat tisah kiarabu, isipokuwa kiswahili tu huwa tunasoma nyuma ya mshale sijui kwanini
 
Back
Top Bottom