Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,157
- 17,034
Kwanza tukubaliane kuwa siku maja ina masaa 24. Na siku inaanza saa sita kamili usiku. Sasa hapo ukianza kuhesabu unaanzia 00:00 lakini kwa wakati huo ni usiku ikifika saa limoja inakuwa 01:00, likifika saa la pili inakuwa 02:00 na kuendelea mpaka 23:00. Hapo inakuwa masaa 24. Sasa kupanga ni kuchagua. Saa yako bwana mleta mada iset namna hii. Ikifika saa sita kamili usiku weka saa yako idisplay 00:00 ukiwa unajua ndio siku imeanza.
