uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 14,674
- 20,443
Ummy alikuwa bado hajagonga menopause??Hajamtumbuwa, Ummy uja uzito unamsubuwa sana. Mwenyezi Mungu amsalim salama.
Ummy alikuwa bado hajagonga menopause??Hajamtumbuwa, Ummy uja uzito unamsubuwa sana. Mwenyezi Mungu amsalim salama.
Anaweza kuzaa na 50years?Hajamtumbuwa, Ummy uja uzito unamsubuwa sana. Mwenyezi Mungu amsalim salama.
AiseeKwani menopause haujui zinawakumba wakiwa na umri gani, huyo bado ni kijana sana, ana miaka 51 kwa sasa na kuzaa anazaa kama kawaida.
Kwakweli kuja watu wenye upofu, umma akuna kitu pale ilikuwa ni kusifia rais tuHata mimi nimeshangaa sana maana Ummy ni miongoni mwa mawaziri bora sana
Kajichanganya!Alirekodiwa akimkashifu Rais kuwa hafai na anapaswa kuondolewa 2025 ili mwigulu achukue kiti.
Mpaka 55 mbona wanazaa tu?Anaweza kuzaa na 50years?
Amezaliwa 1973
We ni tapeli na hauna akili ya kutapeli,kama ni mjamzito angeenda likizo tu mbona kipindi cha JPM Kairuki alibeba mimba na akajifungua lakini uwaziri wake ukaendelea?Hajamtumbuwa, Ummy uja uzito unamsubuwa sana. Mwenyezi Mungu amsalim salama.
Mbongo mpe kichwa cha habari, story atamalizia mwenyeweAlirekodiwa akimkashifu Rais kuwa hafai na anapaswa kuondolewa 2025 ili mwigulu achukue kiti.
HayaKwani menopause haujui zinawakumba wakiwa na umri gani, huyo bado ni kijana sana, ana miaka 51 kwa sasa na kuzaa anazaa kama kawaida.
Kairuki naye ujauzito wake ulikuwa unasumbua?We ni tapeli na hauna akili ya kutapeli,kama ni mjamzito angeenda likizo tu mbona kipindi cha JPM Kairuki alibeba mimba na akajifungua lakini uwaziri wake ukaendelea?
Issue ni ujauzito usumbue usisumbue ni kwamba mtumishi au kiongozi ana haki ya kupata mapumziko ya ujauzito sio kufukuzwa kazi.Kairuki naye ujauzito wake ulikuwa unasumbua?
Labda yumo kwenye ile gang yenye kuutaka u Top manyotaRais Samia katengua uteuzi wa Ummy Mwalimu kama Waziri wa Afya.
Ni mmoja wa mawaziri ambao sikutarajia angetumbuliwa na Samia!
Imekuwaje akanyang'anywa tonge mdomoni?
Miaka 51 ni kijana?Kwani menopause haujui zinawakumba wakiwa na umri gani, huyo bado ni kijana sana, ana miaka 51 kwa sasa na kuzaa anazaa kama kawaida.
Miaka 50 na mimba ndio maana nimesoma hapa inamsumbua... Umri umeenda sana aisee...Anaweza kuzaa na 50years?
Amezaliwa 1973
Wewe yaweza kuwa huo ni umri wa mamako, lakini mie huo ni umri wa mwanangu ama mdogo wangu.Miaka 51 ni kijana?
Duh hii noma..
Mimi nimeshangaa Jenister Muhagama kuendelea kula shavu.Rais Samia katengua uteuzi wa Ummy Mwalimu kama Waziri wa Afya.
Ni mmoja wa mawaziri ambao sikutarajia angetumbuliwa na Samia!
Imekuwaje akanyang'anywa tonge mdomoni?
Acha mikwara we mzee, unataka kunambia hapo ulipo una miaka 70?Wewe yaweza kuwa huo ni umri wa mamako, lakini mie huo ni umri wa mwanangu ama mdogo wangu.
Pia kwa umri huo bado mwanamke anazaa.
Kasoro kidogo sana.Acha mikwara we mzee, unataka kunambia hapo ulipo una miaka 70?
Mama yangu ana miaka 32.